Umeenda Sudan au Uganda ukaona heka heka za wakenya huko Tanzania kumelalaKenya inaitaka zaidi Tanzania kama nilivyokuambia kwamba, Tanzania ni kiunganishi cha block kubwa mbili za biashara SADC ambayo ina soko kubwa zaidi ya mara kumi ya EAC, Kenya inategemea zaidi EAC na Tanzania ni nchi Muhimu kuliko zote katika EAC, pia Kenya inaitegemea Tanzania kupitisha bidhaa zake kufikia nchi za SADC
Tanzania inafaidi nini SADC kuna nini tunauzaa huko