Tanzania SGR Bridges vs Kenyan

Tanzania SGR Bridges vs Kenyan

Treni yenu inapiga kelele, Moshi na low
kenya-vs-morocco-jpg.495071
Hiyo ya majirani inakuwaje imefungwa litaa katikati kama jicho la shetani?
 
Yes....nani amekuambia bangi ni mbaya?

Disapprove my facts or go on!!!

Geeet!!
Sijasema kwamba bhangi nimbaya, ila ninataka kujua, kwa sababu kuna wakati nilikua ninavuta, nilikua ninajiona mimi ndiyo kila kitu, hakuna mwengine zaidi yangu.

Turudi kwenye mada, unaposema underground SGR Nairobi Naivasha $1.5B unamaanisha kwamba kutoka Nairobi hadi Naivasha train itapitacha chini ya ardhi, au unazungumzia tunnels kama zile zilizojemgwa na wachina 1970 na wachina katika reli ya TAZARA?
 
Over the last 4yrs Kenya has read a total of 87bn$ budget

Uhurus infrastructure projects countrywide cost a total of 5.5trn kshs = 52bn$ mostly borrowes money from china between now and 2022 Kenyas entire budget will be 126bn$ by 2027 itakuwa 227bn$ total budget read in 10yrs ......

Of this hata tukitoa 7bn$ a year for development projects itakuwa between 40-70bn$ worth of project uki account corruption!!...hamuezi kutufikia !!!!

220bn$ budget in 10yrs to 2027 ukitoa 52% kuenda reccurent kulioa mishahara ya wafanyakazi ya uma .....inamaanisha kutakuwa na 114bn$ in Kenyan people circultion kwa ma benki, retail centres etc!! More money for development!!

Si you are familiar witj gambling and Stock exchange

Mtu ako na mia moja akiweka stake ya 1.08 anapata shillingi nane pekee juu

Mtu ako na 114,000,000,000$ akiweka 1.08 stake anapata 123,120,000,000

That is 9.12bn$ increase that is why Kenyas 75bn$ GDP hata tuki grow na 4% hamtatufikia for atleast 20yrs......
 
Sawa i dont need to take shit from you

Tuna a 3.8bn$ Rail
A 1.5bn$ Mombasa port expansion tayari
An underground 1.5bn$ Nairobi Naivasha Rail already under construction
A 4.62bn$ Nairobi Mombasa american built expressway already under construction
A 2.1bn$ AEZ special zone Eldoret already under construction
Two more expected in Naivasha and Machakos
A port worth 400mn$ in Kisumu
And inland port in Naivasha
A 700mn$ wind power project in Turkana
A 2bn$ coal power plant in lamu
A 32 berth port in lamu worth 5bn$ already under construction

Sasa 4.2bn$ irrigation scheme ndio itakuwa shida kumaliza nyamaza .....
Hivi vimiradi vyote ulibyotaja, na vingine vitakavyokuja miaka kumi ijayo, vinaongia kwenye mradi mmoja tu wa LNG plant unaojengwa Mtwara wa kuchakata gas asilia, utakaogharimu $30B, na sio mkopo kama ilivyo miradi yote ya Kenya uliyotaja, maana yake ni pesa inayoingia nchini kama ilivyo, hakuna kuilipa wala hakuna riba,
 
Hivi vimiradi vyote ulibyotaja, na vingine vitakavyokuja miaka kumi ijayo, vinaongia kwenye mradi mmoja tu wa LNG plant unaojengwa Mtwara wa kuchakata gas asilia, utakaogharimu $30B, na sio mkopo kama ilivyo miradi yote ya Kenya uliyotaja, maana yake ni pesa inayoingia nchini kama ilivyo, hakuna kuilipa wala hakuna riba,
Have you heard of Lappsset project??
Worth 25bn$

Ama SGR ya lappset 13bn$ mpaka addis ababa?
Ama
Titanium mines kule malindi worth 100bn$ ?
Ama 1.2bn barrels of oil already in turkana worth 62bn$
Na unajua galana itakuwainazalisha mpaka 10bn$ of refined goods??

Maaaan Shut up!!!

Unaanza kububujika!!

Tanzania mumekua na minerals toka before independence mko wapi sai??.
 
Have you heard of Lappsset project??
Worth 25bn$

Ama SGR ya lappset 13bn$ mpaka addis ababa?
Ama
Titanium mines kule malindi worth 100bn$ ?
Ama 1.2bn barrels of oil already in turkana worth 62bn$
Na unajua galana itakuwainazalisha mpaka 10bn$ of refined goods??

Maaaan Shut up!!!

Unaanza kububujika!!

Tanzania mumekua na minerals toka before independence mko wapi sai??.
No one with live brain can fund LAPSET, actually the project is dead from the day go after Uganda decided to use Tanga instead of Lamu, and Ethiopia went through Djibouti way, now is only crazy Kenyan leaders trying to flex muscles just to please their citizens after terrible failure.
 
Have you heard of Lappsset project??
Worth 25bn$

Ama SGR ya lappset 13bn$ mpaka addis ababa?
Ama
Titanium mines kule malindi worth 100bn$ ?
Ama 1.2bn barrels of oil already in turkana worth 62bn$
Na unajua galana itakuwainazalisha mpaka 10bn$ of refined goods??

Maaaan Shut up!!!

Unaanza kububujika!!

Tanzania mumekua na minerals toka before independence mko wapi sai??.
Eti Titanium and Nickle worth $100B, are you Schizophrenic patient?
 
Full disclosure ....si somangi any Tanzanian reply above 1 paragraph until search a day Tanzania will have more economic power than Kenya ....sitawai soma!!...hakuna haja ya kujikasirisha kusoma upuzi ambayo hautanisaidia .......i just read one sentence alaf naweka Bonge la reply!!!...anyway

Kenya GDP is 75bn$
Tanzania is 48bn$ dont @ me

By 2022 Kenya itakuwa 118bn$ Tz itakuwa 61bn$ by 2030

Si mnajua venye turkey ilipanda??
2003 turkey ilikuwa 179bn$
2003 greece ilikuwa 201bn$

2017 turkey iko 871bn$
2017 greece iko 196bn$

My fren sioni mkiwai tufikia so sema unacho sema uende

Hata mueke train gani hapa ....tutakuwa hapa 2030 mkipewa vyuma bandia mueke kwa 40km rail ambayo mliweza kumaliza nyingine ikiwa U/C

Tutakuwa hapa 2020 Nairobi Naivasha iki Launchiwa na bado SGR ya Tanzania haijaanza
Kenya is 63bn
Tanzania 55bn
Kenya and Tanzania are both poor countries.
 
Have you heard of Lappsset project??
Worth 25bn$

Ama SGR ya lappset 13bn$ mpaka addis ababa?
Ama
Titanium mines kule malindi worth 100bn$ ?
Ama 1.2bn barrels of oil already in turkana worth 62bn$
Na unajua galana itakuwainazalisha mpaka 10bn$ of refined goods??

Maaaan Shut up!!!

Unaanza kububujika!!

Tanzania mumekua na minerals toka before independence mko wapi sai??.
1.2B barrel of oil from which country?, it was 600 barrels, with late addition discovery of 200 barrels to make total 800 barrels, always receivable is only 30%, therefore only expected amount of barrels expected is 300barrels, remember Uganda with 6B, they expect to get only 1.6B barrels.
 
1.2B barrel of oil from which country?, it was 600 barrels, with late addition discovery of 200 barrels to make total 800 barrels, always receivable is only 30%, therefore only expected amount of barrels expected is 300barrels, remember Uganda with 6B, they expect to get only 1.6B barrels.
Again 800mn barrels is 41bn$
So you are really making own goals hapa
 
And again let me educate you

Do you know Israel?
Yeah?


So israels total arable land is 1.2mn acres from this land it produces and annual agric sales product worth 36bn$ in foods and agric technology sales

1.2mn acres is 4000km<sup>2</sup>

So Kenyas president Kibaki and PM Raila and Uhuru Kenyatta who was the deputy PM of Kenya went to israel and signed a pact for israel to educate upto 10000 kenyans in 10yrs upto 2023 in agric development the signed a deal to see students from Kenya lifted to Israel from
Egerton
Jkuat
UoN
KU
and various other highee learning instution at the same time Israels ministry of Agric sign a bilateral and Several funding treaties to see transfer of Tech to Kenya...

Kenya is Largely desert Unlike Tz

The Kibaki Government And Rao identified Tana River County to support Kenyas irrigation dreams
Since River Tana the Second largest River in East africa passes largely in the county

They Identifies Galana Kulalu region that spans Kilifi and Tana river county to irrigate

They identified 1.78mn acres of Land to be irrigated and even invites ministers from israel ro come and see

The Projects total coast will be
4.2bn$
It will see Kenya produce more maize than the entire EAC combined
More Sugar, milk,meat and beans and Soy mostly for internal and export consumtion bringing upto potentially 12bn$ worth of goods for sale and export...

They are already constructing infrastructure to House the whole project
Ie:
Dams
Roads
Milling Factory
Irrigation machinery
An Airport and Rail Feasibilty is being done
Also Politechnics and learning institutions and
Electrification

The government did a Test run which yielded 35bags per acre ..the East african yield ler acre of maize is 28 for irrigation and 15 for rainfed so 35 is mind blowing but their target is 45-52bags using Kemri developed seeds...

Well the project is still a Jubilee and NASA flagship...as in who ever wins will see it done!!
Below are pictures from
10,000acre farm that yielded 403,000 90kgs bags of maize in 6months

63b45975c96e5d8912e7db3920a04186.jpg
also Netanyahu came to Kenya to personally say they are with Kenya on this!!
e391bff25ec64db52955504a559fadb1.jpg
77b95a0c792f10741dc9f67513890f20.jpg
96ee6d194253d0af066f7c7781fcfc9e.jpg
ed931aa2dfea4fccf27701a2a254fc4a.jpg
4820c6d6a2f7b89fd347397086663702.jpg
d677b43d07f47a2095b3dfd4222b8b33.jpg
e375e3890073c32b53537255b0fef89c.jpg
457575cc804ab304a625e31923a1aa75.jpg
aa760671aedca9b648e39549c6a03ff5.jpg
da193e0abe1ad05b3d24692e1b275aa0.jpg
94fdce5c75dd42b661084dc26266d206.jpg
River Tana that will see upto 6 dams constructed to produce upto 700mw and water for irrigation
17359ecf3f88816217441de31807f8f3.jpg
7e25cbb62f93b62e08aa86bee3c64455.jpg
8dc25183f2b949c2936ee1afd6361b04.jpg


Nawaambia tena Tanzania exports yenu kenya ni food stuff and Other Raw materials from shambas When this project comes online in Kenya mtatiiiii

Mtaona venye mtaset up ma viosk Kenya; Nairobi -Namanga highway begging Kenyans to buy Sacks of maize for 100/- instead of 2800/- right now......ngojeni ...
I read the first sentence, I remembered few months ago The Israelites (from desert country), waliwapa mahindi ya msaada, Ili kuokoa millions of Kenyans dying of Hunger.
 
I read the first sentence, I remembered few months ago The Israelites (from desert country), waliwapa mahindi ya msaada, Ili kuokoa millions of Kenyans dying of Hunger.
Really dont care about your opinion or any other confused tanzanian that is my whole point you could read the first letter and i wouldnt give two mnyambos!-(shits is too much to give for your opinions) third world!!
 
1.Mko na za Umeme Tanzania ama mnasema mtakuwa nazo?
2. Mumeanza hata Kujenga reli ama mko na rendera tu na kilomita chache za investor confidence?
3. Kenya ina zalisha umeme 2800mw maradufu tanzania istoshe
Kenya inajenga 1077mw plant lamu ya coal, ambayo itakuwa ya pekee africa baada ya SA na Zimbabwe, pili Kenya inajenga 400mw plant Turkana ya upepo ambayo itakuwa kubwa kuliko yoyote africa Tatu Kenya inajenga The largest geothermal power plant duniani Naivasha nne Kenya inaanza Kujenga Kiwanda cha Nyuklia kuzalisha 4000mw by 2027!
4. Tayari Kenya imeanza kuweka umeme kwa line ya reli Mombasa Nairobi at a cost of 48bn kshs

Sasa kaa chini uwache pang'ang'a mingi
Are you building coal plant in 21st century?
 
Again 800mn barrels is 41bn$
So you are really making own goals hapa
The problem you are not knowledgeable on the matata, only 30% of discovery can be siphoned from the ground, so for Kenya only expect 300barrels, too little for current price
 
Back
Top Bottom