MTOCHORO, ninakuomba uwe unajaribu kujielimisha kwanza kabka ya kukurupuka kujibi hizi mada, hakuna nchi yoyote ile ndani ya nchi hizi masikini ambazo zinaweza kulipia deni kubwa kiasi hiki cha SGR kwa kutegemea mizigo ya ndani peke yake, pili unashindwa kuelewa kwamba hayo malori unayokutana nayo yanayotoka Mombasa kwenda Nairobi siyo ya Kenya peke yake, ni pamoja na, Uganda, Rwanda, South Sudan, DRC, Burundi, na Northen Tanzania?.
Kuhusu TAZARA, unafahamu fika kwamba ufanisi wa TAZARA uliyomba kama zilivyoyumba RVR kule Kenya na reli ya Uganda, au kama vilivyoyumba viwanda vingi hapa nchini, ila kwa sasa kila nchi inaamka kuimarisha utendaji wa mashirika ya reli, ndege na viwanda, kwa sasa hivi TAZARA imeanza kupata mizigo mingi ya DRC ambayo mwanzoni ilikua ikitumia barabara.