Tanzania ready for phase two of SGR from Morogoro to Dodoma

Acha story hakuna hela ya kujenga hiyo reli mchina alishagoma sasa hivi ni kudokoa vipande itakamilika mwaka 2100 labda
 
maneno mengi na hata renders sijaona.
nahitaji kuona ata render moja ya terminus yoyote.
 
Acha story hakuna hela ya kujenga hiyo reli mchina alishagoma sasa hivi ni kudokoa vipande itakamilika mwaka 2100 labda
Hayo ni mawazo yako, wapinga maendeleo kama wewe ni muhimu sana ili kutoa changamono, msipokuwepo watu kama wewe maendeleo yanapatikana kwa taratibu sana, kumbuka "without friction, no motion", mambo yanasonga mbele, kaa pembeni uwe mtazamaji.
 
Hayo ni mawazo yako, wapinga maendeleo kama wewe ni muhimu sana ili kutoa changamono, msipokuwepo watu kama wewe maendeleo yanapatikana kwa taratibu sana, kumbuka "without friction, no motion", mambo yanasonga mbele, kaa pembeni uwe mtazamaji.
Niko pembeni kweli maana sina maamuzi juu ya hilo mimi natumia zote tu ya Kenya powa ya Tanzania powa ndio raha ya Africa Mashariki
 
Uwelewa wako bado upo katika infancy stage, mpaka sasa hivi nchi zote hizo ulizotaja, Rwanda na Burundi wanapitisha mizigo yao Dar, kwa zaidi ya 80%, Sina data kamili na DRC
 
Uwelewa wako bado upo katika infancy stage, mpaka sasa hivi nchi zote hizo ulizotaja, Rwanda na Burundi wanapitisha mizigo yao Dar, kwa zaidi ya 80%, Sina data kamili na DRC
Unaongelea mizigo ya Serekali au ya Biashara
 
Unaongelea mizigo ya Serekali au ya Biashara
mizigo ya nchi inamaanisha yote, tunaposema mizigo ya Rwanda hiyo ni yote, ya serikali na private sector. Kama utakumbuka Magufuli alimkaribisha Joseph Kabila kuja kufungua jengo la TPA, na akawa anamchombeza kwamba hategemei kuona mfanya biashara wa DRC kutumia bandari nyingine zaidi ya Dar, na akasema, kwa sababu mawaziri wa DRC na viongozi wa wafanya biashara wa DRC wapo hapa, mkawe mabalozi wa kuwaambia wafanya biashara watumie bandari ya Dar.
 
Hiyo ndio shida pekee ya Watanzania sifa za kijinga za uwongo wa makaratasi
Ingekuwa wanapitisha kwa kiwango hicho basi mizigo inayopita Dar ingekuwa imeizidi Mombasa kwa mbali sana maana wao wangekuwa wamebaki na 20% tu
 
Hiyo ndio shida pekee ya Watanzania sifa za kijinga za uwongo wa makaratasi
Ingekuwa wanapitisha kwa kiwango hicho basi mizigo inayopita Dar ingekuwa imeizidi Mombasa kwa mbali sana maana wao wangekuwa wamebaki na 20% tu
Wewe ndiyo mwenye matatizo ya kufikiria, sasa data za biashara ya nchi unazipata wapi?, Wewe tatizo lako unaishi kienyeji sana, hutaki kutumia statistics information zinazopatikana kutoka katika nchi husika badala yake unatumia kichwa na macho yako, ukiona malori yameshikana basi unaona ndiyo kila kitu,

Kwanza uliza hiyo Rwanda na Burundi kwa jumla inaingiza mizigo kiasi gani katika nchi zao, pili uliza Bandari ya Mombasa inapitisha tani ngapi kwa mwaka, na uone wapi inaenda hiyo mizigo.

Zaidi ya nusu ya mizigo yote inayoshushwa Mombasa ni mizigo ya Kenya, na nusu iliyobaki karibu nusu ya hiyo ni Uganda, iliyobaki yaani 25% ndiyo igawanye kwa Rwanda, DRC, Northen Tanzania, SS, na Southern Ethiopia.

Kumbuka Kenya ina import goods worth $12B each year, wakati Tanzania ina import goods of $10B only
 
Sisi kwa takwimu na matafiti mbona tuko vizuri na ndio maana tuko tulipo tunaridhika na takwimu za kupikwa.

Kwahiyo kwanza unakubali Kenya ni uchumi mkubwa.
Bado ulikataa SGR yao haitakuwa na mizigo ukasahau Ethiopia wamejenga ikaishia kwao na inawafaa.
 
I want to know the progress of the first SGR phase, how is it?
 
Ninamashaka na elimu yako, Ethiopia wameunganisha reli yao ya umeme na Djibouti, hawana pesa wala mpango wa kuunganisha na Kenya, kwanza Southern Ethiopia usalama ni mdogo kuna majimbo yanataka kujitenga, yanapigana na serikali. Kuhusu takwimu mimi sisemi za Tanzania, ninazungumzia za Rwanda, za Kenya na za hizo nchi zote, ingia utafute elimu, acha kufanya hesabu za biashara kwa kuhesabu vidole, takwimu means "Research", no research, no right to comment. Mbona unaishi kizamani sana wewe?, mbona information zote zipo kiganjani siku hizi?.
 
Daah nimekuelewa, asante kwa kutuelewesha!!
 
I know right now all options are open looking for funding but out of the goodness of my heart. Don't get the World bank involved, try as much as possible to avoid that path, those guys will take you round and round with feasibility studies and environmental studies..by the time they release funds it will be forever
 
Sina shida wewe kuwa na mashaka na elimu yangu maana hata mimi namashaka na uwezo wako wa akili hasa nikijua kama mtanzania ulidumaa utotoni

Ethiopia hawezi kukwepa Kenya sababu hawezi kutegemea njia moja tu ya kuingiza mizigo yake Djibouti ambayo ni nchi isiyoeleweka.
Tanzania kuna usalama upi huo labda kuliko kwa wenzetu?
 
kweli mkuu,ndio maana Magu anawaavoid sana,
 
Djibouti ni nchi ndogo sana lakini very stable politically and economically, usichanganye kati ya Djibouti na Somali land, au Ethiopia, Djibouti wapo peace sana kisiasa na uchumi wao unafanya vizuri sana, ndiyo sababu wala husikii ikitajwa mara kwa mara, ni kama vile Mauritius, hebu tuambie unaposema Djibouti haiminiki unamaana gani?

Kuhusu Ethiopia kuwa na reli kuunganisha nchi mbili yaani Djibouti na Kenya, hakuna nchi hapa Africa yenye uwezo wa kujenga SGR mbili tofauti, hata Egypt, au South Africa hawana uwezo huo, hiyo moja tu ikikamilika ni mafanikio makubwa sana, sembuse eti wajenge ya pili, unaota mchana kweupe, sababu kubwa iliyomfanya Kagame kubadilisha wazo la kuunganisha na Mombasa ambako walishakubaliana na Uganda, Kenya, na South Sugan, ni Uganda kushindwa kuunganisha kipande cha Kampala kwenda mpaka wa Rwanda, ni kilometa hazizidi 300, itakuwa urefu wa Addis hadi Lamu?

Kuhusu usalama wa kupitisha miundombinu, umeuliza hapa Tanzania upo wapi?, jibu analo Total ya ufaransa, wao wanauona kwa sababu watu wenye mtindio wa ubongo huwa wanakosa coordination kati ya macho na ubongo, anaweza macho yakatazama kuku, lakini ubongo ukatafsiri picha ya Simba, ila sijasema kwa wewe upo hivyo
 

Well said. Nimeangalia comments zako humu ziko vizuri.

Achana na huyo kilaza Mtochoro, ni wale wa elimu fupi or Mkenya anajifanya Mtanzania or ni wale wa chama kilee, kiongozi wao ni wa Elimu ya hapa na pale.

Niliwasikia kwenye KTN
 

Total wamepitisha kwakuwa mna usalama au you are cheap? mikataba ya ajabu ajabu au Tax heaven utapata wapi kwingine lazima tukubali
Wapi mwananchi wa Kenya atakubali ardhi yake lipite bomba alipwe kifuta machozi badala ya fidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…