Tanzania ready for phase two of SGR from Morogoro to Dodoma

Tanzania ready for phase two of SGR from Morogoro to Dodoma

Sina shida wewe kuwa na mashaka na elimu yangu maana hata mimi namashaka na uwezo wako wa akili hasa nikijua kama mtanzania ulidumaa utotoni

Ethiopia hawezi kukwepa Kenya sababu hawezi kutegemea njia moja tu ya kuingiza mizigo yake Djibouti ambayo ni nchi isiyoeleweka.
Tanzania kuna usalama upi huo labda kuliko kwa wenzetu?
Tz tuna Usalama UPI kuliko wenzetu? You must be insane.
 
I know right now all options are open looking for funding but out of the goodness of my heart. Don't get the World bank involved, try as much as possible to avoid that path, those guys will take you round and round with feasibility studies and environmental studies..by the time they release funds it will be forever
Hahaha ndugu yangu Kafrica, nimefurahi sana kukuona tena, maana kule kwenye mdahalo ulipotea ghafla kule hadi nikawa na wasiwasi, karibu tena kwenye mdahalo huu

Kila kitu kizuri ni lazima ukitolee jasho, pesa ya WB huwa ni nzuri sana, masharti yake ya kulipa ni mepesi sana, na huwa inakuwa nyingi, riba ni ndogo sana, grace period ni ndefu sana, na mambo mengine mazuri mazuri kuliko bank za biashara, nchi zote duniani ikiwemo Marekani wanapotaka kukopa kwanza wanaanza na WB, kabla ya kwenda China, kwa hiyo lazima wawe na mlolongo mrefu kabla hawajazitoa pesa zao, ila ukizipata, unapeta sana.

Kama hutaki huo mlolongo, benki za kibiashara zinakusubiri kwa hamu kubwa sana, hao Exim Bank, watakupa haraka sana, lakini kabla hata pesa hujaitia mikononi, tayari riba inakungoja. Kwa Tanzania tumepata pesa nyingi sana za WB, kuanzia upanuzi wa bandari ya Dar, BRT, miradi ya maji, umeme, na juzi wameahidi kutoa tena taktriba $2B, kwa hiyo huu wa SGR walishasema hawatoweza kujenga reli mbili katika nchi moja, wao ndiyo wanaokarabati reli ya kati ya zamani
 
Tz tuna Usalama UPI kuliko wenzetu? You must be insane.
Kuna usalama Mabasi zinalala wakati majirani zetu wote usiku hakuna kulala.
Mtu unafanya kazi mchana usiku unapanda basi unafikia mji mwingine asubuhi unafanya biashara jioni unarudi.
Wapi Tanzania unaweza kufanya hivyo?
Huko Ethiopia unakosema hakuna usalama tunapanda basi la kwenda Moyale saa mbili usiku pale Nairobi

Kuna usalama siwezi kutoka saa moja usiku kwa basi kwenda Dar es salaam inabidi nije kulala
 
Total wamepitisha kwakuwa mna usalama au you are cheap? mikataba ya ajabu ajabu au Tax heaven utapata wapi kwingine lazima tukubali
Wapi mwananchi wa Kenya atakubali ardhi yake lipite bomba alipwe kifuta machozi badala ya fidia
Nimeshauriwa niachane na wewe kwa sababu walio wengi wamegundua upungufu mkubwa ulionao wa taarifa na uwelewa, mimi ninachukulia hili tatizo ulilonalo ni ugonjwa utokanao na kutokua na information, nao ni ugonjwa kama magonjwa mengine ambayo yanatibiwa hospitalini na mengine yatokanayo na mapepo huombewa, mimi ni mchungaji wa Kanisani, lakini kwa sasa sitokuombea nitaendelea kukupa taarifa.

Sababu zilizotolewa na TOTAL kuja kuanza mazungumzo na Magufuli ni;
1)Usalama, bomba lingepitia Northen part ya Kenya, ni karibu sana na Somalia, pia huko kuna jamii za wafugaji zinapigana mara kwa mara, walishaanza kutoa vitisho dhidi ya ujenzi wa hili bomba
2)Bandari ya Lamu ilikua hata kuanza kujengwa ilikua haijaanza, waliona itachelewesha usafirishaji wa mafuta ghafi
3)Bandari ya Lamu kutokua na kingo za kukinga monsoon wind, hivyo kutofanya kazi kipindi chote cha mwaka
4) political situation ya Kenya kutokua stable, hasa kipindi kama hiki cha uchaguzi
5) Northen part ya Kenya kutokuwepo na miundombinu mizuri, kama barabara, maji, umeme nk.

Hiyo ya landa compensation wala haikutajwa, kama ilikuwepo ni very minor. Lakini hata kama ni kweli ilikuwepo, wewe unaona ni jambo la busara nchi kukosa mradi mkubwa kama huu ambapo utatoa ajira lukuki na serikali kupata takriban $1B kwa mwaka kwa sababu ya watu wachache wenye ardhi kutaka pesa nyingi?
 
Kuna usalama Mabasi zinalala wakati majirani zetu wote usiku hakuna kulala.
Mtu unafanya kazi mchana usiku unapanda basi unafikia mji mwingine asubuhi unafanya biashara jioni unarudi.
Wapi Tanzania unaweza kufanya hivyo?
Huko Ethiopia unakosema hakuna usalama tunapanda basi la kwenda Moyale saa mbili usiku pale Nairobi

Kuna usalama siwezi kutoka saa moja usiku kwa basi kwenda Dar es salaam inabidi nije kulala
Unachekesha na kusikitisha at the same time.
Haya hamia huko ukaishi kwa usalama na uweze kusafiri usiku.
 
Nimeshauriwa niachane na wewe kwa sababu walio wengi wamegundua upungufu mkubwa ulionao wa taarifa na uwelewa, mimi ninachukulia hili tatizo ulilonalo ni ugonjwa utokanao na kutokua na information, nao ni ugonjwa kama magonjwa mengine ambayo yanatibiwa hospitalini na mengine yatokanayo na mapepo huombewa, mimi ni mchungaji wa Kanisani, lakini kwa sasa sitokuombea nitaendelea kukupa taarifa.

Sababu zilizotolewa na TOTAL kuja kuanza mazungumzo na Magufuli ni;
1)Usalama, bomba lingepitia Northen part ya Kenya, ni karibu sana na Somalia, pia huko kuna jamii za wafugaji zinapigana mara kwa mara, walishaanza kutoa vitisho dhidi ya ujenzi wa hili bomba
2)Bandari ya Lamu ilikua hata kuanza kujengwa ilikua haijaanza, waliona itachelewesha usafirishaji wa mafuta ghafi
3)Bandari ya Lamu kutokua na kingo za kukinga monsoon wind, hivyo kutofanya kazi kipindi chote cha mwaka
4) political situation ya Kenya kutokua stable, hasa kipindi kama hiki cha uchaguzi
5) Northen part ya Kenya kutokuwepo na miundombinu mizuri, kama barabara, maji, umeme nk.

Hiyo ya landa compensation wala haikutajwa, kama ilikuwepo ni very minor. Lakini hata kama ni kweli ilikuwepo, wewe unaona ni jambo la busara nchi kukosa mradi mkubwa kama huu ambapo utatoa ajira lukuki na serikali kupata takriban $1B kwa mwaka kwa sababu ya watu wachache wenye ardhi kutaka pesa nyingi?
We mpuuzi Somalia iko north party ya Kenya usiwe unakubali sababu za kuambiwa na wazungu.
Wanawapaga sababu huku wanawaibia hata madini mlijisifu tuna amani wawekezaji wamekuja amani ipi mpuuzi wewe.

Walichokwepa Kenya hakuna ardhi ya bure kama tanzania ya kutolipa fidia ya maana
 
Samahani nilikosea, Somalia ipo west ya Kenya, kati kati ya Rwanda na burundi, mimi sijafundishwa matusi, na kwa kuwa ni mtumishi wa mungu, huwa tunafundishwa kuwa mtu mwenye matusi tuwe tunawaombea, mwanzoni nilisema sitokuomea, ila sina jinsi inabidi nifanye maombi tu.

Ninaona kichwa kimepata moto, unashindwa kujibu hoja unaanza kurusha matusi, huko kamwe hutonipata, rudi kwenye hoja ya msingi, tulia kwenye hoja moja, umetoka Kenya kwenye SGR unaingia Tanzania kwenye madini, akili ni zilezile, za walewaleeee, tulia kwenye hoja moja jenga hoja, ikiisha lete hoja ingine ueleweshwe, acha kurukaruka kama kuku aliyekatwa kichwa.

Points tano nilizokupa ndizo walizozitoa wenyewe Total kwamba ndizo zilizowasukuma kuja Tanzania, wewe unasema nisiwasikilize ila tukusikilize wewe, mimi ninaweza kukubaliana na wewe ila niambie, kama wewe mwenzitu ulishalalwa na wao kitandani wakakuambia siri za ndani ambazo hawawezi kuzitoa hadharani, ukinipa hakikisho hilo, basi kuanzia leo nitakuwa ninakusikiliza wewe
 
Mara nyingi huwa ninashangaa kama kweli ninyi wakenya mnafuatilia mambo kwa undani au mnafanya kwa ushabiki tu, kama utafuatilia na kuangalia working framework ya ujenzi wa SGR ya Kenya na Tanzania, utaona kwamba, wakati ile ya Kenya ikifika Kisumu, ile ya Tanzania itakua imefika Mwanza, hii ni kwa sababu zifuatazo
1) SGR ya Kenya imepangwa kujengwa hivyo, kwamba awamu moja ikimalizika ndiyo ianze ujenzi wa awamu inayofuata, ile ya Tanzania awamu zote zinaenda pamoja
2)Mkandarasi wa SGR ya Kenya ni huyohuyo mmoja kutoka mwanzo hadi mwisho, Tanzania imeamua kuwa na wakandarasi tofauti tofauti, wote waweze kufanyakazi kwa wakati mmoja
3) Reli ya Kenya ina mahandaki mengi na marefu, na madaraja mengi ambavyo vyote vinachukua muda mrefu sana hadi kukamilika kwake.

Kwa sababu hiyo reli ya Tanzania inategewewa kuisha mapema kuliko ile ya Kenya, kama kuna mkenya mwenye ile working plan ya ujenzi wa hiyo reli anaweza kuileta ili tulinganishe na ile ya Tanzania, tuone inayotegemewa kuisha mapema ni ipi?

Aksante kwa kutabanaisha hayo,
Pamoja na hayo pia hata source of funding ni tofauti kwa kila phase, wakati SGR ya Kenya source ni mmoja.

Pia neno phase not necessarily meaning or reflecting implemeting the project in different time frames. It can be in phases but implemented concurrently.
 
Nitaendelea kujielimisha Nashukuru.
Lakini tujiulize sisi zimeyumba zote Tazara ya kati na hata ya kaskazini inamaana hakuna kinachoendelea Tanzania kuhusu reli.

South Sudan Uganda Rwanda Central Africa Burundi Ethiopia na DRC wataendelea kuitumia bandari ya Mombasa na ya Lamu kila siku haitakoma kwasababu hawawezi kuitumainia Tanzania kibiashara na unajua hilo.
Kenya inasonga mbele ukifika unaona matumaini kabisa.

Wao wamejenga hadi Nairobi sasa wanaelekea Nivasha sisi tunajenga kwenda Morogoro na Dodoma kuna nini?
Kweli wewe ni taahira reli inaishia dodoma na morogoro?
 
Kweli wewe ni taahira reli inaishia dodoma na morogoro?
We kamasi unadhani Tanzania ina hela au mtu wa kuikopesha kuifikisha mpakani na Rwanda si umeona sasa hivi itafika Morogoro 2020+ Dodoma ndio tenda imwtangazwa itafika lini mavi ya kuku wewe
 
Djibouti ni nchi ndogo sana lakini very stable politically and economically, usichanganye kati ya Djibouti na Somali land, au Ethiopia, Djibouti wapo peace sana kisiasa na uchumi wao unafanya vizuri sana, ndiyo sababu wala husikii ikitajwa mara kwa mara, ni kama vile Mauritius, hebu tuambie unaposema Djibouti haiminiki unamaana gani?

Kuhusu Ethiopia kuwa na reli kuunganisha nchi mbili yaani Djibouti na Kenya, hakuna nchi hapa Africa yenye uwezo wa kujenga SGR mbili tofauti, hata Egypt, au South Africa hawana uwezo huo, hiyo moja tu ikikamilika ni mafanikio makubwa sana, sembuse eti wajenge ya pili, unaota mchana kweupe, sababu kubwa iliyomfanya Kagame kubadilisha wazo la kuunganisha na Mombasa ambako walishakubaliana na Uganda, Kenya, na South Sugan, ni Uganda kushindwa kuunganisha kipande cha Kampala kwenda mpaka wa Rwanda, ni kilometa hazizidi 300, itakuwa urefu wa Addis hadi Lamu?

Kuhusu usalama wa kupitisha miundombinu, umeuliza hapa Tanzania upo wapi?, jibu analo Total ya ufaransa, wao wanauona kwa sababu watu wenye mtindio wa ubongo huwa wanakosa coordination kati ya macho na ubongo, anaweza macho yakatazama kuku, lakini ubongo ukatafsiri picha ya Simba, ila sijasema kwa wewe upo hivyo
Mkuu upo vizuri, nakuomba tu acha kumpa attention huyo MTOCHORO ni kilaza wa KUTUPWA ni kama unampaisha sana wakati ni akili nusu kijiko kwako.
 
Mkuu upo vizuri, nakuomba tu acha kumpa attention huyo MTOCHORO ni kilaza wa KUTUPWA ni kama unampaisha sana wakati ni akili nusu kijiko kwako.
Nimekuelewa, ngoja tuachane nae tuendelee kueliminasha na watu wa maana, mimi nilidhani ni mtu wa maana kumbe nilikosea, asante sana kwa ushauri wako.
 
We kamasi unadhani Tanzania ina hela au mtu wa kuikopesha kuifikisha mpakani na Rwanda si umeona sasa hivi itafika Morogoro 2020+ Dodoma ndio tenda imwtangazwa itafika lini mavi ya kuku wewe
Ptuuuuu niondolee mavi mimi
 
Aksante kwa kutabanaisha hayo,
Pamoja na hayo pia hata source of funding ni tofauti kwa kila phase, wakati SGR ya Kenya source ni mmoja.

Pia neno phase not necessarily meaning or reflecting implemeting the project in different time frames. It can be in phases but implemented concurrently.
Ni kweli kabisa, sources za pesa kwa Tanzania zitakuwa tofauti, kwa mfano, awamu ya kwanza ni serikali imelipia, AfDB imekubali kutoa pesa, hatujajua kama itatoa za phases zote zilizobaki au hapana, Turkey exim bank mazungumzo yapo katika awamu nzuri, ila Magufuli lengo lake ni sehemu kubwa serikali igharimie, na itakayobaki iwe AfDB, hapendi mikopo ya kibiashara

Kwa upande wa Kenya ni tofauti kidogo, pesa italipwa na China Exim bank, na contractor ni mchina, ila pesa inatolewa kwa phases na exim bank, wao wanataka phase moja ikimwlizika wajiridhishe ndiyo waidhinishe malipo ya phase inayofuata, kwa mfano, bado wanasuasua kuwapa Uganda pesa hadi pale Kenya itakapowahakikishia kwamba reli itafika Malaba, kwa sababu kuna kipindi Rwanda ilipoamua kujiunga na Tanzani na Uganda kuwa kwenye dilema, Kenya ilifikiria kuishia Kisumu, ikitokea hivyo basi reli ya Uganda toka Kampala hadi mpakani mwa Kenya haitopata pesa toka Exim ya china
 
Is phase 1 done already?
phase one hawajamaliza washaanza kuongelea phase 2...😀😀😀
kinda joke.
hii ndio inaitwa tanzania ya vi-wonder....phase one haijatoka hata renders za station jamaa wanasema phase two ina start soon..😀😀😀..rusheni mawe nimevaa helmet na ikizidi ntayaokota nijengee nyumba
Single solitary inch ya phase one SGR bado.
Mbona watu mnalilia bila fact, Tanzania serikali ilishasema reli itajengwa kwa vipande vitano independent lakini simultaneously kwa makampuni tofauti ili iishe haraka, hivyo hilo swali la mbona phase one haijaisha tunaingia phase two halina mantiki

Katika picture inaonekana reli yenye rangi tofauti kila rangi hapo ni phase tofauti na itajengwa na company tofauti mpaka reli iishe yote hii project sio one man show.
screenshot_2017-09-28-17-06-54-png.597629
 
Back
Top Bottom