Tanzania should be kicked out of EAC

hii EA community naifananisha na marafiki 5 wameamua kwenda out, ila mwenye hela ni mmoja tu TZ, halafu hao wengine wanaleta ujuaji[emoji3][emoji3]
 
TANZANIA pekeyake inaweza kuwa EAC tena yenye nguvu . kwasababu Rwanda , Burundi Congo Sudan hawatokubali kujiunga upande wa Kenya endapo TANZANIA na Kenya kila mmoja ataunda EAC yake. Kutokana nchi hizi zinaitegemea zaidi TANZANIA kuliko nchi yeyote .na hapo ndio itakuwa mwanzo wa Kenya kugeuka Somalia maana watakuwa mafukara wakutupwa na kwenye umoja huo hawatofanya biasha bure tutawapiga Kodi ndefu mpaka bidhaa zao zicnunulike
 
Mweeeh ungejua hata founder wa hiyo EAC usinge kuja kubweka hapa....

Kenya wasomi wao ndo wako empty head hivi....Na huyu n PhD holder[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…