Tanzania SGR Bridges vs Kenyan

Chati iliwekwa na wizara ya uchukuzi ya Uganda wakifanya comparison kabla ya kuamua ni reli ghani watatumia kuunganisha na pwani. Rena link ya hiyo chati ililetwa na geza ulole Kyle kwa thread ya cost comparizon
 
Lakini sio mganda ambaye aliandika ile chati, hata kama iliwekwa na wizara ya Uganda, kwa jinsi ilivyoandikwa kiushabiki, ni rahisi sana kugundua ni mtu wa nchi gani aliyeandika[emoji1] [emoji1]
 
Wanajitekenya na kujichekesha! Picha zimewekwa humu lakini mpumbavu anathubutu kuropoka uongo.
Just cause umeona picha moja haimanishi hivyo ndo itakua... Kama vile mmejaribu kutumia picha ya daraja moja ku compare na madaraja ya kenya Ambato nimewaonyesha yako na designs tofauti kulingana na mazingira kama pale NNP au kuelekea Naivasha ambapo tatamis marefu zaidi na design tofauti...

Anyway, kuhusu hayo matuta, au minimum embankment inamaanisha at any point reli inaweza kushuka chini hadi hio minimum

Si ni wewe ndo ulileta hii pdf kutoka Uganda ministry of transport, ama umesshau? Leo hii unairuka huyo pdf wasababu haisupport point yako?

Sio kweli, cost/km ni kwa rail line yote.
Don't shoot the messenger!
Kama ni hivyo vasi reli ya kenya ni 609km na wala si 472km manake ndani ya Msa Nairobi kuna extra 137km ya rail track.
 
Lakini sio mganda ambaye aliandika ile chati, hata kama iliwekwa na wizara ya Uganda, kwa jinsi ilivyoandikwa kiushabiki, ni rahisi sana kugundua ni mtu wa nchi gani aliyeandika[emoji1] [emoji1]
Iliandikwa na Monitor a sister company to the Nation! Sasa inakula kwao ukweli unajianika polepole...200km/hr kudadeki! Yaani unaenda Mwanza toka Dar na kurudi ndipo garimoshi toka Mombasa linafika Malaba. Mchina kamfanya vibaya Mkenya....

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Hapa tunafanya gamu ya average kulingana na bei za dar-moro-dodoma, Rena isitoshe ukipiga hio hesabu utapata dar-moro ni ghali kuliko moro-dodoma... Dar moro hakuna milima inayohitaji madaraja mengi ndio maana hakuna hata render moja ya madaraja yatakayo jengwa dar-moro kwababu badaraja ukichanganya yote ya dar-moro hayafiki hata 5km.... Naona ndo sababu wamekimbilia kutoa picha za daraja za phase 2 wakati hata phase 1 haijaanzwa kuwekwa vyuma na hakuna hata picha moja ya phase 1
 
Huu umeme wetu wa kukatikakatika utamudu?nini tutafanya uwe stable? Mnijuze nyie wajuzi.
 
Nop iliandikwa na min.transport na Sgr uganda, hao monitor walitoa ripoti tu.

Anyway, hio ya 200km/hr imesemwa na nani? Lets sources

Manake mimi naeza kuletea source, yetu ikiwekwa umeme 2020 itakua inasonga at 240km/hr
 
Sidhani kama train ya Mizigo itakuwa na hiyo speed, hiyo itakuwa kwa Passenger trains,
 
Hilo daraja ni la phase one, mradi ni design and build, saivi ndio wapo kwenye designing ya phase mpya waliyopewa
 
Sidhani kama train ya Mizigo itakuwa na hiyo speed, hiyo itakuwa kwa Passenger trains,
Kwa sasa abiria 160km/h wakati mizigo 120km/h wakati ule mtambo wa gongo wa Kinyang'au 100km/h abiria 80km/h mizigo. Piga mahesabu mwenyewe uone ninachosema! [emoji23] [emoji115]
 
Kwa sasa abiria 160km/h wakati mizigo 120km/h wakati ule mtambo wa gongo wa Kinyang'au 100km/h abiria 80km/h mizigo. Piga mahesabu mwenyewe uone ninachosema! [emoji23] [emoji115]
Kenya ni average ya 120km/hr abiria
 
Hilo daraja ni la phase one, mradi ni design and build, saivi ndio wapo kwenye designing ya phase mpya waliyopewa
Hapo juu umekua ukiongelea dar-makutopora ukasema sijui itakua na culverts 123 na madaraja 243 alafu ukaweka picha za daraja, sasa ilikua unataka tuelewe nini? hatuwezi kusoma akili yako bana
 
Kwanini upo sana interested na madaraja au kujua kipande kipi kipo ghali zaidi ya kipi, reli yote toka Dar-Mwanza ni ya Tanzania, jumla ni 1,200+km na itagharimu $6.3B, hilo ndiyo la msingi, haiwezekani phases zote zikalingana, kwa sababu vinatofautiana sana, ukichukua hiyo pesa gawanya kwa urefu huo utaona kila kilometa mmoja ni kiasi gani, ila kuna sehemu itakuwa ghali zaidi na kwengine kutakuwa cheaper, hilo ndiyo la msingi, sasa kutaka kujua kuna madaraja mangapi Dar-Moro, hiyo unakuhusu nini?
 
Aa wapii hata za abiria sasa hazikimbii hivyo kwa mitambo ile ya gongo kitu kinaweza ku-derail
 
Hapo juu umekua ukiongelea dar-makutopora ukasema sijui itakua na culverts 123 na madaraja 243 alafu ukaweka picha za daraja, sasa ilikua unataka tuelewe nini? hatuwezi kusoma akili yako bana
Thread title inaongelea nini?
 
Sidhani kama train ya Mizigo itakuwa na hiyo speed, hiyo itakuwa kwa Passenger trains,
Kumbuka stima kutoka kampuni ya kusambaza umeme unalipwa kulingana na tariff... Tuseme Tz SGR itatumia 300MW, kampuni ya umeme itaitisha pesa ya hizo 300mw, kwahivyo ni lazima tz-sgr ipate faida ya kutosha kulipia hio stima... Kama hawarakua na faida ya kutosha na wakose kulipa stima, kampuni ya stima itachukua loss hiyo na kuipitisha kwa mwananchi, mtaongezewa kodi ya stima ili mlipie hio loss ya 300mw ...
 
Actually 1960s technology, unajua hawa watu wana ushamba wa kujikweza. Vitu vyote anavyofanya Mchina leo Kenya, alifanya Tanzania 1960s mpk hata tunnels kwa Cape Gauge Railway ambayo ni just fewer inches narrow. Ujinga ni mali yao

Hiyo ndio Tazara ya 60s-70s, Wakenya ndio wanazipata leo 2017 wako na furaha ya ajabu na kuona ni kitu kipya Africa Mashariki, kumbe hao wachina (original Chinese) walishajenga hapa bongo kitambo

And fuel? Even if u produce at home market price dictate the price. Acha kuwa mpumbavu unajiaibisha...
 
Kwanini unapanga wewe vile unavyotska au unavyofikiria?, kama Magufuli alimpatia kitalu Dangote achimbe mwenyewe makaa ya mawe ili gharama iwe chini kuliko kupitia wakala wa serikali, kitu gani kitamshinda Magufuli kuipe umeme wa bure au gharama nafuu SGR ili gharama ziwe cheap?, kumbuka tunajenga bwawa kubwa litakalozalisha umeme wa maji 2100MW, na tutaongeza umeme wa gas, ikifika 2020 ambapo Dar-Moro inategemewa kuanza, Tanzania inategemea kuwa na 5000MW, mwingi ni kutokana na maji ambao is the cheapest source of electricity.

Umeamua kukimbia jambo la msingi unaanza kukimbizana na picha za madaraja, kutakuwa na madaraja zaidi ya 200 kati ya Moro- Dodoma, ulitaka uwekewe picha ya madaraja yote?, then what for?. swali la msingi, ni kwanini SGR ya Kenya ni ghali kuliko zote, wakati is old model?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…