Geza kule kwa mada ya 'LAPSSET tracking' ulisema
Well I have news for you, Mbali na reli ya Kenya kufika hadi Kampala, pia sisi tutajenga bandari kubwa kabisa pale kisumu kusafirisha mizigo na mafuta kwa miji yote kando ya L.Victoria .... So dont even waste your time, mnapoteza muda na pesa, Mombasa port is twice as big as Dar port, Kisumu port will be bigger than Mwanza port,
View attachment 601785
Tena isitoshe ukiangalia map, Kisumu iko karibu na Kampala kuliko Mwanza... Mizigo yenu itakua inachukua 72hours kufika kampala kutoka mwanza kubitia maji, yetu itakua inaenda na reli kwa masaa sita kutoka kisumu inafika kampala, tena isitoshe pia tukiipeleka ma meli kutoka bandari ya kisumu itachukua 48hours kufika/////
Sijui utasema nini, Mungu kweli abariki mipango yetu pia
Angalia bonge la bandari litakalojengwa Kisumu
View attachment 601786
Kuna mipango yakuifanya Kisumu iwe the commercial hub ya miji yote ya L.Victoria,,,, mna mipango gani na mwanza???
Kisumu to become EAC commercial capital, Uhuru says | TradeMark East Africa