BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Habari wakuu
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu programs mbalimbali za kituo chetu hiki maalumu kwa ajili ya kutangaza vivutio vilivyomo ndani ya nchi yetu. Napenda sana na nafurahishwa na hii channel japo kuna kitu wananikwaza.
Napenda sana historia lakini kila nikiona historia wanazotuletea kuna kitu mara nyingi kinakuwa kina miss, wanaishia njiani sana hali inayonikwaza binafsi.
Huwa naona mara kwa mara historia ya mkoa wa Shinyanga, kisiwa cha Rubondo na mji mkongwe wa Mikindani.
1; wanadai jina Shinyanga limetokana na mti mmoja unaoitwa "Inyanga" ila kwa mshangao mkubwa hawajawahi kuonyesha huo mti ni upi na ukoje.
2: wanadai zamani kisiwa cha Rubondo kilikuwa kinakaliwa na wakazi jamii ya "Wanyarubondo" ambao waliondolewa na serikali wakahamishiwa kwingine ila hawasemi walihamishiwa wapi na kama hiyo jamii bado ipo maana sijawahi kusikia katika idadi ya makabilia karibu 120 tuliyonayo nchini kuwemo Wanyarubondo
3: wanadai jina Mikindani lilitokana na vyanzo viwili moja wapo ikiwa mti unaoitwa Mkinda ila hawauonyeshi huo mtu tuujue.
Nawaomba Safari channel waboreshe namna ya kutengeneza historia za mambo mbalimbali na waanze kuzama deep ili kutoacha ma gape.
Nb: Kwa anae jua hivi vitu ambavyo channel yetu haivifafanui atuwekee hapa tafadhali.