Tanzania SGR Bridges vs Kenyan

Hio hapo inaandikwa na mkono baada ya reli kufika kenya na kufanywa testing..... it was a speed that was actually achieved.....

Ethiopia curvetures are shorter than that of Kenya and their trains achieve avg 160km/hr.......

Sijakataa ulivyosema, nilichokataa ni design speed ya reli ya Kenya
 
Hebu tutofautishe hapa

Tanzania 60s-70s
View attachment 602671

Kenya 2017
View attachment 602672

Alafu kuna nyinyi washamba ninaojaribu kuelimisha, hebu sasa tuangalie

Hii hapa dashboard ya reli ya Kenya, angalia vizuri




Kuna wakenya wengine kule uchina wanasomea mambo ya reli, wanafundishwa na model ya train ya kisasa kabisa




Sasa angalia dashboard ya model ya train ya kisasa ya stima alafu ulinganishe na dashboad ya hio treni ya kenya ya diesel





hio locomotive ya Kenya inatumia technology ambayo ni tofauti kabisa na kale ka reli kenu ka tazara
 

Kwani ukikubali ukweli utakufa?, Yaani Tazara unaita Karail kenu, kweli Nyang'au ni nyang'au tu
 
Kwani ukikubali ukweli utakufa?, Yaani Tazara unaita Karail kenu, kweli Nyang'au ni nyang'au tu
Ka rail kenu manake mpaka wa leo reli hio haijatengeneza faida ya kutosha kuregesha pesa zilizotumika kufanya ujenzi.... reli yenyewe hamkumaintain ilijengwa 1970 lakini imeharibika na kufanana na reli iliojenya na mkoloni miaka 100 iliyopita huko 1901
 

Acha basi kulialia, kumbuka kila mwaka kuna train ya Watalii wanaosafiri kutoka SA kuja Tanzania kupitia Botswana, Zimbabwe, Zambia kisha Bongo, utasemaje rail imechoka?, rail yenyewe ni utalii tosha
 
Hahah tender ya third phase is already floated we build concurrently! There is a reason behind Kagame's visit to Tanzania. We don't do guess work in here. Mind u this same year Isaka-Kigali section will start construction!
Hahahahahaha
 
Hehehehehee haya ndo matokeo ya tumbo empty, jua, na bange! πŸ™‚ Mnanivunja mbavu.
 
Hahah tender ya third phase is already floated we build concurrently! There is a reason behind Kagame's visit to Tanzania. We don't do guess work in here. Mind u this same year Isaka-Kigali section will start construction!
Pesa za phase one alone hamjazipata zote mtajengaje concurrently... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
It is silly to compare my living son with your unborn son and deduce your unborn son is more handsome and smarter.
 
TBT...

Jay456watt where r u?
 
Jay456watt upo?
 
Aisee 😬😬😬
 
Ukweli mtupu ambao wakenya wengi hawaupendi especially hawa washamba wa humu jf πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…