Tanzania-Rwanda: Silent war in Tanzania. Watanzania tuwe makini tusitumike bila kujijua...

Tanzania-Rwanda: Silent war in Tanzania. Watanzania tuwe makini tusitumike bila kujijua...

Nkurunzinza asingekomaa angetolewa madarakani kwa kile kilichoitwa nguvu ya umma.
Mkuu Nkurunzinza mahili sana,anazijua sana mbinu chafu za jirani yake kama ni masuala ya covert au overt operations Nkurunzinza na kundi/comrade wake wanayajua sana,wasijidanganye kwamba naweza kuwachezea kitahisi.
 
Unanidanganya Rwanda wapo vzr kwenye technology kuliko wabongo

Si ndio hapo mkuu!! Ukimuhoji ni Technolojia hipi Wanyarwanda wapo vzr- kama unazungumzia TCP/IP suite au other major protocols suites, hebu atwambie wamewahi kuandika/changia kipengere namba ngapi cha RFC?? Au atupatie walao jina moja la raia wa Rwanda ambaye ni member wa IETF. Ninacho taka kusema hapa ni kwamba sio vizuri kudhalau Taifa lako wakati hujui vizuri kinacho endelea.
 
Huwezi ukaandika Rwandans hapo hapo ukaandika these, kwa kawaida huwa Rwandans are... bila ya kutumia these au these bila ya Rwandans lkn siyo siyo maneno yote mawili kwa pamoja!

kama unajua kiingereza kimpango wako mkome kujifanya nywele nyeupe mimi ningetumia those
 
Nitakuwa wa kwanza kuisaliti Tanzania, lazima nikaoe Rwanda ili nipate uraia wa huko, nitarudi Tanzania kutimiza azma ya Rwanda uwezo wangu wa kutengeneza mifumo na programu za kompyuta nitashiriki na Rwanda kuiangamiza Tz, niliambiwa JKT hufundisha uzalendo na nimepita huko ila sijaona uzalendo wowote, Jeshi kama taasisi muhimu ya nchi
Hii imeacha nchi hii imepoteza raia wenye hali raia wenye uwezo wa kuleta maendeleo kila mtu anachuma bila kujali kizaz kijacho viongozi wamekuwa corrupt hatuogopi miaka ijayo vijana mtaani wanashindana kwa likes kwenye mitandao vijana wanatumia.pesa nyingi ovyo kwa.ajili ya starehe bila kujali.mstakabali wao deni la taifa.linaongezeka umasikini.na ujinga.unakuwa bila.juhud demokrasia inakuwa jeshi.linaangalia kwa nini lisianguke wakati ukifika.?

wewe sio bure utakuwa mnyarwanda
 
Jamani Watanzania tufunguke vichwa kidogo; hivi jambo zito na kubwa kama hilo lisijulikane na vyombo mahsusi vya kiintelijensia hadi aandike huyo mwandishi?!!!! Muda wa propaganda mfu umeshapita kitambo; twendeni tukapige kura Jumapili kwa mustakabali wa nchi yetu; hizo article za kutishana zimepitwa na wakati.

Ndo maana lowasa asingepewa nchi hata kama kashinda...
 
I'm dreaming of becoming king maker,siku moja hili lengo litamia nisha jivua utanzania kutoka moyoni.

keep on dreaming, na utakumbana na wazee wa kazi huko field watakunyonyoa vizuri manyonya, ndio utajua kwanini bado nchi ipo salama, usitupotezee muda hapa mtandaoni, kimbia haraka kutimiza malengo yako utawakuta wahusika wanakusubiri wakuwowe .
 
No wonder this forum has plenty of threads about a region of Rwanda. Watanzania mmeingiliwa kwenye nchi yenu.
 
How the situation is today
[/QUOTEi
Is ...! Stigilas inajengwa, reli ndo iyoo ipo moro now, madege ndo usiseme, mabarabara ndo kabisaa yashajengwa, hospulitali, vituo vya afya na zahanati kila kona ya nchi, burigi ndo natonal park, mauwanja ya ndege ndo usipime, mameli ndo yashajengwa huko nyasa na huko viktolia mambo ni mwemwele, shule ndo usiseme njoo muige tuu kwa ujumla mambo ni fayaaaaa..... Lowasa sio habari ya mjini tena, kwa ujunla hapa Kazi tuuu.........Hahaaaaaaaa kama utani vile lakini ndo ukweli wenyewe ko propaganda zilishapita za wanyarwanda huku ni wouuuuuuuuhahaaaaa yaani kicheko tuuu.
 
Back
Top Bottom