eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Total wamepitisha kwakuwa mna usalama au you are cheap? mikataba ya ajabu ajabu au Tax heaven utapata wapi kwingine lazima tukubali
Wapi mwananchi wa Kenya atakubali ardhi yake lipite bomba alipwe kifuta machozi badala ya fidia
sheria ya ARDHI ya 1999 inasema compensation must be full fair and prompt.
weeeee endelea na machungu yako ya kukomeshwa kuuza madawa ya kulevya, kuuza pembe za ndovu, kuiba makontena bandarini, kukwepa kodi na maluwe luwe kibao.
lazima muisome namba.