looks the same as European railway infrastructure@ bravo Tanzaniambona fresh...... Wacha tuliache liwe jiji la biashara..... na dodoma iwe ya kiserikali zaidi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
looks the same as European railway infrastructure@ bravo Tanzaniambona fresh...... Wacha tuliache liwe jiji la biashara..... na dodoma iwe ya kiserikali zaidi...
Embu tudokezee hii taarifa kwa mapana zaidi coz tz kwa mwendo huo uwanja wa ndege itakua fasta kupenyakuna mpango pia wakuunga hii SGR na Terminal 3 ya Julius Nyerere International Airoport.
Ukishuka kwenye ndege unaingia kwenye treni. .unachagua uelekee wapi posta, moro, dodoma ama mwanzaEmbu tudokezee hii taarifa kwa mapana zaidi coz tz kwa mwendo huo uwanja wa ndege itakua fasta kupenya
Nikisanga manyumbu washione mzee baba kakaaa kimya ,yule ni mzee wa hesabu hana muda wa kulia lia kwenye media kama ufipa ,,,my presdaa piga kazi wataelewa tuUkishuka kwenye ndege unaingia kwenye treni. .unachagua uelekee wapi posta, moro, dodoma ama mwanza
Mkuu unaumia sna eeh? Mambo yanapamba moto, fumba macho usiumie zaidiHanna kitu hapo, the only thing is the overhead rings that make the bridge esthetically cool, but ukiondoa hizo rings ni daraja tu!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Alafu eti ndo tunahamisha makao dodoma, sawa na baba kuwaambia watoto wakalale banda la ngombe kisha yeye analala chumbani kwakwe.
Mbona unaongea kinyongeHanna kitu hapo, the only thing is the overhead rings that make the bridge esthetically cool, but ukiondoa hizo rings ni daraja tu!
Ha ha ha ha GiuseppeAlafu eti ndo tunahamisha makao dodoma, sawa na baba kuwaambia watoto wakalale banda la ngombe kisha yeye analala chumbani kwakwe.
Mkuu unaumia sna eeh? Mambo yanapamba moto, fumba macho usiumie zaidi
Mbona unaongea kinyonge
Wewe jamaa unahangaika kweli!!! What is your problem? Nadhani umaumia sana kuona mambo mazuri mazuri yakitokea TZ.Daraja litakalopita juu ya NNP ukiliangalia kwa mara ya kwanza linakaa kama floating tunnel, lakini ukilichunguza zaidi unagundua ni daraja la kawaida tu, ni vile huko juu wamelivalisha kofia ili liwe sound proof
View attachment 704931
AhahahahhabahAlafu eti ndo tunahamisha makao dodoma, sawa na baba kuwaambia watoto wakalale banda la ngombe kisha yeye analala chumbani kwakwe.
Hahaaa... inaonekana hiyo mitungi yenu ni noisy polluter [emoji13] kama mngengoja kidogo kaka zenu tuanze msinge fanya hiyo mistake ya ku accept train za Era ya kina Mussolini.Daraja litakalopita juu ya NNP ukiliangalia kwa mara ya kwanza linakaa kama floating tunnel, lakini ukilichunguza zaidi unagundua ni daraja la kawaida tu, ni vile huko juu wamelivalisha kofia ili liwe sound proof
View attachment 704931
Acha ujinga wewe.watu wanauwawa au ndo mazindiko ya madaraja na reli??Chadema wataelewa tu. Wao kazi yao ni kutukana tu kwenye media na kuwaaminisha watu kuwa Nakuja kinachoendelea. Hamadi 2020 miradi zaidi ya mitatu itakuwa imekamilika na hapo ndipo watakaposhtuka na kukosa la kuongea. Viva Magu, Viva JkN II
Usilete siasa humu haya ni mambo ya maendeleo.Chadema wataelewa tu. Wao kazi yao ni kutukana tu kwenye media na kuwaaminisha watu kuwa Nakuja kinachoendelea. Hamadi 2020 miradi zaidi ya mitatu itakuwa imekamilika na hapo ndipo watakaposhtuka na kukosa la kuongea. Viva Magu, Viva JkN II
Hahaa nimecheka sana.Daraja litakalopita juu ya NNP ukiliangalia kwa mara ya kwanza linakaa kama floating tunnel, lakini ukilichunguza zaidi unagundua ni daraja la kawaida tu, ni vile huko juu wamelivalisha kofia ili liwe sound proof
View attachment 704931
Truembona fresh...... Wacha tuliache liwe jiji la biashara..... na dodoma iwe ya kiserikali zaidi...