Tanzania records the largest drop in trade with EAC partners

Umeenda Sudan au Uganda ukaona heka heka za wakenya huko Tanzania kumelala

Tanzania inafaidi nini SADC kuna nini tunauzaa huko
 
Umeenda Sudan au Uganda ukaona heka heka za wakenya huko Tanzania kumelala

Tanzania inafaidi nini SADC kuna nini tunauzaa huko
Tatizo wewe huna data unatumia utashi na kile unachokiona kwa macho, Mpaka wa Tanzania na Zambia ndiyo mpaka busy ukifuatiwa na Kasumbalesa kuelekea Rwanda, Namanga unachukua namba tatu, hii maana yake ni kwamba kuna bidhaa nyingi zinazovuka katika mipaka hii kuliko kati ya Kenya na Tanzania, nyingi ya bidhaa hizi zipo in transit, maana yake ni watumiaji wa kubwa wa bandari yetu kwahiyo tunapata mapato.

Ukitaka kujua ni kiasi gani Tanzania inafanya biashara kubwa na nchi za SADC, unaweza kugoogle uone ni kiasi gani tunapata kwa ujumla tunapofanya biashara na Mozambique + Malawi + Zambia +DRC +Zimbabwe +South Africa + Botswana +Angola, ukishapata jibu ulinganishe na kiwango cha biashara tunachofanya na Kenya, sidhani kama utadiriki tena kusema hivi unavyosema.
 
Umeenda Sudan au Uganda ukaona heka heka za wakenya huko Tanzania kumelala

Tanzania inafaidi nini SADC kuna nini tunauzaa huko
Kumbuka kwamba watanzania wengi sana wapo katika nchi za kusini mwa Africa wakijitafutia maisha, hata wale ambao wasingeweza kupata viza za nchi hizo kutokana na kutokuwa na sifa za kupata viza, lakini kwa sababu tupo SADC, tunaruhusiwa kwend bila viza, kitu ambacho wakenya hadi leo wanabembeleza waondolewe viza ya South Africa lakini wamekataliwa.
 
Kubwa linabaki tunaitaka sana Kenya kwenye Biashara zetu
Kwenye masuala ya biashara, kila nchi huitegemea nyingine! tunaitaka kenya na kenya inatutaka!

Cha kuangalia hapa labda ni kuwa ni nchi gani gani ya tz na ke inaihitaji nyenzake zaidi? Hilo ndo swali.
 
Ni upuuzi kununua Jam Kenya wakati ndani ya lisaaa unaweza kuitengeneza.

Mwandishi anasahau Tanzania na Uganda inajenga bomba kubwa la kusafirisha mafuta.




Kweli wewe ni Jingalao...hujui chochote kilichoandikwa hapo kwenye hiyo makala...hopeless!
 
Kwenye masuala ya biashara, kila nchi huitegemea nyingine! tunaitaka kenya na kenya inatutaka!

Cha kuangalia hapa labda ni kuwa ni nchi gani gani ya tz na ke inaihitaji nyenzake zaidi? Hilo ndo swali.

Angalia trade deficit,hakuna uwiano..Kenya inatu-exportia zaidi,sisi tunaexport kwenda kwao chini ya kiwango....Walao tuwe na uwiano....Kenya ipo kwenye upper hand...na hii sio tangu jana,ni tangu dunia iumbwe...ni sisi kukimbia kwa speed kufunga gap lilipo walao tu na uwiano kwenye trade equilbrium...
 
Kwa mantiki hiyo kenya wanatuhitaji zaidi kibiashara kuliko sisi tunavyowahitaji! Hivyo ni wajibu wa kenya kuhakikisha wanaweka mazingira mazuri zaidi ya biashara badala ya tz kuhangaika! Ndiyo maana unaona rais wa kenya anajaribu kuweka mazingira mazuri zaidi ya biashara kwa nchi majirani ili tu asilikose soko la tz!

Kingine ni kuwa, kwa sasa kama vitu ambavyo vinatoka kenya ambavyo hapa havizalishwi ni vichache sana, tofauti ni ubora!
 

Sasa mzee wewe unaangalia viza?Jesus Christ....visa inatakiwa i-translate kwenye trading volumes...story za visa ni useless....labda uniambie utalii wa SA kuja nchini,ambao infact tunapata wapanda mlima Kili tu na Zanzibar..pamoja na hivyo bado hatujaweza i-beat Kenya in that alone....

Kujitafutia maisha kwa visa za bure SA?Like serious?Nipe namba za remittances za kutoka diaspora tu za Watanzania wote abroad combined kama inakutia hata remittances za Kenyan diaspora?Not even close.

Hizi sijui free viza ni ridiculous excuse.Movement ya mizigo ndio muhimu zaidi hata ya movements za watu in this 21st century.

Free visa zinatakiwa ziwe na impact kubwa kwenye walao utalii,lakini bado hata hatujaweza ku-capitalize on that.Vivutio vingi vilivyopo TZ vipo SA in large scale,sio mbuga,sio local history,sio nini...labda mount Kili na Zanzibar only....
 

Bwana Escudo kuhitajiwa sio kitu...kuhitajiwa sio sifa kama unavyodhani mzee...unahitajiwa ili uliwe..wewe unaona kutongozwa ndio sifa?.....hiyo sio sifa...inatakiwa ule na wewe uliwe...tatizo TZ tunaliwa..sisi ni one-way market...inatakiwa na sisi tu-export at the same rate ndio healthy long-term relationship hiyo,na pia kunakua na mutual respect.....otherwise kuhitajiwa unayoitetea wewe does not make any economic sense to TZ.
 
Wewe tatizo lako unadandia gari katikati hujui lilikotoka wala linakokwenda, tulia fuatilia mazungumzo ndiyo uweze kujibu, mimi nimeelezea faida tunazopata kwa kuwa ndani ya SADC, hii uliyodandia wewe ni muendelezo wa nilichoelezea hapo juu kabla ya hiyo.

Wewe eleza ni kipi ambacho Kenya imeizidi Tanzania mpaka uwe unababaika kiasi hicho?, kama ni utalii tumewapita mapato mara tatu zaidi, kama ni FDI pia tumewapita mara tatu zaidi, kama ni kasi ya kukua kwa manufacturing Tanzania ipo 7.7% Kenya ni 3.4%, kama ni kukua kwa GDP, Tanzania ni 6.6% KE ni 4.9%, Kama ni population below poverty line, Tanzania 22% Kenya ni 43%, karibu kila sector Tanzania inafanya vizuri kuliko Kenya, acha kutumia data za zamani ukichanganya na mawazo yako
 

Huyo jamaa kanishangaza akimcheka mwenzake kwa kuwa anafanya biashara ya vitunguu na mayai kupeleka Kenya, anaidharau hio biashara bila kujua it's a multi billion business, hahaha hajui watu wangapi wametajirika na wanaendelea kutajirika kwa biashara hio. This kids are really slow man, try explain it to them, labda kidogo watakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…