Tanzania ready for phase two of SGR from Morogoro to Dodoma

Tanzania ready for phase two of SGR from Morogoro to Dodoma

Wenye taarifa tupeni nimesikia anataka kuifufua reli ya kaskazini ya Tanga - Kilimanjaro - Arusha sababu wameanza kubomoa nyumba kwenye hifadhi ya reli kwenye reli yote nyumba zinabomolewa maeneo hayo saivi.
 
Tulivyonunua ndege cash walilalamika... Tunakopa na kujenga reli nayo wanalalamika..

Sasa wanataka tufanyaje?
Mwanasiasa akiwa analalamika hivyo huwaga naelewa anatetea tumbo lake. Tatizo kuna watu wana meza maneno ya wanasiasa na kuya tapika kma yalivyo! Huwaga wananichosha sana
 
Umeuliza swali zuri sana, ninataka kujaribu kutabiri, japo ukweli utajulikana hiyo saa ya kusaini huo mkataba
1)Turkey Exim Bank
2)AfDB
3)GoT na Turkey Exim Bank

Ngoja tusubiri tutajua ukweli soon.
Hivi zile USD 500 m kutoka credit suisse haziletwi uku. Mm nahisi kuna baadhi zitaletwa uku kma siyo zote..
 
pesa atakuwa ametoa exim bank ya Turkey ndo maana mkandarasi amepewa tena Yap Merkez
 
Hivi umewahi kusafiri Mombasa to Nairobi unajua kulikuwa kuna Malori mangapi hapo njiani hizo tu zinatosha SGR ya Nairobi Mokbasa kuwa bize.

Sasa hii ya Dar Moro inaenda kuleta nini mkaa au wapogoro
Hivi sisi TAZARA japo Kenya hawakuwahi kuwa na kiwango cha reli kama hiyo imekuwa na mzigo wa kutosha?
Wewe punga Peleka ujinga wako..
 
Tulivyonunua ndege cash walilalamika... Tunakopa na kujenga reli nayo wanalalamika..

Sasa wanataka tufanyaje?

Hao mkulu achana nao, hawa ni wale ambao wasiojua wanachokitaka. Nikukumbushe kitu, kipindi cha JK kuna watu walisema bora wawe chini ya jeshi, maana serikali hii ni legelege inaachia tu wala rushwa, wauza unga, wauza pembe za ndovu, wezi wa makontena bandarini nk, walilialia sana mpaka wakafikia hatua ya kumsema vibaya JK wa watu. Sasa amekuja jamaa ambaye anafanya yale waliouwa wanayalilia wanaanza kulialia tena. Sasa sijui tuwasaidiaje.
Binadamu mgumu sana, na nashukuru Rais wangu JPM ameelewa tabia ya binadamu ambayo haieleweki, maana kukiwa na mvua wanalalamika tunataka jua, kukiwa na jua wanalilia mvua. Hivyo yeye anasema wewe piga kaz tu watekuelewa tu baadaye.
.
 
pesa atakuwa ametoa exim bank ya Turkey ndo maana mkandarasi amepewa tena Yap Merkez
Inawezekana, ila sidhani kigezo cha kupewa Merkez ni kwa sababu pesa inatoka Turkey. Hayo mambo wamefanya wa Kenya. Kma ndyo hivyo wachina walikua tayari ku finance the entire project ili mradi tu contract ya ujenzi wapewe wao.
 
Back
Top Bottom