Tanzania SGR Bridges vs Kenyan

Tanzania SGR Bridges vs Kenyan

kiukweli, ni uchungu sana kusema ila hongereni watanzania heri nyie mnaletewa treni za kisasa...hata bridges naona ziko poa sana...most importantly, hamjaibiwa kama wananchi...huku kwetu, treni ni za diesel ila zimekuwa ndio bei ghali kabisa kuliko zote...SMH Mr. Magu, I respect you...sisi tunafuata nyayo za Nigeria jinsi corruption inavotutafuna...juzi tu tumeshindwa kujenga stadium zitakazotumika kwa CHAN ilhali Rwanda ili host mchezo huo vizuri kabisa...🙁🙁🙁sasa hivi tuna vuta nikuvute kati ya serikali, opposition, electroral commission na Supreme court, wakenya wanaumia kwa njaa, wengine hawana makao wanaofaa kuishi wanadamu..vijana hawana ajira.🙁🙁🙁 yaani wanasiasa wanatulet down sana...Pengine private sector ndio wanajaribu na kutuletea mijengo na hoteli za kisasa ila ni za kazi gani wakati wanasiasa wanaharibu kila kitu...🙁🙁🙁 kwa utawala wa Magu, Tanzania hii sio ile ya kale...
 
We mrundi ntakufunza kiingereza hadi lini? Acha kuchafua jukwaa bure na ung'eng'e wako gushi, tumia kiswahili bana. Sasa hapo Tanzania SGR Bridges vs Kenyan ....... ni Kenyan what? Watermelons?
Tatizo lako wewe kijana hujielewi!
Unashindwa kuchangia mada husika unaenda kwenye upuuzi wako!!
English inahusika vipi na mada tajwa hapo juu!
 
kiukweli, ni uchungu sana kusema ila hongereni watanzania heri nyie mnaletewa treni za kisasa...hata bridges naona ziko poa sana...most importantly, hamjaibiwa kama wananchi...huku kwetu, treni ni za diesel ila zimekuwa ndio bei ghali kabisa kuliko zote...SMH Mr. Magu, I respect you...sisi tunafuata nyayo za Nigeria jinsi corruption inavotutafuna...juzi tu tumeshindwa kujenga stadium zitakazotumika kwa CHAN ilhali Rwanda ili host mchezo huo vizuri kabisa...🙁🙁🙁sasa hivi tuna vuta nikuvute kati ya serikali, opposition, electroral commission na Supreme court, wakenya wanaumia kwa njaa, wengine hawana makao anayofaa kuishi mwanadamu...🙁🙁🙁 govt inatulet down sana...Pengine private sector ndio wanajaribu na kutultea mijengo na hoteli za kisasa ila ni za kazi gani wakati wanasiasa wanaharibu kila kitu...🙁🙁🙁

Nani kachukua cm yako au hilo kopo lako na kuandika haya!
Siamini kama ni wewe kuwa kuna siku Akili zina kurudi kidogo!
Pongezi kwako
 
yaani nimeumia sana ndugu kuona treni hizi za kisasa wakati zetu zinatuchosha kwa kelele na moshi....ina maana Kenya imekosa umeme wa kutosha? apana...hii itakua ni wizi mkubwa ulitendeka kule kati ya serikali na wachina...haiwezekani reli yetu ikawa ndio bei ghali ila nje ya stesheni, hamna jambo la maana...bridges ni za kawaida sana ila ona tu za wenzetu...duh! tuliibiwa...
 
kiukweli, ni uchungu sana kusema ila hongereni watanzania heri nyie mnaletewa treni za kisasa...hata bridges naona ziko poa sana...most importantly, hamjaibiwa kama wananchi...huku kwetu, treni ni za diesel ila zimekuwa ndio bei ghali kabisa kuliko zote...SMH Mr. Magu, I respect you...sisi tunafuata nyayo za Nigeria jinsi corruption inavotutafuna...juzi tu tumeshindwa kujenga stadium zitakazotumika kwa CHAN ilhali Rwanda ili host mchezo huo vizuri kabisa...🙁🙁🙁sasa hivi tuna vuta nikuvute kati ya serikali, opposition, electroral commission na Supreme court, wakenya wanaumia kwa njaa, wengine hawana makao wanaofaa kuishi mwanadamu..vijana hawana ajira.🙁🙁🙁 yaani wanasiasa wanatulet down sana...Pengine private sector ndio wanajaribu na kutuletea mijengo na hoteli za kisasa ila ni za kazi gani wakati wanasiasa wanaharibu kila kitu...🙁🙁🙁 afadhali Magu angekuwa mkenya...
Kama robo ya wakenya wangekuwa na mawazo kama wewe, Kenya ingekuwa sawa na Egypt au hata kuizidi, huo ndio ukweli uliosema, Kenya inaelekea kubaya sana kama hawatokubaliana na ukweli huu ulioseba na badala yake kuendelea kujiliwaza na kudhani mambo ni mazuri.
 
mkenya atakayeidharau Tanzania ya leo, atakuwa anafanya makosa makubwa...especially baada ya Magu kuingia mamlakani...Tanzania hii si ile ya zamani...ona tu treni mnazoletewa...ona tu zile bridges....na cha kushangaza ni kwamba, bei ya SGR yetu ya zamani na iliyojaa moshi ni ghali kuliko yenu ya stima...duh itakua kama ulaya vile...mimi sijui wakenya watatokomea wapi itakapokamilika...itakua aibu kubwa sana kwetu especially tunavopenda kuwakandamiza wengine wakati mwingine...😀😀SGR TZ nimeipa tick...sasa mjaribu na station pia ziwe zina match hizi picha..
 
kiukweli, ni uchungu sana kusema ila hongereni watanzania heri nyie mnaletewa treni za kisasa...hata bridges naona ziko poa sana...most importantly, hamjaibiwa kama wananchi...huku kwetu, treni ni za diesel ila zimekuwa ndio bei ghali kabisa kuliko zote...SMH Mr. Magu, I respect you...sisi tunafuata nyayo za Nigeria jinsi corruption inavotutafuna...juzi tu tumeshindwa kujenga stadium zitakazotumika kwa CHAN ilhali Rwanda ili host mchezo huo vizuri kabisa...🙁🙁🙁sasa hivi tuna vuta nikuvute kati ya serikali, opposition, electroral commission na Supreme court, wakenya wanaumia kwa njaa, wengine hawana makao wanaofaa kuishi wanadamu..vijana hawana ajira.🙁🙁🙁 yaani wanasiasa wanatulet down sana...Pengine private sector ndio wanajaribu na kutuletea mijengo na hoteli za kisasa ila ni za kazi gani wakati wanasiasa wanaharibu kila kitu...🙁🙁🙁 kwa utawala wa Magu, Tanzania hii sio ile ya kale...
Aisee,umenena kiume,mwanaume hukubali na kukiri kulingana na hali halisi Geza aliwaambia humu kwamba huko mradi wenu mmeibiwa,mkamwita Anti-kenya.angalia bridge zetu na zenu,na pesa inayotumika.mm kinachonivutia SGR ya Kenya,ni vituo,eg Mombasa terminal,hapo sijajua za kwetu zitakavyokuwa,ukweli ni kwamba,jubilee imewaingiza wananchi mkenge,poleni ndugu zetu.japo Magu huenda anakosea mambo machache,but,the man is smart.
 
yaani ni stations tu zinazovutia...treni hata usiseme...aibu tupu...bridges hata usiende hapo...kisha bei ya project...kumbuka ni mkopo...
 
Ndugu kelele za siku zote za nyuma na majigambo yote umeishia kukalishwa kwa mchoro tu. Wakenya bhana!.. hahhhhaaaaaha .
 
mkenya atakayeidharau Tanzania ya leo, atakuwa anafanya makosa makubwa...especially baada ya Magu kuingia mamlakani...Tanzania hii si ile ya zamani...ona tu treni mnazoletewa...ona tu zile bridges....na cha kushangaza ni kwamba, bei ya SGR yetu ya zamani na iliyojaa moshi ni ghali kuliko yenu ya stima...duh itakua kama ulaya vile...mimi sijui wakenya watatokomea wapi itakapokamilika...itakua aibu kubwa sana kwetu especially tunavopenda kuwakandamiza wengine wakati mwingine...😀😀SGR TZ nimeipa tick...sasa mjaribu na station pia ziwe zina match hizi picha..
Mimi haya ya madaraja au vituo vya treni kwangu sio hoja sana, jambo ninalotaka kuwaambia hasa wakenya kuangalia sana na linaweza likawa na madhara sana kwa uchumi wa Kenya ndani ya miaka miwili ijayo, ni hii sera ya viwanda na mbinu anazozitumia katika kuanzisha viwanda, ninaloliona ni kwamba atafanikiwa sana katika zoezi lake hili la industrialization kiasi kwamba bidhaa nyingi zitakazozalishwa zitakuwa very cheap ukilinganisha na zile za Kenya, kwa sababu mashirika yote yaliyokua yanajenga majumba marefu na makubwa mijini, ameyaambia yaache kujenga badala yake pesa hizo ambazo kwa kweli ni nyingi sana wazipeleke kwenye uwekezaji wa viwanda, hii maana yake ni kwamba, viwanda vingi vitaanzishwa bila kukopa kwenye benki za biashara, hivyo hakutokua na riba katika pesa hizi, na kama ipo basi ni kidogo sana, viwanda vitaweza kuzalisha kwa gharama nafuu na kuuza bidhaa zake kwa gharama nafuu sana
 
Ni kweli kiongozi National Security funds zote kwa ujumla zinajenga viwanda zaidi ya 30 sasa.
 
mkenya atakayeidharau Tanzania ya leo, atakuwa anafanya makosa makubwa...especially baada ya Magu kuingia mamlakani...Tanzania hii si ile ya zamani...ona tu treni mnazoletewa...ona tu zile bridges....na cha kushangaza ni kwamba, bei ya SGR yetu ya zamani na iliyojaa moshi ni ghali kuliko yenu ya stima...duh itakua kama ulaya vile...mimi sijui wakenya watatokomea wapi itakapokamilika...itakua aibu kubwa sana kwetu especially tunavopenda kuwakandamiza wengine wakati mwingine...😀😀SGR TZ nimeipa tick...sasa mjaribu na station pia ziwe zina match hizi picha..
this is all about corruption brother. nina uhakika hata wale wanaomponda magu, deep inside they know what exacly this guy is doing. wengine wanamponda magu kwa sababu wana maslahi yao (corrupt people). let me tell you one thing. Magu will be a good example for other EA presidents. Im telling you other EA presints will borrow a leaf from him, if not, citizens will make or force their presidents to be like magu. see here you and other kenyans have already noted the differences in SGRs. Im sure next phase of your SGR will be much better. so Magu is also solving your problems indirectly. lets pray for him.
 
Mungu ambariki sana huyo jamaa...
 
kiukweli, ni uchungu sana kusema ila hongereni watanzania heri nyie mnaletewa treni za kisasa...hata bridges naona ziko poa sana...most importantly, hamjaibiwa kama wananchi...huku kwetu, treni ni za diesel ila zimekuwa ndio bei ghali kabisa kuliko zote...SMH Mr. Magu, I respect you...sisi tunafuata nyayo za Nigeria jinsi corruption inavotutafuna...juzi tu tumeshindwa kujenga stadium zitakazotumika kwa CHAN ilhali Rwanda ili host mchezo huo vizuri kabisa...🙁🙁🙁sasa hivi tuna vuta nikuvute kati ya serikali, opposition, electroral commission na Supreme court, wakenya wanaumia kwa njaa, wengine hawana makao wanaofaa kuishi wanadamu..vijana hawana ajira.🙁🙁🙁 yaani wanasiasa wanatulet down sana...Pengine private sector ndio wanajaribu na kutuletea mijengo na hoteli za kisasa ila ni za kazi gani wakati wanasiasa wanaharibu kila kitu...🙁🙁🙁 kwa utawala wa Magu, Tanzania hii sio ile ya kale...

For the first time I read something positive from you, however, you and I shall continue to debate issues on here but from now on, I will hold you with high regard.

Ni ukweli, siasa ni za hivyo na ukiendekeza hatufiki. hata Tanzania wanasiasa wa hovyo ni wengi pengine kuliko kwenu hasa Chadema. Wanaongea hovyo na kufanya mambo ya hovyo mno to an extent kwamba mimi natamatu turudi kwenye chama kimoja.
 
kiukweli, ni uchungu sana kusema ila hongereni watanzania heri nyie mnaletewa treni za kisasa...hata bridges naona ziko poa sana...most importantly, hamjaibiwa kama wananchi...huku kwetu, treni ni za diesel ila zimekuwa ndio bei ghali kabisa kuliko zote...SMH Mr. Magu, I respect you...sisi tunafuata nyayo za Nigeria jinsi corruption inavotutafuna...juzi tu tumeshindwa kujenga stadium zitakazotumika kwa CHAN ilhali Rwanda ili host mchezo huo vizuri kabisa...🙁🙁🙁sasa hivi tuna vuta nikuvute kati ya serikali, opposition, electroral commission na Supreme court, wakenya wanaumia kwa njaa, wengine hawana makao wanaofaa kuishi wanadamu..vijana hawana ajira.🙁🙁🙁 yaani wanasiasa wanatulet down sana...Pengine private sector ndio wanajaribu na kutuletea mijengo na hoteli za kisasa ila ni za kazi gani wakati wanasiasa wanaharibu kila kitu...🙁🙁🙁 kwa utawala wa Magu, Tanzania hii sio ile ya kale...
Umeongea ukweli, Kwa hali ilivyo hadi 2020 Magu atakua ametutoa kwenye umaskini. ...kama sivyo basi tutakua tunakimbia sana kiuchumi,Kiukwel kwa EA navyoona Tz ndio tumetulia na Rais kaamua kufanya mambo ya kulisukuma taifa mbele kwa dhati. ...Naomba amani zaidi ukanda huu ipo siku tutaheshimiwa tu kama tz
 
Back
Top Bottom