Nikweli kabisa si ni bora kuliko kuwa msenge wa aina yakoItakuwa Mkenya anakubong'olesha..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikweli kabisa si ni bora kuliko kuwa msenge wa aina yakoItakuwa Mkenya anakubong'olesha..
Hivi? Ni kwa nini tulikataa USD Bilioni 7 za ujenzi wa Reli hiyo? Na kuamua kujenga kwa pesa zetu kidogokidogo.?
duuh swali gumu...ngoja waje wenye data za kutosha!!Hivi? Ni kwa nini tulikataa USD Bilioni 7 za ujenzi wa Reli hiyo? Na kuamua kujenga kwa pesa zetu kidogokidogo.?
Simultaneously constructionphase one hawajamaliza washaanza kuongelea phase 2...😀😀😀
Is phase 1 done already?
kwa usd 7.5b hizo ni hela nyingi sanaInawezekana, ila sidhani kigezo cha kupewa Merkez ni kwa sababu pesa inatoka Turkey. Hayo mambo wamefanya wa Kenya. Kma ndyo hivyo wachina walikua tayari ku finance the entire project ili mradi tu contract ya ujenzi wapewe wao.
usd 7.5b rekebisha hapo juu halafu aina ya reli ingekuww kama ya kenya ambayo sio electricHivi? Ni kwa nini tulikataa USD Bilioni 7 za ujenzi wa Reli hiyo? Na kuamua kujenga kwa pesa zetu kidogokidogo.?
Djibouti ni nchi ndogo sana lakini very stable politically and economically, usichanganye kati ya Djibouti na Somali land, au Ethiopia, Djibouti wapo peace sana kisiasa na uchumi wao unafanya vizuri sana, ndiyo sababu wala husikii ikitajwa mara kwa mara, ni kama vile Mauritius, hebu tuambie unaposema Djibouti haiminiki unamaana gani?
Kuhusu Ethiopia kuwa na reli kuunganisha nchi mbili yaani Djibouti na Kenya, hakuna nchi hapa Africa yenye uwezo wa kujenga SGR mbili tofauti, hata Egypt, au South Africa hawana uwezo huo, hiyo moja tu ikikamilika ni mafanikio makubwa sana, sembuse eti wajenge ya pili, unaota mchana kweupe, sababu kubwa iliyomfanya Kagame kubadilisha wazo la kuunganisha na Mombasa ambako walishakubaliana na Uganda, Kenya, na South Sugan, ni Uganda kushindwa kuunganisha kipande cha Kampala kwenda mpaka wa Rwanda, ni kilometa hazizidi 300, itakuwa urefu wa Addis hadi Lamu?
Kuhusu usalama wa kupitisha miundombinu, umeuliza hapa Tanzania upo wapi?, jibu analo Total ya ufaransa, wao wanauona kwa sababu watu wenye mtindio wa ubongo huwa wanakosa coordination kati ya macho na ubongo, anaweza macho yakatazama kuku, lakini ubongo ukatafsiri picha ya Simba, ila sijasema kwa wewe upo hivyo
Ninakuhakikishia hizi reli za Tanzania na Kenya ni initiatives za nchi hizi mbili kwa faida ya hizi nchi mbili, china zaidi ya kufanya biashara ya kukopesha pesa na kupata tenda za ujenzi sidhani kama huko kwengine kuna muhusu sana, kama lengo ni kupitisha mizigo yake kwanini asichangie japo nusu ya gharama, kwanini ajenge reli mbili au tatu ambazo zote sinaelekea sehemu moja, huoni huko ni kujimaliza kibiashara, kwanini akubali kujenga reli ya mwendokasi mdogo, 80km/hr kutoka Mombasa hadi pwani ya Antlantic si ni bora kuzunguka kwa meli kupitia Cape Town, wewe kwa maoni yako, hizi reli zetu unadhani zitafika mbali?, yaKenya mwisho wake ni Kampala, kama Museven hatobadilisha mawazo, mbeli kabisa ni Juba, endapo South Sudan itatulia, ile ya Tanzania mwisho ni Kigali, kama Kagame hatobadilika, mbali kabisa ni Eastern DRC, kama hiyo nchi itatulia, beyond those areas, ni ndoto za mchana, na kama ikitokea ni baada ya vizazi vinne toka sasa, may be a hundred years from todayMaybe sote hapa tunapaswa kusoma zaidi juu ya China One Belt, One Road Initiative. Mifano hii hapa na hapa.
Mwisho wa siku, waChina wanataka kuunganisha Indian Ocean na Atlantic Ocean ili kupunguza shipping fees zinazotozwa kwenye Suez Canal, shipping times toka china hadi North/South America bila kuzunguka Africa Kusini n.k.
Reli hizi (SGR Kenya/Tanzania) ni part of a larger scheme ya China kujitunisha misuli kibiashara.
Lengo lao ni kupitisha bidhaa toka viwanda vyao India/China/Vietnam kwa kutumia bandari (Dar, Mombasa, Bagamoyo?, Lamu, Djibouti), Reli za SGR Kenya, Tanzania, Ethiopia etc, Mizigo itaenda hadi Angola, Nigeria na kuendelea hadi Marekani, Brazil n.k. Jamaa wanafungua trade routes mpya. Swali la kujiuliza hapa ni Je, nchi yangu imejiweka sawasawa kuchukua fursa hii kujiendeleza? Tukiendelea kutoa macho tu wenzetu watasafirisha bidhaa zao na makontena yatarudi Asia yamejaa toka marekani/Argentina/Mexico vikipitia kwetu.
Inatia huruma sana kuona WaAfrika tulivyobaki kubishana wenyewe na kushabikia SGR zenye urefu chini ya 2000 KM ilhali wenzetu wameshaona mbali na wanajijengea fursa. Tulimkosea mungu nini jamani???
Mkuu najua ilikua USD 7.6 B, Ila mimi sijasema nipesa ndogo wala sija shauli tungechukua. Ninacho sema sizani kama kigezo cha kupewa tender Markez ni kwa sababu Turkey ame finance project. Kweli kwa USd7.6 b kwa style hii ya Magu mpaka project ina isha tunaeza tuka tumia the same amount au less halafu full electric.kwa usd 7.5b hizo ni hela nyingi sana
Before we proceed Have you read on the OBOR first?Ninakuhakikishia hizi reli za Tanzania na Kenya ni initiatives za nchi hizi mbili kwa faida ya hizi nchi mbili, china zaidi ya kufanya biashara ya kukopesha pesa na kupata tenda za ujenzi sidhani kama huko kwengine kuna muhusu sana, kama lengo ni kupitisha mizigo yake kwanini asichangie japo nusu ya gharama, kwanini ajenge reli mbili au tatu ambazo zote sinaelekea sehemu moja, huoni huko ni kujimaliza kibiashara, kwanini akubali kujenga reli ya mwendokasi mdogo, 80km/hr kutoka Mombasa hadi pwani ya Antlantic si ni bora kuzunguka kwa meli kupitia Cape Town, wewe kwa maoni yako, hizi reli zetu unadhani zitafika mbali?, yaKenya mwisho wake ni Kampala, kama Museven hatobadilisha mawazo, mbeli kabisa ni Juba, endapo South Sudan itatulia, ile ya Tanzania mwisho ni Kigali, kama Kagame hatobadilika, mbali kabisa ni Eastern DRC, kama hiyo nchi itatulia, beyond those areas, ni ndoto za mchana, na kama ikitokea ni baada ya vizazi vinne toka sasa, may be a hundred years from today
Bado sijasoma, hebu nipe link tafadhaliBefore we proceed Have you read on the OBOR first?
usd 7.5b rekebisha hapo juu halafu aina ya reli ingekuww kama ya kenya ambayo sio electric
Mpaka saivi tumeshasaini mkataba wa Ujenzi wa sgr km's zaidi ya 500 kwa pesa haizidi 2.7 billion.Mkuu najua ilikua USD 7.6 B, Ila mimi sijasema nipesa ndogo wala sija shauli tungechukua. Ninacho sema sizani kama kigezo cha kupewa tender Markez ni kwa sababu Turkey ame finance project. Kweli kwa USd7.6 b kwa style hii ya Magu mpaka project ina isha tunaeza tuka tumia the same amount au less halafu full electric.
Good stuff... ila Dar-Moro ilikua approx 1.2 na Moro-Dom approx 1.9, Total ina gonga 3.1 b. I stand to be corrected, Otherwise our project is superb n way cheaper.Mpaka saivi tumeshasaini mkataba wa Ujenzi wa sgr km's zaidi ya 500 kwa pesa haizidi 2.7 billion.
Reli awamu ya kwanza ni 1000 km's na kichele hivyo unaweza kuona gharama halisi ukizingatia hii ni ya umeme lakini ya kichina ya 7 billion ilikua ya diesel na chini ya 120km kwa saa.
Yetu kuanzia Dodoma itakua 200km kwa saa
Nimekua busy sana, kuhama nyumba, kazi mpya laptop mpya...nkHahaha ndugu yangu Kafrica, nimefurahi sana kukuona tena, maana kule kwenye mdahalo ulipotea ghafla kule hadi nikawa na wasiwasi, karibu tena kwenye mdahalo huu
Kila kitu kizuri ni lazima ukitolee jasho, pesa ya WB huwa ni nzuri sana, masharti yake ya kulipa ni mepesi sana, na huwa inakuwa nyingi, riba ni ndogo sana, grace period ni ndefu sana, na mambo mengine mazuri mazuri kuliko bank za biashara, nchi zote duniani ikiwemo Marekani wanapotaka kukopa kwanza wanaanza na WB, kabla ya kwenda China, kwa hiyo lazima wawe na mlolongo mrefu kabla hawajazitoa pesa zao, ila ukizipata, unapeta sana.
Kama hutaki huo mlolongo, benki za kibiashara zinakusubiri kwa hamu kubwa sana, hao Exim Bank, watakupa haraka sana, lakini kabla hata pesa hujaitia mikononi, tayari riba inakungoja. Kwa Tanzania tumepata pesa nyingi sana za WB, kuanzia upanuzi wa bandari ya Dar, BRT, miradi ya maji, umeme, na juzi wameahidi kutoa tena taktriba $2B, kwa hiyo huu wa SGR walishasema hawatoweza kujenga reli mbili katika nchi moja, wao ndiyo wanaokarabati reli ya kati ya zamani