Nadhani wewe na mimi tunakinzana kwenye definition ya neno service industry. Nimekupa evidence na sources nyingi zinazosema kwamba service industry ya Kenya ni 50%, sources zingine zinasema ni 60%. Wewe unavyoielewa neno service industry ni tofauti sana na jinsi mchumi yeyote anavyoielewa. Katika historia ya uchumi, sector ya kwanza kabisa ya uchumi iliyochipuza miaka zaidi ya 2,000 iliyopita ni agriculture sector. Ikafuatiwa na manufacturing industry in the 1800s. Baadaye service industry ikafuatia hususan baada ya makampuni makubwa (multinationals) kuanza kuchipuza. Pengine wewe unafikiri kwamba tourism pekee ndio service industry lakini umekosea sana. Neno service industry inabeba subsectors nyingi sana na baadhi ya hizo subsectors ndio hizi hapa:
1. Finance - Banking and Insurance
2. Education- walimu wangapi wameajiriwa kwenye mashule Kenya?
3. Health- Madaktari na manesi wangapi wameajiriwa kazi Kenya?
4. Professional services- accountants, plumbers, architects, engineers, surveyors wangapi wamejiari au kujiariwa kwenye professions hizi?
5. ICT- ICT pia ni subsector ya service industry kwa sababu ukiangalia mambo yanayofanywa ndani ya hii sector, mambo mengi ni service related kwa mfano internet service provider (Isp) wako anaprovide service ya kukuconnect kwa internet.
6. Telecommunication- Hapa ndipo Safaricom inapoingilia. Hii sector pia ni muhimu kwa uchumi wa Kenya. Safaricom ndio kampuni inayolipa ushuru kwa wingi kushinda kampuni yoyote ile Kenya. Wao wanaprovide four major services to Kenyans ya voice calls, text messaging, internet connection na Mpesa
Unaona hado sijafika kwa tourism yako unayoshinda ukiimba hapa?
7. Retail sector- Hapa ndipo supermarket na malls zinaingilia na Kenya ina supermarket, malls, hardware stores na maduka za mitaani nyingi sana na zimeajiri watu wengi.
8. Transport and logistics- Watu wa boda boda, watu wa matatu wanaingilia hapa kwa maana wanaprovide service ya kukubeba kutokea Kariokoo kuelekea Tandale au kutokea Iringa kuelekea Dodoma.
9. Hotels and Restaurants - Kenya ina mahoteli na restaurants nyingi na zimeajiri watu wengi kama wapishi na waiters.
10. Haya sasa tuingie kwa sector yako tourism. Tourism huwa inaajiri watu wengi ila kwa sasa imedhoofika sana kwa sababu ya covid-19.
Kuna subsectors nyingi kushinda hizi. Sasa sijui nani alikudanganya kwamba tourism ndiyo service industry pekee.
eliakeem wewe pia ulikuwa unapingana na mimi hebu kuja hapa. Huenda hamukuwa mnaelewa maana ya neno service industry.
wolfpack na
chongchung pia waje wapate masomo hapa.