Tanzania SGR Bridges vs Kenyan

Tanzania SGR Bridges vs Kenyan

Duh...ili povu ulilomwaga sijui umetumia sabuni gani, pole sana, badala ya kutuletea mapicha ya majengo marefu ambayo zaidi ya kutaka sifa za kijinga, ungetuletea ni asilimia ngapi ya wakenya ni unemployed(48%)watu wangapi Kenya wanakabiliwa na janga la njaa(4 Million), uchumi unakua kwa asilimia ngapi(4.8%), asilimia ngapi ya wakenya wameunganishwa na stima(64%), watoto wangapi Kenya bado wanakaa sakafuni(?), asilimia ngapi ya wakenya wanapata maji safi na salama(?), usalama wa raia na mali zao ukoje, network ya barabara za lami ukoje, pengo kati ya tajiri na masikini likoje, linaongezeka au linapungua?, huo ndiyo unapitwa inclisive economy, sio kusema mtu mmoja analipwa Shs.Millioni 3, wakati nurses na waalimu wa vyuo vikuu wapo kwenye migomo isiyoisha.

Kuhusu 52% ya bajeti kutumika kulipia mishahara ni kweli na tatizo hilo wameliona tume ya Kenya baada ya kujifunza kwa Magufuli na imeamua kupunguza mishahara hadi kufikia35%, sasa kama wewe unabisha, wenzako wenye akili wameona ni tatizo.

Vipi mgao wa maji Nairobi umepingua?, kama hata maji ya kunywa katika miji mikubwa ni shida, unaona fahari gani kutuonyesha mijumba mirefu?, kama hata ki
ometa moja ya reli imeshindikana kujengwa na pesa ya ndani badala yake mnaenda kukopa na kuongeza serikali madeni yanayosababisha Kenya kuwekwa kwenye kundi la nchi zisizokopesheka(Moody's report), inapataji ujasiri wa kufuraia majumba marefu yanaypjengwa na capitalists?
Full disclosure ....si somangi any Tanzanian reply above 1 paragraph until search a day Tanzania will have more economic power than Kenya ....sitawai soma!!...hakuna haja ya kujikasirisha kusoma upuzi ambayo hautanisaidia .......i just read one sentence alaf naweka Bonge la reply!!!...anyway

Kenya GDP is 75bn$
Tanzania is 48bn$ dont @ me

By 2022 Kenya itakuwa 118bn$ Tz itakuwa 61bn$ by 2030

Si mnajua venye turkey ilipanda??
2003 turkey ilikuwa 179bn$
2003 greece ilikuwa 201bn$

2017 turkey iko 871bn$
2017 greece iko 196bn$

My fren sioni mkiwai tufikia so sema unacho sema uende

Hata mueke train gani hapa ....tutakuwa hapa 2030 mkipewa vyuma bandia mueke kwa 40km rail ambayo mliweza kumaliza nyingine ikiwa U/C

Tutakuwa hapa 2020 Nairobi Naivasha iki Launchiwa na bado SGR ya Tanzania haijaanza
 
.
Hivi akili yako hata kufanya imewacha
Kama 52% ya total budget ilienda kulipa mishahara inamaanisha 13.1bn$ ilienda kwa mokono ya 4-5mn kenyans sio??

Hawa wakenya wakalipa benki za kenya deni walio chukua ....hvi kuongezea benki capital ya expansions

Wakalipa insurance
Hivi kuongeza pesa ya future investments kwa insurance companies
Ambayo Cytonn investments na Centum zina simamia management ya pesa hao

Cytonn investments ime announce
Itajenga majengo tatu refu refu upperhill last week
b270929794ef108ee832abeeb3d28218.jpg
f0759cce1e1296e70c2892a909f3c774.jpg
748ad9732de5fe19ae85ae2273fa7385.jpg

Centum investment imejenge
Garden city mall the second largest mall in east and central africa
Imejenga Two rivers The largest mall in East Centra and West Africa hapa Nairobi
0578183d1c06990f8c51ed18c777591a.jpg
43e719b11ed7e1abce839418c245f2ae.jpg
370110f32b47eade4746e73af37dad39.jpg
34ff5da42b6af06635a6c885a2d9650b.jpg
96d9bb323e858b95754d0cfd3c3507e8.jpg

Tayari Centum imeanza kujenga one of the Largest Hospitals in Kenya hapo hapo Two rivers
ec324a4591adcf8105fd60f7aba8cf50.jpg

Centum only has 90 employees

Its CEO analipwa 300,000,000kshs a month!!!!

Na gardeners wao wanapewa benefits ya upto 23mn kshs!!!!

Yaani 230,000$ = 29 toyota NZEs

Istoshe Centum imeungana na AMu power ya China kujenga
1078mw powerplant kule Lamu ambayo ishaanza kujengwa....

Nairobi hospital pia ambayo ilianzishwa na wakenya sai iko level nyingine

Hapa ndio That Opposition mp wenu alie pigwa risasi alikuja matibabu
2cf586bb3bcf75a7c01e00e42a8e2c0f.jpg
4b9de670f11ee2b19dacc0e55ffbfac6.jpg

Na ujue pia madaktari na wahuduma wengine wa ma hospitali za Umma wanataka mishahara iongezwe
dd7693ee61d210483c2e8695b999b661.jpg
47fa891abb82f96fbc83c6990f568070.jpg
d49a24a57e8e666a8a51b63d34ccbe9b.jpg

Smh!!

Hyo 52 % inaenda kulipa school fees .....mumeona amount of national schools zilovyo increase kenya??

Kenyas education budget ni 350bn kshs= 3.53bn$

Kuna BoGs na PTA administrations ambayo mashule zinajijengea stadiums and Chapels zao na Modern libraries ni juu ya regulations ya filming underage persons in Kenya hautaona videos kwa TV ya venye Starehe ama alliance ama maseno ama mangu hukaa...

Mangu wanafunza aviation high schools hata tusiende mang'u nlisomea kakamega high school
Kuna
Power mechanics
Comp science
Aviation (kulikua na a plane engine shuleni)
Kama KCSE subjects

We had 17 labs na labaratory ya biology had 42 snakes preserved at the back of the lab in jars for study even a an ape foetus-looks human...
We had an auditorium ma lecture halls ....smh!!!...

Hamjui Kenya nyinyi!!.....
Strathmore University Law school pekee Ambayo ni private enterprise inawachapa Chenga University zote Tz
b61567ab34ff93a9e6dbf89887ced76c.jpg
9404fd4b247428fbceaf1759087a7a4c.jpg
a4e237f2036e7f68890c9cb314f54df1.jpg
883b2b3aadd900e4b6e50861c19e950b.jpg
8f45a4cd1b3afcea259b9599ffe06887.jpg
hatujaenda hata
USIU
Daystar
Kabarak
Hata UoN inajenga majumba mareeeeefu kati kati ya shule ....

Hyo 52% ndio hata labda inafanya mengi kuliko yote

Mnajua out of Nairobi

Places kama Nakuru the Amount of constructions of family homes going on?
Endeni ngata, ama milimani ama kabarak ama kiamunyi ama 58 muone ambavyo families wanajenga majumba kubwa kubwa ya kuishi

Istoshe
Hyo 52% ambayo unasema,
Kenyans last year bought 119,000 cars second hand cars and a further 21,000 brand new cars were imported Ethiopia ndio inatufwata na 53,000 cars na 7000 brand new

Smh!!!

Hata hyo pesa yote ya budget ikienda kulipa watu mishahara trust me hamtaifikia kenya

Wakati huu kila mama
Kenya ako kwa kikundi chao; Chama cha wa mama ...wakenya wanaitambua ...hapa wamama huja pamoja and the pool resources to start businesses

It has expanded to various saccos kama Kenya women, Kftw micro finance etc.....hata boda boda operators in every city wana chama chao if a border boda guy gets to an accident and destroys his motorcycle best believe by end of week atakuwa na brand new bike......

Makanisa pia yameanza haya

Kila kanisa sai inajenga Hoteli na majumba ya kuuza ama kukodisha na kununua mashamba!!....

Naeza endelea kukufahamisha vitu ambavyo 52% recurrent expenditure inafanya kenya but naamini umepata gist!!

Kenyan Mps Rush for higher education Esther Passaris graduated from Strathmore
7c60f5ee09091c1898d375842aca3c40.jpg
Huu ulimbukeni wa kushobokea majengo marefu utawaisha lini wakenya? Hayo majengo marefu yanamsaidia vipi mkenya wa kawaida?

Nataka nikuambie kitu hata sisi tulikua na huu ulimbukeni social security funds zetu ndio kazi waliyokua wanaifanya kila miji majengo marefu ni yao na many apartments.

Lakini Magufuli alivyoingia alipiga marufuku huo ujinga na amewapa alternative investment.

Saivi hizo social security funds zinajenga na kufufua viwanda zaidi ya 30 countrywide niambie watazalisha direct jobs kiasi gani na value chain itaajiri watu kiasi gani?

Someone has to free up your mindset.
 
Full disclosure ....si somangi any Tanzanian reply above 1 paragraph until search a day Tanzania will have more economic power than Kenya ....sitawai soma!!...hakuna haja ya kujikasirisha kusoma upuzi ambayo hautanisaidia .......i just read one sentence alaf naweka Bonge la reply!!!...anyway

Kenya GDP is 75bn$
Tanzania is 48bn$ dont @ me

By 2022 Kenya itakuwa 118bn$ Tz itakuwa 61bn$ by 2030

Si mnajua venye turkey ilipanda??
2003 turkey ilikuwa 179bn$
2003 greece ilikuwa 201bn$

2017 turkey iko 871bn$
2017 greece iko 196bn$

My fren sioni mkiwai tufikia so sema unacho sema uende

Hata mueke train gani hapa ....tutakuwa hapa 2030 mkipewa vyuma bandia mueke kwa 40km rail ambayo mliweza kumaliza nyingine ikiwa U/C

Tutakuwa hapa 2020 Nairobi Naivasha iki Launchiwa na bado SGR ya Tanzania haijaanza
Mavi ya kuku wa kienyeji, wewe pumba kabisa, muulize MK254 ndiyo utakuambia hiyo hesabu ya GDP unazopiga kama ni kweli au uongo, siku hizi humsikii akizungumzia tena habari ya GDP baada ya kugundua ukweli, alikuwa amejazwa pumba kichwani kama wewe, baada ya kugundua ukweli amekua mpole ghafla tu.

Hata kama ni kweli hiyo GDP, ni nchi gani watu wanakufa njaa?, ni nchi gani watoto wa shule hadi leo wanakaa sakafuni?, ni nchi gani inayotoa elimu ya msingi hadi sekondari bure?, ni nchi gani imeweza kuwapatia wananchi wake wengi maji salama?, ni nchi gani ambayo haipeleki tena wagonjwa wa moyo nje ya nchi badala yake inapokea wagonjwa toka nchi jirani kuwatibu moyo?

ukitoa ujinga wa kujisifia GDP na mambo ya kifahari yasiyokuwa na msaada wowote kwa wananchi wa hali ya chini, Kenya haiwezi kujilinganisha na tanzania katika stsndard of living hata kidogo, na viongozi wenu wanalijua hilo na baadhi wameanza kuiga mazuri yanayofanyika TZ.
 
.

Huu ulimbukeni wa kushobokea majengo marefu utawaisha lini wakenya? Hayo majengo marefu yanamsaidia vipi mkenya wa kawaida?

Nataka nikuambie kitu hata sisi tulikua na huu ulimbukeni social security funds zetu ndio kazi waliyokua wanaifanya kila miji majengo marefu ni yao na many apartments.

Lakini Magufuli alivyoingia alipiga marufuku huo ujinga na amewapa alternative investment.

Saivi hizo social security funds zinajenga na kufufua viwanda zaidi ya 30 countrywide niambie watazalisha direct jobs kiasi gani na value chain itaajiri watu kiasi gani?

Someone has to free up your mindset.
Utaisha siku ambayo utajua kuwa hayo majengo marefu yana jengwa ma investment companies ambayo yana kisanya pesa ya wakenya ili ku invest kwingine ambapo kuna profit kuzalisha mali maradufu kwa wakenya

NHIF ina 18bn$+ imelala tu haijaamua ya kifanyia ......tukiamua ku invest hyo pesa iongezeka mara kumi NYSE mtatii!!...tutanunua Tanzania!!
 
Mavi ya kuku wa kienyeji, wewe pumba kabisa, muulize MK254 ndiyo utakuambia hiyo hesabu ya GDP unazopiga kama ni kweli au uongo, siku hizi humsikii akizungumzia tena habari ya GDP baada ya kugundua ukweli, alikuwa amejazwa pumba kichwani kama wewe, baada ya kugundua ukweli amekua mpole ghafla tu.

Hata kama ni kweli hiyo GDP, ni nchi gani watu wanakufa njaa?, ni nchi gani watoto wa shule hadi leo wanakaa sakafuni?, ni nchi gani inayotoa elimu ya msingi hadi sekondari bure?, ni nchi gani imeweza kuwapatia wananchi wake wengi maji salama?, ni nchi gani ambayo haipeleki tena wagonjwa wa moyo nje ya nchi badala yake inapokea wagonjwa toka nchi jirani kuwatibu moyo?

ukitoa ujinga wa kujisifia GDP na mambo ya kifahari yasiyokuwa na msaada wowote kwa wananchi wa hali ya chini, Kenya haiwezi kujilinganisha na tanzania katika stsndard of living hata kidogo, na viongozi wenu wanalijua hilo na baadhi wameanza kuiga mazuri yanayofanyika TZ.
Blah bleh ...nimesoma only 1 sentence nkaona povu [emoji23]...sawa baba ....bye!!

MK254 wanatumia jina yako sasa ku make points za own goals
 
Utaisha siku ambayo utajua kuwa hayo majengo marefu yana jengwa ma investment companies ambayo yana kisanya pesa ya wakenya ili ku invest kwingine ambapo kuna profit kuzalisha mali maradufu kwa wakenya

NHIF ina 18bn$+ imelala tu haijaamua ya kifanyia ......tukiamua ku invest hyo pesa iongezeka mara kumi NYSE mtatii!!...tutanunua Tanzania!!
Wekezeni sasa hizo pesa kwenye sector zinazotoa ajira kwa wananchi, 48% Unemployment, one among the highest under the Sun, bado mmekalia sifa za kijinga tu, kujenga majengo yasiyo na faida kwa wakazi wa Kibera ambao hawana hata vyoo
 
Naamini hili jambo ni jema na tutafanikiwa kuna watu wanataka wakilala wakiamka wakute tayari tren inatembea ilhali yeye yupo kwenye ajira mwaka wa 10 ndo kwanza anamiliki kiwanja cha kujengea nyumba hata mchanga tu hajamwaga wala ramani ya nyumba hana tupende vyakwetu siku zote jiwekee matumaini ya kushinda na kuwa na mafanikio makubwa
Mkuu tunapenda sana vya kwetu ila kama ujuavyo sisi ufipa ni kupinga kila kitu kwahiyo msitulazimishe.
 
Pamoja na sifa zote unazotaja, njaa onaendelea kuwepo, mnapokea msaada wa chakuula toka China, akili zenu zikoje?
And again let me educate you

Do you know Israel?
Yeah?

So israels total arable land is 1.2mn acres from this land it produces and annual agric sales product worth 36bn$ in foods and agric technology sales

1.2mn acres is 4000km<sup>2</sup>

So Kenyas president Kibaki and PM Raila and Uhuru Kenyatta who was the deputy PM of Kenya went to israel and signed a pact for israel to educate upto 10000 kenyans in 10yrs upto 2023 in agric development the signed a deal to see students from Kenya lifted to Israel from
Egerton
Jkuat
UoN
KU
and various other highee learning instution at the same time Israels ministry of Agric sign a bilateral and Several funding treaties to see transfer of Tech to Kenya...

Kenya is Largely desert Unlike Tz

The Kibaki Government And Rao identified Tana River County to support Kenyas irrigation dreams
Since River Tana the Second largest River in East africa passes largely in the county

They Identifies Galana Kulalu region that spans Kilifi and Tana river county to irrigate

They identified 1.78mn acres of Land to be irrigated and even invites ministers from israel ro come and see

The Projects total coast will be
4.2bn$
It will see Kenya produce more maize than the entire EAC combined
More Sugar, milk,meat and beans and Soy mostly for internal and export consumtion bringing upto potentially 12bn$ worth of goods for sale and export...

They are already constructing infrastructure to House the whole project
Ie:
Dams
Roads
Milling Factory
Irrigation machinery
An Airport and Rail Feasibilty is being done
Also Politechnics and learning institutions and
Electrification

The government did a Test run which yielded 35bags per acre ..the East african yield ler acre of maize is 28 for irrigation and 15 for rainfed so 35 is mind blowing but their target is 45-52bags using Kemri developed seeds...

Well the project is still a Jubilee and NASA flagship...as in who ever wins will see it done!!
Below are pictures from
10,000acre farm that yielded 403,000 90kgs bags of maize in 6months

63b45975c96e5d8912e7db3920a04186.jpg
also Netanyahu came to Kenya to personally say they are with Kenya on this!!
e391bff25ec64db52955504a559fadb1.jpg
77b95a0c792f10741dc9f67513890f20.jpg
96ee6d194253d0af066f7c7781fcfc9e.jpg
ed931aa2dfea4fccf27701a2a254fc4a.jpg
4820c6d6a2f7b89fd347397086663702.jpg
d677b43d07f47a2095b3dfd4222b8b33.jpg
e375e3890073c32b53537255b0fef89c.jpg
457575cc804ab304a625e31923a1aa75.jpg
aa760671aedca9b648e39549c6a03ff5.jpg
da193e0abe1ad05b3d24692e1b275aa0.jpg
94fdce5c75dd42b661084dc26266d206.jpg
River Tana that will see upto 6 dams constructed to produce upto 700mw and water for irrigation
17359ecf3f88816217441de31807f8f3.jpg
7e25cbb62f93b62e08aa86bee3c64455.jpg
8dc25183f2b949c2936ee1afd6361b04.jpg

Nawaambia tena Tanzania exports yenu kenya ni food stuff and Other Raw materials from shambas When this project comes online in Kenya mtatiiiii

Mtaona venye mtaset up ma viosk Kenya; Nairobi -Namanga highway begging Kenyans to buy Sacks of maize for 100/- instead of 2800/- right now......ngojeni ...
 
Mimi ninasisitiza mazungumzo yetu yajikite sana katika tofauti ya bei zaidi kuliko hata hizo technical details, kitu kimoja ujue kwamba nchi zetu hizi bado ni masikini sana, hakuna sababu ya kukimbilia vitu ghali bila sababu, kama kuna uwezekano wa kupunguza gharama, hiyo lazima iwe kipaumbele cha kwanza.

Kuhusu uwezo wa reli, ile ya Tanzania capacity yake ni 35 tonnes exel wakati ya Kenya ni 25 exel, kwa kifupi ukiondoa vituo ambavyo sidhani kama Tanzania itajenga vya kifahari kama Kenya, parameta zingine zote zinaifanya ile ya Tanzania kuwa far superior kuliko ya Kenya, kosa la Kenya ni kutojenga electrical from the start, ni kama gari inayotumia automatic na manual drive, always automatic is more recent technology na very automated ukilinganisha na manual gearbox.

Unajua faida ya kuwa na full automatic control railway system?, ni kwamba kama train zinatoka opposite direction, na kwa sababu reli zetu hizi zote ni njia moja, uwezekano wa kugongana ni mkubwa sana, sasa kwa sababu control room watakua wanazifuatilia kwa karibu, wakiona zinakaribiana, wanazisimamisha zote mbili. Sasa kipi ni muhimu, kuwa na safety system hii, au kuwa na stage za kifahari vijijini?, kupanga ni kuchagua.
Mkuu hao majirani zao zinatumia makaa ya mawe sasa naona wana safari ndefu kuifikia hiyo ya umeme
 
And again let me educate you

Do you know Israel?
Yeah?

So israels total arable land is 1.2mn acres from this land it produces and annual agric sales product worth 36bn$ in foods and agric technology sales

1.2mn acres is 4000km<sup>2</sup>

So Kenyas president Kibaki and PM Raila and Uhuru Kenyatta who was the deputy PM of Kenya went to israel and signed a pact for israel to educate upto 10000 kenyans in 10yrs upto 2023 in agric development the signed a deal to see students from Kenya lifted to Israel from
Egerton
Jkuat
UoN
KU
and various other highee learning instution at the same time Israels ministry of Agric sign a bilateral and Several funding treaties to see transfer of Tech to Kenya...

Kenya is Largely desert Unlike Tz

The Kibaki Government And Rao identified Tana River County to support Kenyas irrigation dreams
Since River Tana the Second largest River in East africa passes largely in the county

They Identifies Galana Kulalu region that spans Kilifi and Tana river county to irrigate

They identified 1.78mn acres of Land to be irrigated and even invites ministers from israel ro come and see

The Projects total coast will be
4.2bn$
It will see Kenya produce more maize than the entire EAC combined
More Sugar, milk,meat and beans and Soy mostly for internal and export consumtion bringing upto potentially 12bn$ worth of goods for sale and export...

They are already constructing infrastructure to House the whole project
Ie:
Dams
Roads
Milling Factory
Irrigation machinery
An Airport and Rail Feasibilty is being done
Also Politechnics and learning institutions and
Electrification

The government did a Test run which yielded 35bags per acre ..the East african yield ler acre of maize is 28 for irrigation and 15 for rainfed so 35 is mind blowing but their target is 45-52bags using Kemri developed seeds...

Well the project is still a Jubilee and NASA flagship...as in who ever wins will see it done!!
Below are pictures from
10,000acre farm that yielded 403,000 90kgs bags of maize in 6months

63b45975c96e5d8912e7db3920a04186.jpg
also Netanyahu came to Kenya to personally say they are with Kenya on this!!
e391bff25ec64db52955504a559fadb1.jpg
77b95a0c792f10741dc9f67513890f20.jpg
96ee6d194253d0af066f7c7781fcfc9e.jpg
ed931aa2dfea4fccf27701a2a254fc4a.jpg
4820c6d6a2f7b89fd347397086663702.jpg
d677b43d07f47a2095b3dfd4222b8b33.jpg
e375e3890073c32b53537255b0fef89c.jpg
457575cc804ab304a625e31923a1aa75.jpg
aa760671aedca9b648e39549c6a03ff5.jpg
da193e0abe1ad05b3d24692e1b275aa0.jpg
94fdce5c75dd42b661084dc26266d206.jpg
River Tana that will see upto 6 dams constructed to produce upto 700mw and water for irrigation
17359ecf3f88816217441de31807f8f3.jpg
7e25cbb62f93b62e08aa86bee3c64455.jpg
8dc25183f2b949c2936ee1afd6361b04.jpg

Nawaambia tena Tanzania exports yenu kenya ni food stuff and Other Raw materials from shambas When this project comes online in Kenya mtatiiiii

Mtaona venye mtaset up ma viosk Kenya; Nairobi -Namanga highway begging Kenyans to buy Sacks of maize for 100/- instead of 2800/- right now......ngojeni ...
Very good and ambitious project, but take it from my words, with the level of corruption you have in Kenya, if you combine with poor planning of many grand projects like this, I am not a prophet but can predict with confidence interval of 90% +/- 5%, this project will not achieve intended goals
 
Mkuu hao majirani zao zinatumia makaa ya mawe sasa naona wana safari ndefu kuifikia hiyo ya umeme
1.Mko na za Umeme Tanzania ama mnasema mtakuwa nazo?
2. Mumeanza hata Kujenga reli ama mko na rendera tu na kilomita chache za investor confidence?
3. Kenya ina zalisha umeme 2800mw maradufu tanzania istoshe
Kenya inajenga 1077mw plant lamu ya coal, ambayo itakuwa ya pekee africa baada ya SA na Zimbabwe, pili Kenya inajenga 400mw plant Turkana ya upepo ambayo itakuwa kubwa kuliko yoyote africa Tatu Kenya inajenga The largest geothermal power plant duniani Naivasha nne Kenya inaanza Kujenga Kiwanda cha Nyuklia kuzalisha 4000mw by 2027!
4. Tayari Kenya imeanza kuweka umeme kwa line ya reli Mombasa Nairobi at a cost of 48bn kshs

Sasa kaa chini uwache pang'ang'a mingi
 
Very good and ambitious project, but take it from my words, with the level of corruption you have in Kenya, if you combine with poor planning of many grand projects like this, I am not a prophet but can predict with confidence interval of 90% +/- 5%, this project will not achieve intended goals
Sawa i dont need to take shit from you

Tuna a 3.8bn$ Rail
A 1.5bn$ Mombasa port expansion tayari
An underground 1.5bn$ Nairobi Naivasha Rail already under construction
A 4.62bn$ Nairobi Mombasa american built expressway already under construction
A 2.1bn$ AEZ special zone Eldoret already under construction
Two more expected in Naivasha and Machakos
A port worth 400mn$ in Kisumu
And inland port in Naivasha
A 700mn$ wind power project in Turkana
A 2bn$ coal power plant in lamu
A 32 berth port in lamu worth 5bn$ already under construction

Sasa 4.2bn$ irrigation scheme ndio itakuwa shida kumaliza nyamaza .....
 
1.Mko na za Umeme Tanzania ama mnasema mtakuwa nazo?
2. Mumeanza hata Kujenga reli ama mko na rendera tu na kilomita chache za investor confidence?
3. Kenya ina zalisha umeme 2800mw maradufu tanzania istoshe
Kenya inajenga 1077mw plant lamu ya coal, ambayo itakuwa ya pekee africa baada ya SA na Zimbabwe, pili Kenya inajenga 400mw plant Turkana ya upepo ambayo itakuwa kubwa kuliko yoyote africa Tatu Kenya inajenga The largest geothermal power plant duniani Naivasha nne Kenya inaanza Kujenga Kiwanda cha Nyuklia kuzalisha 4000mw by 2027!
4. Tayari Kenya imeanza kuweka umeme kwa line ya reli Mombasa Nairobi at a cost of 48bn kshs

Sasa kaa chini uwache pang'ang'a mingi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Duh....wewe ni kiboko.
 
Sawa i dont need to take shit from you

Tuna a 3.8bn$ Rail
A 1.5bn Mombasa port expansion tayari
An underground 1.5bn Nairobi Naivasha Rail already under construction
A 4.62bn$ Nairobi Mombasa american built expressway already under construction

Sasa 4.2bn$ irrigation scheme ndio itakuwa shida kumaliza nyamaza .....
Hivi huwa unavuta bhangi?[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom