Tanzania-Rwanda: Silent war in Tanzania. Watanzania tuwe makini tusitumike bila kujijua...

Aiseeh na bado wanatuambia mipaka yetu iko salama kumbe inchi yetu ipo kwenye hatari kiasi hichi?
 
Mkuu kwa mazingira haya huenda hata watoa amri niwa Rwanda tayari tupo hatarini sana
 
Mkuu si sahihi kusema ni uchafu maswara Kama haya
Na Kama ni uchafu kweli angarau unge jaribu kutu fafanuria ili angarau ueleweke

Lakini kutuambia tukae kimya bila sababu zamsingi mkuu una tutia wasiwasi kwamba huenda ni walewale
Kwasababu tofauti zetu ni rugha tu
 
Wewe uchunguzwe eraia wewe😥😥
 
Mwisho wa ccm umefika, angalia miti inavyoteleza. WEWE UNAFIKIRI KAMA NI KWELI NA HALI YA CCM ILIVYO TETE, GAZETI LA UHURU LINGEACHA KUANDIKA? MWAKA 1995 MLISEMA MAALIM SEIF ANAFADHILIWA NA WAARABU.hapa
Hebu ongeza kauzito mkuu Kama unaeleweka hivi
Lakini vipi kuhusu harakati za mtikira na kifo chake unao a nini mkuu??
 
shikulaushinye,
Upuuzi mwingine bwana, Rwanda anaweza kuwa cheza game wajinga kama Burundi, Congo, ni lakini sio mziki wa Tanzania kubaki mkatae Tiss ndio the CIA of east Africa wanajua mpaka ratiba ya kuoga ya kagame
Inawezekana mkuu lakini hata jpm alikuwa amili jeshi mkuu
 
nafurahi kuckia hii habari km ishafanyiwa kazi,,ila cjaelewa kuhusu jamaa yetu msaliti,kifo cha mtikila na hii habari uhusiano wake ukoje,nijuze Mzee wa gomz
Naona hiyo ng'ombe happy juu inwaza ikuru tu😂😂
 
Lakini yule kwamba hapambani na sisi kwa number anapambana kwa hakiri na mda tusipo kuwa makini tuta pigwa Kama vitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…