Tanzania SGR Bridges vs Kenyan

Tulinganishe zote zikawa zimekamilika. Huwezi fananisha ndoto na uhalisia.
 
Tz sec school kuna ordinary level and Advinced level

O level masomo ya lazima ni
1.Biology ambayo kuna theory and practicals paper 1 and 2 as well
2.Chemistry kama kawaida paper ni mbili but kipindi nasoma level iyo ilikua ukifika form 3 unaweza liacha but form one and two it was must
3.Physics ni kama chemistry ukifika form 3 ni option
But kwa sasa hivi wanasoma hadi form four sio options tena
4.Geography ni paper 1 tu compulsory
5.Civics paper 1 compulsory
6.History...compulsory
7.BasicMathematics was compulsory Additional was options
8.Nutrition option subj
9.Bookeeping options subject
10.Commerce option
11.Agricultural opt

Upande wa technical school wanasubject zao sizifaham vizur mf engineering science, welding, painting etc...

High school Yaani form 5 and six ni mfumo wa combined subjects..
combination like PCB, PCM, PGM, EGM,HKL,CBG,HGL, ECA, HGE, CBA
E=Economics and A=Agriculture the rest ni yale basics ya kawaida!!
 
Hayo yote sawa. Swali ni kulingana na wewe design speed ya kenya ni ngapi... ?
Manake Ethiopia iko ma minimum curvature ndogo zaidi Kuliko kenya na yao ni average of 160km/hr
Kafrica, kwanini unapenda kutunga uongo na kulazimisha mambo yasiyowezekana ili ujiliwaze?, kwanza speed ya Ethiopia SGR sio 160km/hr, ni 120km/hr kama ya Kenya, pili unapojenga reli uwezi kusema unajenga reli ya speed ya 120Km/hr, with provision up to 200km/hr, kama inauwezo wa kupitisha kasi ya 200km/hr, hiyo sio tena reli ya 120km/hr, kwa sababu kinachofanya iwe ya speed ndogo, ni centrifuge and centripetal forces, ambazo zinategemea very much diameters za curves na ukaribu wa hizo curves zenyewe, kama reli ya Kenya na Ethiopia ukiziangalia, lazima curves zitakuwa karibu ulilinganisha na Tanzania, haitotokea hii ya Dar-Moro ambayo design yake ni 160km/hr, ikimbie 200km/hr, vivyo hivyo, hiyo iliyofanyiwa design ya 120km/hr, haitokaa ifikie 160/hr, labda mvunje reli mpunguze hizo curves na radius zake, kumbuka hii ni purely science of motion, usiingize maneno mengi ya kutaka kuchanganya watu, watu wa aina yako ni hatari sana kuwa driver wa hizi train, kwa sababu hutofuata maelezo ya kisayansi badala yake utatunga yako.
 

mkuu mambo y centripetal and centrifuge forces umenikumbusha mbali Enzi hizo niko shule.
mchina mjanja anaita this CHINA CLASS 1 watu wanaingia mkenge, na inabidi wakiweka stima wanunue na locomotives za stima, au watakuja kusema walizonazo kuna option ya ku-upgrade to electric. dah kenya bwana.
 
Wala hakuna kuweka umeme wala nini, unajua serikali ya Kenya iko very poor in planning, hawakuwa kabisa wakifikiria umeme, kwa sababu hakukuwa na sababu yoyote ya kujenga reli ya diesel wakati walikua na uwezo wa kujenga ya umeme moja kwa moja, na kama sababu yao ni kwamba hakuna umeme wa kutosha, jambo ambalo sio kweli, wangejenga lakini wakatumia hizo locomotive za diesel lakini miuondombinu ya umeme tayari ipo, hatahuku Tanzania, tutakuwa na uwezo wa kutumia diesel engine katika reli hiyohiyo ya umeme.

Waliposikia Tanzania inajenga ya umeme kwanza walibisha, baadae walipoona ni kweli, wananchi wengi wa Kenya wakaanza kuisakama serikali yao, ndipo pale ili kuwatuliza wananchi wakawaambia msiwe na wasiwasi tutaweka umeme msijali, sio rahisi kuanza tena kununua locomotives wakati sasa hivi wamenunua locomotive nyingi za diesel, pili wachina wanaendesha reli ya Kenya kwa kipindi cha miaka kadhaa, mchina hawezi kuingia tena gharama ya kuweka umeme wakati lengo lake ni kutengeneza faida haraka
 
Sasa kama watu wako site na kazi inaendelea unawezaje kuita mradi wa kusadikika.
 
Hilo lilijulikana Mkuu wao mpango wao ulikuwa wa treni za makaa ya mawe na diesel hiyo umeme ni mihemko baada ya kuona kwetu,nilichokiona ni roho za kichawi kuwajaa kila zuri kutaka na kuiga.
 

simlaumu kikwete but nasikitika kwamba na sisi tungepigwa na hii CHINA CLASS 1 ambayo hata kwao china hawatumii, au may be ni AFRICA CHINA CLASS 1. Nafikiri hata wakiweka umeme mchina atawaambia anaweka umeme class 1 ili awapige tena waanze kusema umeme wao ni tofauti kwa sababu ni china class 1.
 
Sasa kama watu wako site na kazi inaendelea unawezaje kuita mradi wa kusadikika.
Inawezakana ikawa ni kusadikika manaake kufanya clearance ya maeneo sio kwamba ndio kuanza kutandaza rails & its components.

What if wafadhili wakizingua mradi unaweza ukaishia hewani tukabaki tume~clear maeneo tu.

Mradi wa mji mpya pale kigamboni umefikia wapi kwa mfano wakati utekelezaji ulikuwa umekwisha anza?
 
kwa hiyo hata ile ya kenya , Nairobi to naivasha then Kisumu ni ya kusadikika kwa vile hawajaanza kutandaza reli?
mradi wa tz unafadhiliwa na serikali ya Tanzania, siku tunazindua tutasema tunawashukuru wananchi wa Jamhuri ya Tanzania, na sio wananchi wa Jamhuri ya china.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Umenichekesha sana, ninahisi na sisi tungeingia mikataba ya ujenzi chini ya Kikwete, tungeangukia huko huko China class I. Kwa ujumla serikali ya Kenya iko very poor katika kuchagua vipaumbele na planning of projects, kuna Hospital moja pale Nairobi, imetengenezwa kwa $100M, ni hovyo ajabu, sura mbaya, madirisha madogo kama gereza, ukilinganisha na Mloganzila ambayo hata bei hiyo haikufika, ni kama mbingu na ardhi, kuna mwandishi wa Kenya alilalamika sana, yaani kwa kifupi wakenya hawana test nzuri, mfano mzuri ni hizo train za SGR
 
Hivi Tanzania tuko tayari kwa train inayotumia umeme kweli au tunataka kulaza watu njiani?!
mkuu treni ni ya umeme na diesel, umeme ukisumbua inapiga diesel nenda uingereza wanatumia hii system sio line zote uingereza zina umeme.
 
Tz itapata instability kisa galana, bro, Tz is not the same, no country in East Africa can destabilize us, be it economical or warfare, sisi ndio baba yao, regardless uchumi wetu, hukuona tulivo ban mahindi/ kq, mlivopatwa na instability, wewe acha kuchekesha. Nikuache na arrogance yako.
 
Kenya na Nigeria ndio nchi zinazoongoza kwa ufisadi Africa ndio maana sgr ya Kenya ililalamikiwa sanaaa
 
mkuu treni ni ya umeme na diesel, umeme ukisumbua inapiga diesel nenda uingereza wanatumia hii system sio line zote uingereza zina umeme.
Mbona wanasema nishati moja hawazisemi zote mbili, wanaficha nini?!
 
H
Hili jambo itabidi serikali ijiandae kisaikolojia hasa kwenye value addition ya mahindi kinyume chake tutakuja lia
 
T
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…