RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
mkuu kwa basi ni Tsh ngapi na unatumia muda ganiDSM to Moro kwa treni masaa mawili nauli 4000....Goodbye Abood,Hood,Al-saedy,New force!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kwa basi ni Tsh ngapi na unatumia muda ganiDSM to Moro kwa treni masaa mawili nauli 4000....Goodbye Abood,Hood,Al-saedy,New force!
Na hii ya mabwana zako ambayo hata miezi mitano haina?Ya kati, pale morogoro (mikese) ruvu na dodoma.
mkuu mbona sijaona point unayoongea hapo inaonyesha jinsi ulivyo na uelewa mdogo yaani wewe mpaka uone zege ndio uamini kazi ipo?Sasa hapo mbona hatuoni zege ikikorogwa, ni mapicha mapicha tu ya jamaa wamevaa mavazi ya kazi usiku ambao hatujui saa ngapi, inawezekana mida ya saa moja usiku.
Tatizo Waswahili maneno mengiii kabla ya kuanza kazi yenyewe.
Sisi wakati tunajenga SGR tuliwajazia huku picha za wanaume wakiwa kazini, sio huu urembo mnatuonyesha hapa. Halafu mkumbuke mambo ya SGR kwetu sio habari tena kwetu, kwenu sawa maana ndio bado mnaanza kushangaa shangaa, naskia hata fly over bado mnashangaa wakati sisi tulishachoka nazo.
![]()
Anza kutafuta junction za barabara kwanza uinvest ndio uje reli mkuu,za barabara zenyewe hamjaweza kuinvest ndio iwe reli?Hivi iyo rail imepita vijiji gani na gani... nataka nitafute junctiion niinvest hata ardhi
Unajibu upuuzi wa mpuuzi Unapoteza mudaMbona unapitiliza kuweka maelezo bila kusoma yaliyomo, zege itawekwa kwa wakati wake, kinachofanyika sasa ni kusawazisha maeneo yote. Cha msingi ni kazi itafanyika USIKU NA MCHANA kama mkataba ulivyosema na muda utafupishwa. Yani ni usiku na mchana kwa hela nusu ya Kenya SGR, sijuwi kama umeliwaza hilo au lilikupita. [emoji23]
Halafu hiyo picha kaweka ni chini ya ardhi ndio maana kuna taa, hapo ni mchana kweupe. Wakati wao wanalala na kukoroma, wazee huku tunatinga kazi.
Hii habari inakutowa jasho, sioni ujenzi unaoedelea hapo. Mgejega usiku na mchana mgetumia 18mth badala ya 3yrs.Ukitaka picha za usiku tunazo pia za shughuli iliyokamilika, sio yenu hiyo ya kuonyesha sura ya watu waliovalia helmets, hehehe nyie kicheko kweli, yaani hayo mapicha ndio mnakuja kututambia humu eti ndio SGR.
![]()
![]()
![]()
![]()
Hii habari inakutowa jasho, sioni ujenzi unaoedelea hapo. Mgejega usiku na mchana mgetumia 18mth badala ya 3yrs.
Before mid next year itakuwa imetangazwa pamoja na phase IV. Zile vunjavunja za Mwanza na mikoa mingine hazikuwa bureMuda sii mrefu utasikia phase 3. Tega sikio.
Ya kisasa?usafiri wa diesel ni wakisasa?[emoji23] [emoji115]Initoe jasho kivipi wakati leo hii tunachana mbuga zetu kwa SGR, nyie hapo wakati mnawashangaa Waturki waliovalia helmets, sisi tunapata raha huku tukisafiri kwa muundo mbinu wa kisasa.
Hadi mlete picha za zege ikikorogwa, hayo mengine yatabaki kuwa stori, nakumbuka mlituzungusha sana na mapicha ya kihivi ya kuonyesha sura kipindi kile cha bandari ya Bagamoyo.
Halafu SGR yenu gharama yake sio nusu ya Kenya, haya tuliyajadili huku kwa kina na mahesabu yakadadavuliwa balaa, lakini kwa jinsi huwa mlivyo, mkikaririshwa huwa hamuachi.
ya kwetu imebeba kadri watu laki tano na kupanda alafu unaleta uharo wa watu waliovaa vihelmets😀Hii habari inakutowa jasho, sioni ujenzi unaoedelea hapo. Mgejega usiku na mchana mgetumia 18mth badala ya 3yrs.
Weee bana mbona unaleta swaga hapa, uantaka kuona zege kwani kila sehemu kuna daraja au kalavati au handaki. Hapa utaona zile zege ambazo ni pre cast zinatandikwa, zege utaona wakifika Ruvu au kuvuka mito mingine. Siyo kila sehemu ni zege. Terrain ya kwetu haihitaji madaraja mengi.