Tanzania Railways Corporation - Promote And Manage Rail Infrastructure Assets

Nawaza kwamba kwa sababu treni hiyo ni ya KASI basi ni vema ukaangaliwa usalama hasa kwa mifugo ukizingatia spidi ya treni yenyewe.
Kuna sehemu maalum za mifugo kuvuka,pia njia nzima inawekwa fence.
 


Vijana wapo kazini.
Madaraja sehemu korofi ya Ruvu yamekamilika.
 



Morogoro - Makutopora progress
..... angalia Kilosa-Kidete mito inavyodhibitiwa.
 


Chuma kishanunuliwa hicho .... ... . Ding .... .. .Dong!
 
Ukarabati wa reli ya kutoka Dar es Salaam - Dodoma, kununua vichwa vipya vya treni 11 kutoka Marekani, mmekarabati mabehewa ya mizigo 347, hatukutafuta watu kutoka nje, wataalam wetu wa ndani








 


Kazi inaendelea.
 

Mambo ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mungu ibariki Tanzania na watu wakeπŸ˜πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™
Mungu mbariki rais wetu John Pombe Magufuli na wasaidizi wakeπŸ’₯πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™
Mungu mbariki Wacha1 πŸ’£πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…