Tanzania SGR Bridges vs Kenyan

My friend, reli ya kenya ilidesigniwa na option ya future upgrade to highspeed electric to support upto 250km/hr
Wachaa weee....basi ile ya Tanzania itafika 25000[emoji1] [emoji1], pamoja na kwamba Ethiopia inatumia umeme, lakini speed yake ni sawa na ile ya Kenya, design ya Kenya na Ethiopia ni ya speed hiyo, na ile ya Tanzania ni Hiyo ya 160km/Hr kutoka Dar-Moro, kama huko kwengine wanataka kuongeza kasi ya mwendo, lazima wazungumze na mkandarasi sasa hivi.
 
Mkuu wala usipate taabu na hawa mashemeji zetu, ndivyo walivyo, wala hana uhakika wowote na hilo, kwanza wala hajui kama Tanzania kuna dry port kule isaka ambayo ni kubwa kuliko hizo ICD za Kenya zote ukiziunganisha pamoja, wala hajui kwamba ICD ya Ruvu inaweza kuwa kubwa kuliko hiyo ya Nairobi, hawaijui Tanzania kwa sababu huwa watanzania hawaandiki sana, ila wao kitu chochote kikifanyika Kenya, utasikia the biggest in Africa. Ila taratibu wanaanza kuelewa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] anafaa ajue this year KRA has collected 17.8bn$ in Tax by 2025 itakuwa inachezea 30bn$ in tax and revenue collection budegt itakuwa 45bn$ hao ndio qatakuwa wanaingia sasa 18bn$ mark this space............2025-2035 Kenya will have read a combined 400bn$ budget....wakidhania tuko ligi moja ndio watatii!!...Tutakuwa tuna launch projects mpaka SA inatii

Nuclear
Coal
Airports
Ports
Expressways
Modern Universities
Drainage systems ngoja tu utaona...

The nail to the head itakuwa government iki prioritise the 1.78bn$ galana irrigation scheme ....tanzanian farmers watavuka kenya kubeg kwa barabara mtaona tu!!!....chakula ikijaa kenya mtaina venye instability itaingia Tz...talking facts...mnafkiria alshabaab ni shida ngoja wakenya waache kuwapea pesa muone Wezi kutoka tanzania Warnings kwa newspaper
 
kwa taarifa yako, 52% ya kinachokusanywa kinalipia mishahara, 19% kinalipia madeni ya nchi, 15% inapotea kwa corruption, ndiyo sababu pamoja na bajeti kubwa lakini nchi bado watu wake wanakufa kwa njaa, wakati ingeweza kabisa kuanzisha kilimo cha umwagiliaji miaka 15 iliyopita,
 
Hivi ilikuwaje ile Ya Tazara ya 60s-70s haina complication kama hiyo yenu ya 2017,
Reli ya Tazara ilikua ni manual kabisa... Hii ni automatic inatumua makomputer... Kuna tofauti kubwa kwa diesel engine na dieles-electric hybrid engine Ambayo reli yetu inatumua... Yaani 'generator' linatumika kuzalisha umeme alafu umeme ndo unatumika kuendesha Treni.
 
Sijui kwann inakua hivi.. una anzaje ku undermine kitu usicho kijua. Umesahau Kigoma mkuu, nyumba zaidi ya 2,000 zimebomolewa kupisha ujenzi wa ICD. Hiyo ICD ya Ruvu imechukua zaidi ya hectare 500.
 
Sijui kwann inakua hivi.. una anzaje ku undermine kitu usicho kijua. Umesahau Kigoma mkuu, nyumba zaidi ya 2,000 zimebomolewa kupisha ujenzi wa ICD. Hiyo ICD ya Ruvu imechukua zaidi ya hectare 500.
Wao bado hawaamini kinachotokea Tanzania, kimewakuta ghafla sana hawajajiandaa kisaikolojia, walidhani tungeendelea kupata kiongozi kama Kikwete wa kuchekacheka, yanayoendelea Tanzania kwa sasa, sio tu yanawashangaza na kuwastua wakenya, hata watanzania wengi hatujaamini kama Tanzania kuna siku ingweza kutoa $3B pesa za serikali kujenga reli.
 
Hivi akili yako hata kufanya imewacha
Kama 52% ya total budget ilienda kulipa mishahara inamaanisha 13.1bn$ ilienda kwa mokono ya 4-5mn kenyans sio??

Hawa wakenya wakalipa benki za kenya deni walio chukua ....hvi kuongezea benki capital ya expansions

Wakalipa insurance
Hivi kuongeza pesa ya future investments kwa insurance companies
Ambayo Cytonn investments na Centum zina simamia management ya pesa hao

Cytonn investments ime announce
Itajenga majengo tatu refu refu upperhill last week

Centum investment imejenge
Garden city mall the second largest mall in east and central africa
Imejenga Two rivers The largest mall in East Centra and West Africa hapa Nairobi


Tayari Centum imeanza kujenga one of the Largest Hospitals in Kenya hapo hapo Two rivers


Centum only has 90 employees

Its CEO analipwa 300,000,000kshs a month!!!!

Na gardeners wao wanapewa benefits ya upto 23mn kshs!!!!

Yaani 230,000$ = 29 toyota NZEs

Istoshe Centum imeungana na AMu power ya China kujenga
1078mw powerplant kule Lamu ambayo ishaanza kujengwa....

Nairobi hospital pia ambayo ilianzishwa na wakenya sai iko level nyingine

Hapa ndio That Opposition mp wenu alie pigwa risasi alikuja matibabu


Na ujue pia madaktari na wahuduma wengine wa ma hospitali za Umma wanataka mishahara iongezwe

Smh!!

Hyo 52 % inaenda kulipa school fees .....mumeona amount of national schools zilovyo increase kenya??

Kenyas education budget ni 350bn kshs= 3.53bn$

Kuna BoGs na PTA administrations ambayo mashule zinajijengea stadiums and Chapels zao na Modern libraries ni juu ya regulations ya filming underage persons in Kenya hautaona videos kwa TV ya venye Starehe ama alliance ama maseno ama mangu hukaa...

Mangu wanafunza aviation high schools hata tusiende mang'u nlisomea kakamega high school
Kuna
Power mechanics
Comp science
Aviation (kulikua na a plane engine shuleni)
Kama KCSE subjects

We had 17 labs na labaratory ya biology had 42 snakes preserved at the back of the lab in jars for study even a an ape foetus-looks human...
We had an auditorium ma lecture halls ....smh!!!...

Hamjui Kenya nyinyi!!.....
Strathmore University Law school pekee Ambayo ni private enterprise inawachapa Chenga University zote Tz hatujaenda hata
USIU
Daystar
Kabarak
Hata UoN inajenga majumba mareeeeefu kati kati ya shule ....

Hyo 52% ndio hata labda inafanya mengi kuliko yote


Mnajua out of Nairobi

Places kama Nakuru the Amount of constructions of family homes going on?
Endeni ngata, ama milimani ama kabarak ama kiamunyi ama 58 muone ambavyo families wanajenga majumba kubwa kubwa ya kuishi

Istoshe
Hyo 52% ambayo unasema,
Kenyans last year bought 119,000 cars second hand cars and a further 21,000 brand new cars were imported Ethiopia ndio inatufwata na 53,000 cars na 7000 brand new

Smh!!!

Hata hyo pesa yote ya budget ikienda kulipa watu mishahara trust me hamtaifikia kenya

Wakati huu kila mama
Kenya ako kwa kikundi chao; Chama cha wa mama ...wakenya wanaitambua ...hapa wamama huja pamoja and the pool resources to start businesses

It has expanded to various saccos kama Kenya women, Kftw micro finance etc.....hata boda boda operators in every city wana chama chao if a border boda guy gets to an accident and destroys his motorcycle best believe by end of week atakuwa na brand new bike......


Makanisa pia yameanza haya

Kila kanisa sai inajenga Hoteli na majumba ya kuuza ama kukodisha na kununua mashamba!!....

Naeza endelea kukufahamisha vitu ambavyo 52% recurrent expenditure inafanya kenya but naamini umepata gist!!

Kenyan Mps Rush for higher education Esther Passaris graduated from Strathmore
 
Sijui kwann inakua hivi.. una anzaje ku undermine kitu usicho kijua. Umesahau Kigoma mkuu, nyumba zaidi ya 2,000 zimebomolewa kupisha ujenzi wa ICD. Hiyo ICD ya Ruvu imechukua zaidi ya hectare 500.
Phase one 30 hectares, na phase 2 watakua 60hectares...hapo tutakua tulishafika 2020, unafikiri ni lini mtafika 500, 2030????
 
wakenya wengi wanafikiri ikiwa electrified inamaanisha superfast, ngoja niwaambie hiyo si kweli, kuna kitu kinaitwa design speed not maximum speed, wanaangalia vitu kama curves, gradient, n.k. Na design speed huwa inakuwa determined kwenye zile sehemu korofi, sgr ya Uganda iko designed karibu sawa na kenya tofauti ni kwamba Uganda itakuwa electrified and continuously welded wakati ya kenya siyo, but interms of design speed ziko sawa pamoja na kwamba Uganda iko electrified hivyo kenya wasitegemee jipya sana interms of speed.
faida ya kuwa electrified ni kupunguza gharama za uendeshaji.
nasikia kenya wamesema wataweka umeme maana yake gharama zitaongezeka, na vilevile haiko welded nasikia watachomelea baadae maana yake gharama zitaongezeka Zaidi.

design speed is not a maximum speed, kwa kenya speed inaweza kuongezeka sehemu ambazo sio korofi mfano curves, reli inaweza kuwa designed at 120km/hr sehemu ambazo sio korofi treni inaweza kwenda hadi 140km/hr ya abiria, same to tz inaweza kwenda hadi 180km/hr but sio ile wanaosema wakenya kwamba itafika 240km/hr huo ni uongo.
 
Sawa baba.....enda sasa usome design spees ya SGR ya Kenya ni ngapi ndio uje kutuelimisha !!
 
Hehe Sam999 waambie hao,
Umenikumbusha nikiwa while high school, mi nilisomea school kama hio ya serekali form 1,2 alafu nikaenda private...

Hio while ilikua na beckary yake ya mkate, shamba za mahindi ,tomatoe, ngombe za nyama, ilikua na labs za kufanua metal work, woodwork, electricity tena kumbe KCSE iko na hayo masomo, uwanja wa football ilikua laini, ilikua unatumika kama runway ya prop plane Ambayo ilikua wanagunzi wanafundishwa aviation...lakini mara nyingi walikua wanapelekwa kwa local airstrip kufundishiwa huko,
Sometimes I used to wonder how a govt school can afford all that sh!t
 
I
Ila hapo kwenye height differences kuna point muhimu given nafuriko ya mara kwa Mara tunayoshuhudia yanaathiri reli kila mwaka.Nadhani ishu ya technicalities ndo imeleta utofauti makubwa wa bei
 
Duh...ili povu ulilomwaga sijui umetumia sabuni gani, pole sana, badala ya kutuletea mapicha ya majengo marefu ambayo zaidi ya kutaka sifa za kijinga, ungetuletea ni asilimia ngapi ya wakenya ni unemployed(48%)watu wangapi Kenya wanakabiliwa na janga la njaa(4 Million), uchumi unakua kwa asilimia ngapi(4.8%), asilimia ngapi ya wakenya wameunganishwa na stima(64%), watoto wangapi Kenya bado wanakaa sakafuni(?), asilimia ngapi ya wakenya wanapata maji safi na salama(?), usalama wa raia na mali zao ukoje, network ya barabara za lami ukoje, pengo kati ya tajiri na masikini likoje, linaongezeka au linapungua?, huo ndiyo unapitwa inclisive economy, sio kusema mtu mmoja analipwa Shs.Millioni 3, wakati nurses na waalimu wa vyuo vikuu wapo kwenye migomo isiyoisha.

Kuhusu 52% ya bajeti kutumika kulipia mishahara ni kweli na tatizo hilo wameliona tume ya Kenya baada ya kujifunza kwa Magufuli na imeamua kupunguza mishahara hadi kufikia35%, sasa kama wewe unabisha, wenzako wenye akili wameona ni tatizo.

Vipi mgao wa maji Nairobi umepingua?, kama hata maji ya kunywa katika miji mikubwa ni shida, unaona fahari gani kutuonyesha mijumba mirefu?, kama hata ki
ometa moja ya reli imeshindikana kujengwa na pesa ya ndani badala yake mnaenda kukopa na kuongeza serikali madeni yanayosababisha Kenya kuwekwa kwenye kundi la nchi zisizokopesheka(Moody's report), inapataji ujasiri wa kufuraia majumba marefu yanaypjengwa na capitalists?
 
Hawa watu hawajui chochote hii sgr yao ambayo hatuioni ndio inawapea psych!!....we will be here when its completed in 2045 Kenya saa hiyo in 15,000km of Rail na 400 airports ....mark my words .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…