Tanzania SGR inajengwa Usiku na Mchana.

mkuu mbona sijaona point unayoongea hapo inaonyesha jinsi ulivyo na uelewa mdogo yaani wewe mpaka uone zege ndio uamini kazi ipo?
 
Hivi iyo rail imepita vijiji gani na gani... nataka nitafute junctiion niinvest hata ardhi
Anza kutafuta junction za barabara kwanza uinvest ndio uje reli mkuu,za barabara zenyewe hamjaweza kuinvest ndio iwe reli?
 
Haya basi tumeziona picha za usiku mbona msiweke za mchana tuzichambue pia? Hizi picha za gizani zanikumbusha zile za Bagamoyo white elephant alizoweka Geza miaka mingi iliopita na kwa sasa hamna results.
SGR ya Tz uatjengwa usiku za usoni lakini sio sasa hivi na chuo ndio ukweli hata uwe mchungu.
 
Unajibu upuuzi wa mpuuzi Unapoteza muda
 
Halafu hiyo picha kaweka ni chini ya ardhi ndio maana kuna taa, hapo ni mchana kweupe. Wakati wao wanalala na kukoroma, wazee huku tunatinga kazi.

Ukitaka picha za usiku tunazo pia za shughuli iliyokamilika, sio yenu hiyo ya kuonyesha sura ya watu waliovalia helmets, hehehe nyie kicheko kweli, yaani hayo mapicha ndio mnakuja kututambia humu eti ndio SGR.

Hii habari inakutowa jasho, sioni ujenzi unaoedelea hapo. Mgejega usiku na mchana mgetumia 18mth badala ya 3yrs.
 
Hii habari inakutowa jasho, sioni ujenzi unaoedelea hapo. Mgejega usiku na mchana mgetumia 18mth badala ya 3yrs.

Initoe jasho kivipi wakati leo hii tunachana mbuga zetu kwa SGR, nyie hapo wakati mnawashangaa Waturki waliovalia helmets, sisi tunapata raha huku tukisafiri kwa muundo mbinu wa kisasa.
 
Initoe jasho kivipi wakati leo hii tunachana mbuga zetu kwa SGR, nyie hapo wakati mnawashangaa Waturki waliovalia helmets, sisi tunapata raha huku tukisafiri kwa muundo mbinu wa kisasa.
Muda sii mrefu utasikia phase 3. Tega sikio.
 
Kwani mmepew muda gani kumaliza hadi mkimbizane usiku kucha ? Wadanganye wazazi wako sio sisi.
 
Wee bonge la pimbi kweli kweli kumbe... Kenya ina husiana na nini humu kama sio ushabik wako maandazi ni kitu Gani humu ati?
Mwenzetu Uhuru kesha ya maliza hayo kitambo alafu unataka ku competition nawe... Plus na roho
Mbaya uliyo nayo juu ya Uhuru.. Bora upige kimya tu fanya yako Wachana na Uhuru hamuwez hata Kidogo... Is got Golden heart [emoji813] Uhuru.. Is another levels kabisa... Pambana na hali yako wee vp bana... Aibu tupu
 
Weee bana mbona unaleta swaga hapa, uantaka kuona zege kwani kila sehemu kuna daraja au kalavati au handaki. Hapa utaona zile zege ambazo ni pre cast zinatandikwa, zege utaona wakifika Ruvu au kuvuka mito mingine. Siyo kila sehemu ni zege. Terrain ya kwetu haihitaji madaraja mengi.
 
Hii habari inakutowa jasho, sioni ujenzi unaoedelea hapo. Mgejega usiku na mchana mgetumia 18mth badala ya 3yrs.
ya kwetu imebeba kadri watu laki tano na kupanda alafu unaleta uharo wa watu waliovaa vihelmets😀
 
Nimesema muache maneno mengi mlete taarifa za matendo, haya mapicha ya Waturuki na Waswahili waliovalia helmet ni ya kuuza sura za wanaume tu.
Sisi leo hii tunasafiri kwa SGR wakati nyie bado mnashangaa shangaa.

Ni kama ile flyover ya TAZARA ambayo huwa mnaturingishia humu, nilipita hapo juzi wakati naenda JNIA, bado mnajenga na kuchimba chimba wakati sisi flyovers bora kuliko hiyo tulishachoka nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…