MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Hahaha huwa nasema Mnchina mungu anamuonaVitu vya Mchina hata miezi mitatu havijafika duh bora Tanzania tukomae na wenye akili![]()
kwa alicho wafanyia Wakenya!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha huwa nasema Mnchina mungu anamuonaVitu vya Mchina hata miezi mitatu havijafika duh bora Tanzania tukomae na wenye akili![]()
Swali gumu hiloHivi ilikuwaje ile Ya Tazara ya 60s-70s haina complication kama hiyo yenu ya 2017,
Wachaa weee....basi ile ya Tanzania itafika 25000[emoji1] [emoji1], pamoja na kwamba Ethiopia inatumia umeme, lakini speed yake ni sawa na ile ya Kenya, design ya Kenya na Ethiopia ni ya speed hiyo, na ile ya Tanzania ni Hiyo ya 160km/Hr kutoka Dar-Moro, kama huko kwengine wanataka kuongeza kasi ya mwendo, lazima wazungumze na mkandarasi sasa hivi.My friend, reli ya kenya ilidesigniwa na option ya future upgrade to highspeed electric to support upto 250km/hr
Mkuu wala usipate taabu na hawa mashemeji zetu, ndivyo walivyo, wala hana uhakika wowote na hilo, kwanza wala hajui kama Tanzania kuna dry port kule isaka ambayo ni kubwa kuliko hizo ICD za Kenya zote ukiziunganisha pamoja, wala hajui kwamba ICD ya Ruvu inaweza kuwa kubwa kuliko hiyo ya Nairobi, hawaijui Tanzania kwa sababu huwa watanzania hawaandiki sana, ila wao kitu chochote kikifanyika Kenya, utasikia the biggest in Africa. Ila taratibu wanaanza kuelewa.Mkuu umesema ICD zetu zitajengwa ila zitakua ndogo kulinganisha na zenu. How can u tell that, najua haujaona michoro ya ICD zetu, Infact kuna nyingine tayari zinajengwa najua hujui hilo. Sasa kwa manufaa ya jukwaa ebu tupe link au weka vitu hadhalani tuone ukubwa wa ICD za Kenya then tupate ku compare. Unge anza na hyo ya Kisumu it sounds interesting.. nia ni kujifunza.
They own everything, wakenya hawana chao hapo, hiyo kitu ni Mali ya Mchina 100%Duh na details layout inakua kwa kichina? Kweli Chinese are the full project financier.
You have very incompetent leaders,My friend, reli ya kenya ilidesigniwa na option ya future upgrade to highspeed electric to support upto 250km/hr
[emoji23][emoji23][emoji23] anafaa ajue this year KRA has collected 17.8bn$ in Tax by 2025 itakuwa inachezea 30bn$ in tax and revenue collection budegt itakuwa 45bn$ hao ndio qatakuwa wanaingia sasa 18bn$ mark this space............2025-2035 Kenya will have read a combined 400bn$ budget....wakidhania tuko ligi moja ndio watatii!!...Tutakuwa tuna launch projects mpaka SA inatiiHow did you come up with the +$2B cost? Electrification costs 15% of the rail cost....
Mombasa-Nairobi $3.8B, Nairobi-Naivasha $1.5B Naivasha-Kisumu $3.5B leaving a small section to Malaba lets say total cost $9B up to the border..... Electrification from Mombasa to Malaba cant be more than $1.3B, once we electrify we will need new trains meaning after we electrify we will use combination of diesel and electric we will have so many trains leaving to and fro and in between, the northern corridor will still be the busiest route in the region! Don't worry your little head about the money
kwa taarifa yako, 52% ya kinachokusanywa kinalipia mishahara, 19% kinalipia madeni ya nchi, 15% inapotea kwa corruption, ndiyo sababu pamoja na bajeti kubwa lakini nchi bado watu wake wanakufa kwa njaa, wakati ingeweza kabisa kuanzisha kilimo cha umwagiliaji miaka 15 iliyopita,[emoji23][emoji23][emoji23] anafaa ajue this year KRA has collected 17.8bn$ in Tax by 2025 itakuwa inachezea 30bn$ in tax and revenue collection budegt itakuwa 45bn$ hao ndio qatakuwa wanaingia sasa 18bn$ mark this space............2025-2035 Kenya will have read a combined 400bn$ budget....wakidhania tuko ligi moja ndio watatii!!...Tutakuwa tuna launch projects mpaka SA inatii
Nuclear
Coal
Airports
Ports
Expressways
Modern Universities
Drainage systems ngoja tu utaona...
The nail to the head itakuwa government iki prioritise the 1.78bn$ galana irrigation scheme ....tanzanian farmers watavuka kenya kubeg kwa barabara mtaona tu!!!....chakula ikijaa kenya mtaina venye instability itaingia Tz...talking facts...mnafkiria alshabaab ni shida ngoja wakenya waache kuwapea pesa muone Wezi kutoka tanzania Warnings kwa newspaper
Reli ya Tazara ilikua ni manual kabisa... Hii ni automatic inatumua makomputer... Kuna tofauti kubwa kwa diesel engine na dieles-electric hybrid engine Ambayo reli yetu inatumua... Yaani 'generator' linatumika kuzalisha umeme alafu umeme ndo unatumika kuendesha Treni.Hivi ilikuwaje ile Ya Tazara ya 60s-70s haina complication kama hiyo yenu ya 2017,
Sijui kwann inakua hivi.. una anzaje ku undermine kitu usicho kijua. Umesahau Kigoma mkuu, nyumba zaidi ya 2,000 zimebomolewa kupisha ujenzi wa ICD. Hiyo ICD ya Ruvu imechukua zaidi ya hectare 500.Mkuu wala usipate taabu na hawa mashemeji zetu, ndivyo walivyo, wala hana uhakika wowote na hilo, kwanza wala hajui kama Tanzania kuna dry port kule isaka ambayo ni kubwa kuliko hizo ICD za Kenya zote ukiziunganisha pamoja, wala hajui kwamba ICD ya Ruvu inaweza kuwa kubwa kuliko hiyo ya Nairobi, hawaijui Tanzania kwa sababu huwa watanzania hawaandiki sana, ila wao kitu chochote kikifanyika Kenya, utasikia the biggest in Africa. Ila taratibu wanaanza kuelewa.
Wao bado hawaamini kinachotokea Tanzania, kimewakuta ghafla sana hawajajiandaa kisaikolojia, walidhani tungeendelea kupata kiongozi kama Kikwete wa kuchekacheka, yanayoendelea Tanzania kwa sasa, sio tu yanawashangaza na kuwastua wakenya, hata watanzania wengi hatujaamini kama Tanzania kuna siku ingweza kutoa $3B pesa za serikali kujenga reli.Sijui kwann inakua hivi.. una anzaje ku undermine kitu usicho kijua. Umesahau Kigoma mkuu, nyumba zaidi ya 2,000 zimebomolewa kupisha ujenzi wa ICD. Hiyo ICD ya Ruvu imechukua zaidi ya hectare 500.
Hivi akili yako hata kufanya imewachakwa taarifa yako, 52% ya kinachokusanywa kinalipia mishahara, 19% kinalipia madeni ya nchi, 15% inapotea kwa corruption, ndiyo sababu pamoja na bajeti kubwa lakini nchi bado watu wake wanakufa kwa njaa, wakati ingeweza kabisa kuanzisha kilimo cha umwagiliaji miaka 15 iliyopita,
Phase one 30 hectares, na phase 2 watakua 60hectares...hapo tutakua tulishafika 2020, unafikiri ni lini mtafika 500, 2030????Sijui kwann inakua hivi.. una anzaje ku undermine kitu usicho kijua. Umesahau Kigoma mkuu, nyumba zaidi ya 2,000 zimebomolewa kupisha ujenzi wa ICD. Hiyo ICD ya Ruvu imechukua zaidi ya hectare 500.
Sawa baba.....enda sasa usome design spees ya SGR ya Kenya ni ngapi ndio uje kutuelimisha !!wakenya wengi wanafikiri ikiwa electrified inamaanisha superfast, ngoja niwaambie hiyo si kweli, kuna kitu kinaitwa design speed not maximum speed, wanaangalia vitu kama curves, gradient, n.k. Na design speed huwa inakuwa determined kwenye zile sehemu korofi, sgr ya Uganda iko designed karibu sawa na kenya tofauti ni kwamba Uganda itakuwa electrified and continuously welded wakati ya kenya siyo, but interms of design speed ziko sawa pamoja na kwamba Uganda iko electrified hivyo kenya wasitegemee jipya sana interms of speed.
faida ya kuwa electrified ni kupunguza gharama za uendeshaji.
nasikia kenya wamesema wataweka umeme maana yake gharama zitaongezeka, na vilevile haiko welded nasikia watachomelea baadae maana yake gharama zitaongezeka Zaidi.
design speed is not a maximum speed, kwa kenya speed inaweza kuongezeka sehemu ambazo sio korofi mfano curves, reli inaweza kuwa designed at 120km/hr sehemu ambazo sio korofi treni inaweza kwenda hadi 140km/hr ya abiria, same to tz inaweza kwenda hadi 180km/hr but sio ile wanaosema wakenya kwamba itafika 240km/hr huo ni uongo.
Ila hapo kwenye height differences kuna point muhimu given nafuriko ya mara kwa Mara tunayoshuhudia yanaathiri reli kila mwaka.Nadhani ishu ya technicalities ndo imeleta utofauti makubwa wa beiHata sisi mbali na bujeti tunapanga kuongeza hadi 3000MW by 2020....
Alafu hapo Tanzania SGR ya tz kutoka dar hadi mwanza ni at least $7B ...
SGR ya kenya itakua na urefu wa hadi 1,109 km, ya Tanzania ni about 1,224km hadi mwanza.
Mbali na umeme unafaa uangalie mambo mengine ya technical details ndo itajua tofauti inatokana wapi...
Kwa mfano reli ya Tz inajengwa ikitarajiwa kusafirisha kati ya 17-20 tonnes pa wakati ya kenya inatarajiwa kusafitisha 22million-35 million tonnes pa.
Reli yetu inajengwa Juujuu ya ardhi urefu wa 6.6meters above ground , hii inatumua pesa nyingi zaidi lakini haitawahi kupatwa na shida kama mafuriko... Reli ya Tz inajengwa 0.6meters abobe ground kama ile reli ya mkoloni..
Pesa hizo hizo tulizotumia kujenga SGR ndo zimetumika kujenga ICD ya Nairobi na pia ya Naivasha na ya Kisumu... ICD ya Nairobi ina uwezo wa kuchukua Contena 480,000! kila mwaka! Hio icd pekee iligharimu mihela, just for comparison bandari la dar lina uwezo wa 1 million TEU s containers kumaanisha hiyo icd ya Nairobi ni pekee ni nusu ya bandari lenu kuu la Dar..just imajin! Najua hata nyinyi mtajenga icd lakini katakua kadogo compaited icd za kenya...
Alafu bado hata hatujaona stesheni zenu zinakaa vipi manake ukangalia zile atesheni za kenya msa-Nai utaona zigharamu between $250m upto $350 of the cost
Duh...ili povu ulilomwaga sijui umetumia sabuni gani, pole sana, badala ya kutuletea mapicha ya majengo marefu ambayo zaidi ya kutaka sifa za kijinga, ungetuletea ni asilimia ngapi ya wakenya ni unemployed(48%)watu wangapi Kenya wanakabiliwa na janga la njaa(4 Million), uchumi unakua kwa asilimia ngapi(4.8%), asilimia ngapi ya wakenya wameunganishwa na stima(64%), watoto wangapi Kenya bado wanakaa sakafuni(?), asilimia ngapi ya wakenya wanapata maji safi na salama(?), usalama wa raia na mali zao ukoje, network ya barabara za lami ukoje, pengo kati ya tajiri na masikini likoje, linaongezeka au linapungua?, huo ndiyo unapitwa inclisive economy, sio kusema mtu mmoja analipwa Shs.Millioni 3, wakati nurses na waalimu wa vyuo vikuu wapo kwenye migomo isiyoisha.Hivi akili yako hata kufanya imewacha
Kama 52% ya total budget ilienda kulipa mishahara inamaanisha 13.1bn$ ilienda kwa mokono ya 4-5mn kenyans sio??
Hawa wakenya wakalipa benki za kenya deni walio chukua ....hvi kuongezea benki capital ya expansions
Wakalipa insurance
Hivi kuongeza pesa ya future investments kwa insurance companies
Ambayo Cytonn investments na Centum zina simamia management ya pesa hao
Cytonn investments ime announce
Itajenga majengo tatu refu refu upperhill last week
![]()
![]()
![]()
Centum investment imejenge
Garden city mall the second largest mall in east and central africa
Imejenga Two rivers The largest mall in East Centra and West Africa hapa Nairobi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tayari Centum imeanza kujenga one of the Largest Hospitals in Kenya hapo hapo Two rivers
![]()
Centum only has 90 employees
Its CEO analipwa 300,000,000kshs a month!!!!
Na gardeners wao wanapewa benefits ya upto 23mn kshs!!!!
Yaani 230,000$ = 29 toyota NZEs
Istoshe Centum imeungana na AMu power ya China kujenga
1078mw powerplant kule Lamu ambayo ishaanza kujengwa....
Nairobi hospital pia ambayo ilianzishwa na wakenya sai iko level nyingine
Hapa ndio That Opposition mp wenu alie pigwa risasi alikuja matibabu
![]()
![]()
Na ujue pia madaktari na wahuduma wengine wa ma hospitali za Umma wanataka mishahara iongezwe![]()
![]()
![]()
Smh!!
Hyo 52 % inaenda kulipa school fees .....mumeona amount of national schools zilovyo increase kenya??
Kenyas education budget ni 350bn kshs= 3.53bn$
Kuna BoGs na PTA administrations ambayo mashule zinajijengea stadiums and Chapels zao na Modern libraries ni juu ya regulations ya filming underage persons in Kenya hautaona videos kwa TV ya venye Starehe ama alliance ama maseno ama mangu hukaa...
Mangu wanafunza aviation high schools hata tusiende mang'u nlisomea kakamega high school
Kuna
Power mechanics
Comp science
Aviation (kulikua na a plane engine shuleni)
Kama KCSE subjects
We had 17 labs na labaratory ya biology had 42 snakes preserved at the back of the lab in jars for study even a an ape foetus-looks human...
We had an auditorium ma lecture halls ....smh!!!...
Hamjui Kenya nyinyi!!.....
Strathmore University Law school pekee Ambayo ni private enterprise inawachapa Chenga University zote Tz![]()
![]()
![]()
hatujaenda hata![]()
USIU
Daystar
Kabarak
Hata UoN inajenga majumba mareeeeefu kati kati ya shule ....
Hyo 52% ndio hata labda inafanya mengi kuliko yote
Mnajua out of Nairobi
Places kama Nakuru the Amount of constructions of family homes going on?
Endeni ngata, ama milimani ama kabarak ama kiamunyi ama 58 muone ambavyo families wanajenga majumba kubwa kubwa ya kuishi
Istoshe
Hyo 52% ambayo unasema,
Kenyans last year bought 119,000 cars second hand cars and a further 21,000 brand new cars were imported Ethiopia ndio inatufwata na 53,000 cars na 7000 brand new
Smh!!!
Hata hyo pesa yote ya budget ikienda kulipa watu mishahara trust me hamtaifikia kenya
Wakati huu kila mama
Kenya ako kwa kikundi chao; Chama cha wa mama ...wakenya wanaitambua ...hapa wamama huja pamoja and the pool resources to start businesses
It has expanded to various saccos kama Kenya women, Kftw micro finance etc.....hata boda boda operators in every city wana chama chao if a border boda guy gets to an accident and destroys his motorcycle best believe by end of week atakuwa na brand new bike......
Makanisa pia yameanza haya
Kila kanisa sai inajenga Hoteli na majumba ya kuuza ama kukodisha na kununua mashamba!!....
Naeza endelea kukufahamisha vitu ambavyo 52% recurrent expenditure inafanya kenya but naamini umepata gist!!
Kenyan Mps Rush for higher education Esther Passaris graduated from Strathmore![]()
Hawa watu hawajui chochote hii sgr yao ambayo hatuioni ndio inawapea psych!!....we will be here when its completed in 2045 Kenya saa hiyo in 15,000km of Rail na 400 airports ....mark my words .....Hehe Sam999 waambie hao,
Umenikumbusha nikiwa while high school, mi nilisomea school kama hio ya serekali form 1,2 alafu nikaenda private...
Hio while ilikua na beckary yake ya mkate, shamba za mahindi ,tomatoe, ngombe za nyama, ilikua na labs za kufanua metal work, woodwork, electricity tena kumbe KCSE iko na hayo masomo, uwanja wa football ilikua laini, ilikua unatumika kama runway ya prop plane Ambayo ilikua wanagunzi wanafundishwa aviation...lakini mara nyingi walikua wanapelekwa kwa local airstrip kufundishiwa huko,
Sometimes I used to wonder how a govt school can afford all that sh!t