Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Chati iliwekwa na wizara ya uchukuzi ya Uganda wakifanya comparison kabla ya kuamua ni reli ghani watatumia kuunganisha na pwani. Rena link ya hiyo chati ililetwa na geza ulole Kyle kwa thread ya cost comparizonNinafahamu taarifa zake nyingi huwa anazitoa sources za Kenya ambazo sio neutral, kwa mfano hiyo hapo ameitoa kwa jamaa fulani mkenya alitoa chati akalinganisha reli za Kenya, Tanzania na ethiopia, ukisoma utacheka hadi ukae chini, ila wakenya ndiyo wanapenda kusifiwa hata kama ni uongo ulio wazi wao wala hawajali,