Djibouti ni nchi ndogo sana lakini very stable politically and economically, usichanganye kati ya Djibouti na Somali land, au Ethiopia, Djibouti wapo peace sana kisiasa na uchumi wao unafanya vizuri sana, ndiyo sababu wala husikii ikitajwa mara kwa mara, ni kama vile Mauritius, hebu tuambie unaposema Djibouti haiminiki unamaana gani?
Kuhusu Ethiopia kuwa na reli kuunganisha nchi mbili yaani Djibouti na Kenya, hakuna nchi hapa Africa yenye uwezo wa kujenga SGR mbili tofauti, hata Egypt, au South Africa hawana uwezo huo, hiyo moja tu ikikamilika ni mafanikio makubwa sana, sembuse eti wajenge ya pili, unaota mchana kweupe, sababu kubwa iliyomfanya Kagame kubadilisha wazo la kuunganisha na Mombasa ambako walishakubaliana na Uganda, Kenya, na South Sugan, ni Uganda kushindwa kuunganisha kipande cha Kampala kwenda mpaka wa Rwanda, ni kilometa hazizidi 300, itakuwa urefu wa Addis hadi Lamu?
Kuhusu usalama wa kupitisha miundombinu, umeuliza hapa Tanzania upo wapi?, jibu analo Total ya ufaransa, wao wanauona kwa sababu watu wenye mtindio wa ubongo huwa wanakosa coordination kati ya macho na ubongo, anaweza macho yakatazama kuku, lakini ubongo ukatafsiri picha ya Simba, ila sijasema kwa wewe upo hivyo