Tanzania-Rwanda: Silent war in Tanzania. Watanzania tuwe makini tusitumike bila kujijua...

Nkurunzinza asingekomaa angetolewa madarakani kwa kile kilichoitwa nguvu ya umma.
Mkuu Nkurunzinza mahili sana,anazijua sana mbinu chafu za jirani yake kama ni masuala ya covert au overt operations Nkurunzinza na kundi/comrade wake wanayajua sana,wasijidanganye kwamba naweza kuwachezea kitahisi.
 
Unanidanganya Rwanda wapo vzr kwenye technology kuliko wabongo

Si ndio hapo mkuu!! Ukimuhoji ni Technolojia hipi Wanyarwanda wapo vzr- kama unazungumzia TCP/IP suite au other major protocols suites, hebu atwambie wamewahi kuandika/changia kipengere namba ngapi cha RFC?? Au atupatie walao jina moja la raia wa Rwanda ambaye ni member wa IETF. Ninacho taka kusema hapa ni kwamba sio vizuri kudhalau Taifa lako wakati hujui vizuri kinacho endelea.
 
Huwezi ukaandika Rwandans hapo hapo ukaandika these, kwa kawaida huwa Rwandans are... bila ya kutumia these au these bila ya Rwandans lkn siyo siyo maneno yote mawili kwa pamoja!

kama unajua kiingereza kimpango wako mkome kujifanya nywele nyeupe mimi ningetumia those
 

wewe sio bure utakuwa mnyarwanda
 

Ndo maana lowasa asingepewa nchi hata kama kashinda...
 
I'm dreaming of becoming king maker,siku moja hili lengo litamia nisha jivua utanzania kutoka moyoni.

keep on dreaming, na utakumbana na wazee wa kazi huko field watakunyonyoa vizuri manyonya, ndio utajua kwanini bado nchi ipo salama, usitupotezee muda hapa mtandaoni, kimbia haraka kutimiza malengo yako utawakuta wahusika wanakusubiri wakuwowe .
 
Weee hata ukitaka kuolewa nenda tuu ukaolewe bila pingamizi
 
No wonder this forum has plenty of threads about a region of Rwanda. Watanzania mmeingiliwa kwenye nchi yenu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…