Mmeshafunga stima Mkuu au ndo ile ile ya makaa ya mawe au wachocheaji wameshaipambisha kama titanic?Hua mnapenda sana kujitungia story... Sorry to dissapoint you
Hii hapa ikiwa 132km/hr
View attachment 602449 View attachment 602450
Hiyo ya majirani inakuwaje imefungwa litaa katikati kama jicho la shetani?Treni yenu inapiga kelele, Moshi na low
Sijasema kwamba bhangi nimbaya, ila ninataka kujua, kwa sababu kuna wakati nilikua ninavuta, nilikua ninajiona mimi ndiyo kila kitu, hakuna mwengine zaidi yangu.Yes....nani amekuambia bangi ni mbaya?
Disapprove my facts or go on!!!
Geeet!!
Hivi vimiradi vyote ulibyotaja, na vingine vitakavyokuja miaka kumi ijayo, vinaongia kwenye mradi mmoja tu wa LNG plant unaojengwa Mtwara wa kuchakata gas asilia, utakaogharimu $30B, na sio mkopo kama ilivyo miradi yote ya Kenya uliyotaja, maana yake ni pesa inayoingia nchini kama ilivyo, hakuna kuilipa wala hakuna riba,Sawa i dont need to take shit from you
Tuna a 3.8bn$ Rail
A 1.5bn$ Mombasa port expansion tayari
An underground 1.5bn$ Nairobi Naivasha Rail already under construction
A 4.62bn$ Nairobi Mombasa american built expressway already under construction
A 2.1bn$ AEZ special zone Eldoret already under construction
Two more expected in Naivasha and Machakos
A port worth 400mn$ in Kisumu
And inland port in Naivasha
A 700mn$ wind power project in Turkana
A 2bn$ coal power plant in lamu
A 32 berth port in lamu worth 5bn$ already under construction
Sasa 4.2bn$ irrigation scheme ndio itakuwa shida kumaliza nyamaza .....
Have you heard of Lappsset project??Hivi vimiradi vyote ulibyotaja, na vingine vitakavyokuja miaka kumi ijayo, vinaongia kwenye mradi mmoja tu wa LNG plant unaojengwa Mtwara wa kuchakata gas asilia, utakaogharimu $30B, na sio mkopo kama ilivyo miradi yote ya Kenya uliyotaja, maana yake ni pesa inayoingia nchini kama ilivyo, hakuna kuilipa wala hakuna riba,
No one with live brain can fund LAPSET, actually the project is dead from the day go after Uganda decided to use Tanga instead of Lamu, and Ethiopia went through Djibouti way, now is only crazy Kenyan leaders trying to flex muscles just to please their citizens after terrible failure.Have you heard of Lappsset project??
Worth 25bn$
Ama SGR ya lappset 13bn$ mpaka addis ababa?
Ama
Titanium mines kule malindi worth 100bn$ ?
Ama 1.2bn barrels of oil already in turkana worth 62bn$
Na unajua galana itakuwainazalisha mpaka 10bn$ of refined goods??
Maaaan Shut up!!!
Unaanza kububujika!!
Tanzania mumekua na minerals toka before independence mko wapi sai??.
Eti Titanium and Nickle worth $100B, are you Schizophrenic patient?Have you heard of Lappsset project??
Worth 25bn$
Ama SGR ya lappset 13bn$ mpaka addis ababa?
Ama
Titanium mines kule malindi worth 100bn$ ?
Ama 1.2bn barrels of oil already in turkana worth 62bn$
Na unajua galana itakuwainazalisha mpaka 10bn$ of refined goods??
Maaaan Shut up!!!
Unaanza kububujika!!
Tanzania mumekua na minerals toka before independence mko wapi sai??.
Kenya is 63bnFull disclosure ....si somangi any Tanzanian reply above 1 paragraph until search a day Tanzania will have more economic power than Kenya ....sitawai soma!!...hakuna haja ya kujikasirisha kusoma upuzi ambayo hautanisaidia .......i just read one sentence alaf naweka Bonge la reply!!!...anyway
Kenya GDP is 75bn$
Tanzania is 48bn$ dont @ me
By 2022 Kenya itakuwa 118bn$ Tz itakuwa 61bn$ by 2030
Si mnajua venye turkey ilipanda??
2003 turkey ilikuwa 179bn$
2003 greece ilikuwa 201bn$
2017 turkey iko 871bn$
2017 greece iko 196bn$
My fren sioni mkiwai tufikia so sema unacho sema uende
Hata mueke train gani hapa ....tutakuwa hapa 2030 mkipewa vyuma bandia mueke kwa 40km rail ambayo mliweza kumaliza nyingine ikiwa U/C
Tutakuwa hapa 2020 Nairobi Naivasha iki Launchiwa na bado SGR ya Tanzania haijaanza
Do you even know what being schizophrenic implies?Eti Titanium and Nickle worth $100B, are you Schizophrenic patient?
Lol sawa.....bye!!!Kenya is 63bn
Tanzania 55bn
Kenya and Tanzania are both poor countries.
1.2B barrel of oil from which country?, it was 600 barrels, with late addition discovery of 200 barrels to make total 800 barrels, always receivable is only 30%, therefore only expected amount of barrels expected is 300barrels, remember Uganda with 6B, they expect to get only 1.6B barrels.Have you heard of Lappsset project??
Worth 25bn$
Ama SGR ya lappset 13bn$ mpaka addis ababa?
Ama
Titanium mines kule malindi worth 100bn$ ?
Ama 1.2bn barrels of oil already in turkana worth 62bn$
Na unajua galana itakuwainazalisha mpaka 10bn$ of refined goods??
Maaaan Shut up!!!
Unaanza kububujika!!
Tanzania mumekua na minerals toka before independence mko wapi sai??.
Again 800mn barrels is 41bn$1.2B barrel of oil from which country?, it was 600 barrels, with late addition discovery of 200 barrels to make total 800 barrels, always receivable is only 30%, therefore only expected amount of barrels expected is 300barrels, remember Uganda with 6B, they expect to get only 1.6B barrels.
I read the first sentence, I remembered few months ago The Israelites (from desert country), waliwapa mahindi ya msaada, Ili kuokoa millions of Kenyans dying of Hunger.And again let me educate you
Do you know Israel?
Yeah?
So israels total arable land is 1.2mn acres from this land it produces and annual agric sales product worth 36bn$ in foods and agric technology sales
1.2mn acres is 4000km<sup>2</sup>
So Kenyas president Kibaki and PM Raila and Uhuru Kenyatta who was the deputy PM of Kenya went to israel and signed a pact for israel to educate upto 10000 kenyans in 10yrs upto 2023 in agric development the signed a deal to see students from Kenya lifted to Israel from
Egerton
Jkuat
UoN
KU
and various other highee learning instution at the same time Israels ministry of Agric sign a bilateral and Several funding treaties to see transfer of Tech to Kenya...
Kenya is Largely desert Unlike Tz
The Kibaki Government And Rao identified Tana River County to support Kenyas irrigation dreams
Since River Tana the Second largest River in East africa passes largely in the county
They Identifies Galana Kulalu region that spans Kilifi and Tana river county to irrigate
They identified 1.78mn acres of Land to be irrigated and even invites ministers from israel ro come and see
The Projects total coast will be
4.2bn$
It will see Kenya produce more maize than the entire EAC combined
More Sugar, milk,meat and beans and Soy mostly for internal and export consumtion bringing upto potentially 12bn$ worth of goods for sale and export...
They are already constructing infrastructure to House the whole project
Ie:
Dams
Roads
Milling Factory
Irrigation machinery
An Airport and Rail Feasibilty is being done
Also Politechnics and learning institutions and
Electrification
The government did a Test run which yielded 35bags per acre ..the East african yield ler acre of maize is 28 for irrigation and 15 for rainfed so 35 is mind blowing but their target is 45-52bags using Kemri developed seeds...
Well the project is still a Jubilee and NASA flagship...as in who ever wins will see it done!!
Below are pictures from
10,000acre farm that yielded 403,000 90kgs bags of maize in 6months
also Netanyahu came to Kenya to personally say they are with Kenya on this!!
River Tana that will see upto 6 dams constructed to produce upto 700mw and water for irrigation
Nawaambia tena Tanzania exports yenu kenya ni food stuff and Other Raw materials from shambas When this project comes online in Kenya mtatiiiii
Mtaona venye mtaset up ma viosk Kenya; Nairobi -Namanga highway begging Kenyans to buy Sacks of maize for 100/- instead of 2800/- right now......ngojeni ...
Sawa big mind ...makofi kwako ...now leave me alone ama disapprove my facts with hard factsUko very small minded.
Really dont care about your opinion or any other confused tanzanian that is my whole point you could read the first letter and i wouldnt give two mnyambos!-(shits is too much to give for your opinions) third world!!I read the first sentence, I remembered few months ago The Israelites (from desert country), waliwapa mahindi ya msaada, Ili kuokoa millions of Kenyans dying of Hunger.
Are you building coal plant in 21st century?1.Mko na za Umeme Tanzania ama mnasema mtakuwa nazo?
2. Mumeanza hata Kujenga reli ama mko na rendera tu na kilomita chache za investor confidence?
3. Kenya ina zalisha umeme 2800mw maradufu tanzania istoshe
Kenya inajenga 1077mw plant lamu ya coal, ambayo itakuwa ya pekee africa baada ya SA na Zimbabwe, pili Kenya inajenga 400mw plant Turkana ya upepo ambayo itakuwa kubwa kuliko yoyote africa Tatu Kenya inajenga The largest geothermal power plant duniani Naivasha nne Kenya inaanza Kujenga Kiwanda cha Nyuklia kuzalisha 4000mw by 2027!
4. Tayari Kenya imeanza kuweka umeme kwa line ya reli Mombasa Nairobi at a cost of 48bn kshs
Sasa kaa chini uwache pang'ang'a mingi
The problem you are not knowledgeable on the matata, only 30% of discovery can be siphoned from the ground, so for Kenya only expect 300barrels, too little for current priceAgain 800mn barrels is 41bn$
So you are really making own goals hapa
Are you buying bombadiers in 2017Are you building coal plant in 21st century?