Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Hio hapo inaandikwa na mkono baada ya reli kufika kenya na kufanywa testing..... it was a speed that was actually achieved.....Kuhusu speed ya train, soma vizuri maelezo yangu acha kujifanya hujaelewa, nilisema kwenye train muhimu ni reli yenyewe design yake kama itaweza kuruhusu huo wendo, hata kama locomotives zinauwezo mkubwa wa kukimbia speed kali, ninadhani ulielewa vizuri ila unataka kusumbua akili yangu, hivi Tanzania ikiamua kununua locomotives zenye uwezo wa 300km/hr, na imeandikwa hivyo, utaamini kwamba hiyo ndiyo speed itakayosafiri?
muhimu ni design ya railway, how closer curvatures are, what is average radius of the curves, what is inclinations and slopes, ndivyo vitu vinavyo determine speed ya train, hata gari la kawaida hivi vinaueika sana, sema gari utaongezea mashimo, matope, mchanga, mawe na hali ya tairi za gari
Ethiopia curvetures are shorter than that of Kenya and their trains achieve avg 160km/hr.......
Sijakataa ulivyosema, nilichokataa ni design speed ya reli ya Kenya