Tanzania sasa tuwe na siku tatu za kupumzika katika wiki moja

Kakende

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
2,741
Reaction score
1,232
Tangu mchakato wa kutoa maoni uanze, baadhi ya watanzania kwa kupitia Radio fulani pia makongamano mbalimbali ya katiba wanapenda sasa nchi iwe na siku tatu za kupumzika hili pia waislam nao wapate nafasi ya ibada ili iwe haki sawa. Siku ya Ijumaa (Waislam), Jumamosi (Wasabato), Jumapili( Madhehebu mengine ya Kikristu) Nchi kama Saudi arabia mapumziko yao ni Alhamis na Ijumaa, Nchi za Ulaya Mapumziko yao ni Jumamosi na Jumapili. Hapa kwetu ni Jumamosi na Jumapili. Sina uhakika kama Jumapili na Jumamosi zipo kwenye Katiba ya sasa au ni mfumo tulio urithi kwa wakoloni. Mimi binafsi naona kama siku ya mapumziko itaanzia Ijumaa basi tutakuwa tumeweka rekodi ya dunia kwe kurest. We unasemaje?
 
its ok! Kwa sababu serikali yetu haina dini ila wananchi wake wanadini, km ina mapuziko ya siku mbili kw waumini wa kikristo inaonesha inaelemea dini flani au inatudanganya na kupuuza nyingine. Wht if u were u?
 
waislam mungu wetu ametutaka tuwe wachapa kazi,ndio sababu hatujawekewa siku yoyote kupumzika bali tumeambiwa=inaponadiwa kwa ajili ya sala nendeni upesi ktk ibada na mnapomaliza sala tawanyikeni ktk kutafuta riziki,kwa hiyo hakuna ajenda ya kupumzika kwa waislam,kwa hiyo kama kuna mwislam anataka kuwe na siku maalum ya kupumzika kama ilivyo kwa dini nyingine huyo haendi sawa na mwongozo wa dini yetu tukufu,tusiige kila kitu nduguzanguni.
 
Jehova witness huwa tunsasali Jumatatu na Jumatano na zenyewe zifikiriwe kuwa za mapumziko
Na sisi wa dini za asili huwa tunafanya sala zetu siku ya Alhamisi, itakuwa vema iwapo nayo ikafikiriwa kuwa siku ya mapumziko
 
jumatatu,jumatano na jumapili mashaidi wa yehova,ijumaa waislam,jumamos sabato,jumapili christian,alhamis na jumapil walokole,hivo siku ya kazi ni jumanne,wonders shall never end
 
Kama vipi kusiwe na siku ya kupumzika.
Watu tupige kazi hadi Jumapili ili kuondoa mzizi wa fitna.
 

Mkuu umeongea point. Waislam waache kuigaiga. Waangalie muuongozo wao unasema nini.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
ikiwa siku zitaongezeka basi hili litadhihilisha kuwa WATANZANIA WOTE NI VICHAAA
 

aah wapi?.ni either ziwepo siku za kupumzika anzia ijumaa,ama wazifute zote ziwe siku za kazi
 
tusiige wanaomfanya Mungu afanane na binadamu anaechoka eti Mungu alifanya kazi siku 6 ya saba akapumzika.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

kwa hiyo we ukisikia mungu kapumzika akili yako inakutuma kuwa ni kwa sababu ya uchovu
 
... Freemasons ni jumatatu hadi Ijumaa...
 
china kwa mwaka mzima wanapumzika mara moja tu tena chinese new year hawana cha jumamos walla jumapili,kule kazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…