Tanzania SGR Bridges are crazy!

Ukishuka kwenye ndege unaingia kwenye treni. .unachagua uelekee wapi posta, moro, dodoma ama mwanza
Nikisanga manyumbu washione mzee baba kakaaa kimya ,yule ni mzee wa hesabu hana muda wa kulia lia kwenye media kama ufipa ,,,my presdaa piga kazi wataelewa tu
 
Hanna kitu hapo, the only thing is the overhead rings that make the bridge esthetically cool, but ukiondoa hizo rings ni daraja tu!
 
Alafu eti ndo tunahamisha makao dodoma, sawa na baba kuwaambia watoto wakalale banda la ngombe kisha yeye analala chumbani kwakwe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kaangalie na mipango iliyopo dodoma ...kwanza ile planning ya mji tu ni nzuri

Bado ringroads na reli ya mjini kati ...
Magu hakucheza fair kurekebisha ile airport sasa maana ipo town lakini bado msalato airport iliyopo nje ya mji haijawekwa pending ...

Usiiache Bandari kavu na bado sgr itapita dodoma ....Dodoma is doing just fine na ningependa lije kuwa jiji dogo lakini zuri zaidi kuliko tuliyonayo
 
Daraja litakalopita juu ya NNP ukiliangalia kwa mara ya kwanza linakaa kama floating tunnel, lakini ukilichunguza zaidi unagundua ni daraja la kawaida tu, ni vile huko juu wamelivalisha kofia ili liwe sound proof
View attachment 704931
Wewe jamaa unahangaika kweli!!! What is your problem? Nadhani umaumia sana kuona mambo mazuri mazuri yakitokea TZ.
 
Chadema wataelewa tu. Wao kazi yao ni kutukana tu kwenye media na kuwaaminisha watu kuwa Nakuja kinachoendelea. Hamadi 2020 miradi zaidi ya mitatu itakuwa imekamilika na hapo ndipo watakaposhtuka na kukosa la kuongea. Viva Magu, Viva JkN II
 
Daraja litakalopita juu ya NNP ukiliangalia kwa mara ya kwanza linakaa kama floating tunnel, lakini ukilichunguza zaidi unagundua ni daraja la kawaida tu, ni vile huko juu wamelivalisha kofia ili liwe sound proof
View attachment 704931
Hahaaa... inaonekana hiyo mitungi yenu ni noisy polluter [emoji13] kama mngengoja kidogo kaka zenu tuanze msinge fanya hiyo mistake ya ku accept train za Era ya kina Mussolini.

Hivi ile plan ku electrify bado ipo! na ikifika mtabomoa hizo kuta za juu ya daraja?
 
Chadema wataelewa tu. Wao kazi yao ni kutukana tu kwenye media na kuwaaminisha watu kuwa Nakuja kinachoendelea. Hamadi 2020 miradi zaidi ya mitatu itakuwa imekamilika na hapo ndipo watakaposhtuka na kukosa la kuongea. Viva Magu, Viva JkN II
Acha ujinga wewe.watu wanauwawa au ndo mazindiko ya madaraja na reli??
 
Chadema wataelewa tu. Wao kazi yao ni kutukana tu kwenye media na kuwaaminisha watu kuwa Nakuja kinachoendelea. Hamadi 2020 miradi zaidi ya mitatu itakuwa imekamilika na hapo ndipo watakaposhtuka na kukosa la kuongea. Viva Magu, Viva JkN II
Usilete siasa humu haya ni mambo ya maendeleo.
 
Daraja litakalopita juu ya NNP ukiliangalia kwa mara ya kwanza linakaa kama floating tunnel, lakini ukilichunguza zaidi unagundua ni daraja la kawaida tu, ni vile huko juu wamelivalisha kofia ili liwe sound proof
View attachment 704931
Hahaa nimecheka sana.
Yaani hiyo mikweche yenu inahitaji kujengewa noise deflector maana likipita tu watu hata hamsikilizani. When will you realise you've been shortchanged? Sisi kitu ni electric kinapita kimya kimya!
 
mbona fresh...... Wacha tuliache liwe jiji la biashara..... na dodoma iwe ya kiserikali zaidi...
True
Tuombe uzima na Amani tele pamoja na utajiri mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…