Tanzania SGR Bridges vs Kenyan

Hhehe , eti mimeamua kukimbia jambo la msingi nikakimbizana na madaraja... Mbona unahubiri ndani ya bar??? Mada ilileywa kuongelea madaraja, wewe na gora lako mmekimbia mada mkajiamulia vyengune kabisa.
Alafu ukisema sgr kenya ni old model. Hebu define old model na utonyeshe ushamba
 

System yenyu wakenya ya Kuendesha uchumi iko tofauti sana na Tanzania, so hicho unachokiandika sio Sheria kuwa Tanzania lazima tutumie huo utaratibu unao/utakao tumika kwenu
 
Hahaha sasa kwani ni modern acha kuchekesha watu basi, sgr yenu ni very first early Stone age
 
Kaka usijiaibishe ndugu yangu, kasi ya treni haitegemeani na locomotive power peke yake, muhimu zaidi ni njia ya reli wakati wa kujengwa wanaandalia kona na inclination mbalimbali, wanaposema wanajenga reli ya mwendokasi fulani, hiyo ni maaana tangu ujenzi wa reli, kama Tanzania wanataka kujenga hadi 200Km/Hr, lazima hilo walifanye sasa hivi wakati mkandarasi anafanya design, akishamaliza huwezi tena kuleta locomotive zitakaxokumbia nje ya design iliyofanyika, ninakuhakikishia Kenya inaweza kubadili from Diesel kwenda umeme, lakini sio speed ya train, kwa sababu drsign ya reli hairuhusu speed hiyo, kona na inclinations mbalimbali haziwezi kuruhusu mwendo huo, kama kuna aliyesema umeme ukiwekwa speed itafikia 240km/hr, ni mwendelezo wa propaganda za wakenya, na kawaida wakenya wanapenda sana kusifiwa hata kama wanadanganywa, uwezo wao wa kufanya analysis wanaufungua chooni, kama alivyokua anawadangaya Charles Keter wakati wa saga la bomba la mafuta
 
System yenyu wakenya ya Kuendesha uchumi iko tofauti sana na Tanzania, so hicho unachokiandika sio Sheria kuwa Tanzania lazima tutumie huo utaratibu unao/utakao tumika kwenu
Ni kweli..Hivyo ndo inafantika kwetu , kenya power kplc haiwezi ikakubali kupeana stima ya bure kwani pia hao walitumia pesa kuwekeza... Na hata wakipeana bure ni lazima serikali iwalipe la sivyo wataongeza bei ya Stima kwa wananchi mpaka ile siku watajilipa hio loss ya kupeana stima ya bure.
 
Ile siku yenu itaadikwa kiswahili utuletee mapicha tuje tukupongeze
Tanzania official languages ni kiswahili na English lakini sio kichina that's not universal language na tunataka iwe English ili yeyote aelewe considering emergency situations universal language is inevitable. Sasa hiyo yenu one must starting first with Chinese language tougher 100 times than technical stuff.

Chinese kwenye hii sgr yenu ni mgonjwa na uji no Chinese no operations
 
My friend, reli ya kenya ilidesigniwa na option ya future upgrade to highspeed electric to support upto 250km/hr
 
Madereva wote wa kenya wanaweza kusoma ki chinese ...
Kitu kama software system ya train inaitea core system, si rahisi kugeuza core system unless ufanye complete ovahaul, its not as simple as inserting a cd and changing a language... its like changing a language for a nuclear plant Operating system , you cant just insert a translating software, you will have to rewrite the OS from the ground up...
 
Mkuu umesema ICD zetu zitajengwa ila zitakua ndogo kulinganisha na zenu. How can u tell that, najua haujaona michoro ya ICD zetu, Infact kuna nyingine tayari zinajengwa najua hujui hilo. Sasa kwa manufaa ya jukwaa ebu tupe link au weka vitu hadhalani tuone ukubwa wa ICD za Kenya then tupate ku compare. Unge anza na hyo ya Kisumu it sounds interesting.. nia ni kujifunza.
 
That shows how your sgr is limited and unpopular, the company serves only in China because of poor reputation and little diversity
 

Hivi ilikuwaje ile Ya Tazara ya 60s-70s haina complication kama hiyo yenu ya 2017,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…