Tanzania Railways Corporation - Promote And Manage Rail Infrastructure Assets

Wakuu ni Nina Tsh million moja na ninapenda Sana kufanya hiashara ya phone accessories (kava za Simu,,chaja za kawaida na fast chaja,, flash ,,memory card,, na Simu ndogo ndogo ,,,mwenye uzoefu na hii biashara anipe uzoefu tàfadhari jinsi yakupata hizi bidhaa kwa Bei ya jumla na Bei yake n shingapi
 
Nenda kwenye thread nyingine mkuu, apa ni mambo ya TRC tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…