Tanzania should be kicked out of EAC

Tanzania should be kicked out of EAC

Hon.Kikwete Was Opposed by Members State due to his firm stance on disagreeing the Proposed Fast Track On Land Issue.

Tanzania being the largest country with vast virgin fertile land,has been the target by the member states.

There is no other reasons on this new attacks rather than its PROSPERITY shown through the courage and zeal of our beloved President Magufuli.

It's High Time now for all member states to see the truth that Tanzania Stood for so long now.

Viva Tanzania
Siempre Siempre Tanzania
Hasta la Victoria Tanzania
Aluta EAC.

Kijana Muuza Al Kasus
Tandale Kwa Mtogole.
 
Naomba niwashauri wakenya.

Kabla ya kufanya maamuzi muwe mnatupigia Tanzania tuwape ushauri.

Miaka yote mnakurupuka bila kufanya utafiti juu ya matokeo.

Imetosha vitu mlivyo viiba former east africa.
 
LangatKipro,

Could you please give at least 3 strong reasons as to why Tanzania should be kicked out of EAC rather than being general as if everyone here is politician who knows what is behind the scene.
 
Could you please give at least 3 strong reasons as to why Tanzania should be kicked out of EAC rather than being general as if everyone here is politician who knows what is behind the scene
Hawana Sababu.. Ni Kama mtoto wa jirani Mwenye kisirani mwenzake akipata. Hawanaga sababu hata wakijua amenunuliwa na Wazazi wake na hakuna wanaweza kufanya kuzuia.
 
Wakenya wampinga Rais wao kwa ubinafsi.

IMG-20200802-WA0025.jpeg
 
Hivi maoni yetu humu yananafasi ya kufanyiwa uamuzi?...😀😀
Anyways, ni mjadala ambao kama ungetumika vyema; Ungeleta upendo,kuaminiana, udugu na uelewa.
Lets do it for Africa!
 
Baba anaelisha familia hata akichepuka anapongezwa

Hamuwezi kujilisha nyie watu
 
LangatKipro,

No one will dare to propose the kickout of Tz in EAC except Kenya, you should bear it in mind that Tz is the most influential member of EAC. Do you remember Kenya's movement of the CoWi that you started? What did happen? Where is CoWi now? Kenya was left alone because Uganda and Rwanda realized that they were conned by Kenya, as a result Uganda and Rwanda, Burundi and DRC have come together opting Tz as the best ally for their economic development.

Vv
 
We have mutual understanding among the EAC nations such as Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania and we would have achieved a lot including even a political federation if it were not for Tanzania.

Don't you think its the time to kick Tanzania out of EAC just like USA and other countries did for Russia out of G8?
Corona virus ina mambo mengi nyuma ya pazia ambayo watu wengi wenye maono mafupi hawawezi kuyaona. Na hata wewe au mm Hakuna anaejua huu ugonjwa umetoka wapi either China au US. Lakin tukifuatilia kina wa kutengeneza virus kama HIV AIDS, Ebola mpaka CDC kuwa na patent rights yake, na virus nyingine, uwezekano wa 90% kwamba ilitoka US ni mkubwa ikilenga kuangamiza China, ukiongeza na trade war between US and China inaonyesha kuna mtu alikua analengwa. Kingine kuona IMF&World bank wanakazania nchi kuweka lockdown ndipo wapewe msada nayo pia inaleta wasiwasi kuhusu malengo ya huu ugonjwa hata kama viongozi wengine wakiaangalia zaidi faida binafsi bila kuangalia maslahi ya nchi zao na raia wao.

Chapisho lilosema kwamba Bill Gates aliwahi kuomba wamruhusu watu wapewe chanjo yake ambayo ina microchip ndani mpaka anataka kutoa rushwa, inaonyesha kwamba kwa mtu makini Lazima ujiulize kuna nn nyuma ya Corona. Ndugu zetu jirani zetu wa Kenya mnisamehe lakin hamjawahi kupata viongozi wazalendo wanaoweza kuwaza nje ya maslahi binafsi. Nina uhakika mikopo mnayopewa kwa sababu ya Corona a good percentage inaenda mifukoni mwa watu wale wale. Kuhusu kufukuza Tanzania kwenye EAC kwa sababu tumechelewesha mpaka Federation, hili swami nadhani hata mtoto mdogo anaweza kulijibu.

EAC ina nchi ambazo hazijamaliza matatizo yao ya ndani tukianzia Kenya yenyewe migogoro ya ardhi watu walioporwa enzi za ukoloni wa wazungu na waliokabidhiwa nchi baada ya wakoloni nao kuwa na tabia za kuwa mawakala wa wakoloni bado ni tatizo, tatizo la ukabila Kenya, Rwanda, Burundi, and Rwanda ni shida.

Viongozi wengi kwenye EAC hawako settled kiakili kiasi kwamba tunaweza kuwapokea kirahisi. So hayo matatizo yenu siku mkiyamaliza mtutafute tuwafikirie upya kwenye huo wimbo wenu wa federation. Najiuliza kwa nn mna haraka kutaka federation wakati hatu EU mpaka sasa wameshindwa, pamoja na kubwa na muungano kwa zaidi ya miaka 60.
 
Siungi mkono hoja ya kuitupa Tanzania nje ya EAC, watateseka sana hawa bila ya sisi. Wakifungiwa mipaka na majirani wengine huchukulia poa ila ikifungwa na Kenya wanalipuka sana na kulialia.

Tuwavumilie tu kama unavyomvumilia kaka mkubwa aliyeganda kijijini amekwama hafanyi maendeleo yoyote huku wadogo zake wote kila mmoja kajenga na kuoa na kununua usafiri na kuelimika pia.

Labda sasa hivi naona upinzani wa kwao wamechagua Tundu Lissu Watanzania wanaweza kuwa na kamuamko fulani, ila sidhani kama upinzani Tanzania wana fursa yoyote, wamebanwa
 
Siungi mkono hoja ya kuitupa Tanzania nje ya EAC, watateseka sana hawa bila ya sisi. Wakifungiwa mipaka na majirani wengine huchukulia poa ila ikifungwa na Kenya wanalipuka sana na kulialia.

Tuwavumilie tu kama unavyomvumilia kaka mkubwa aliyeganda kijijini amekwama hafanyi maendeleo yoyote huku wadogo zake wote kila mmoja kajenga na kuoa na kununua usafiri na kuelimika pia.

Labda sasa hivi naona upinzani wa kwao wamechagua Tundu Lissu Watanzania wanaweza kuwa na kamuamko fulani, ila sidhani kama upinzani Tanzania wana fursa yoyote, wamebanwa.

Sasa ni muda wa kuwa wakubwa. Hizi mambo hata hazitupi stahili yetu. Kama Taifa Kubwa na Teule, Lenye Baraka Tele ufike Muda tuache Mungu Wa Tanzania Ajidhihirishe Mwenyewe. Naona tunatumia nguvu kubwa Sana kumuelewesha jirani ugumu wa kuzuia mafuriko kwa mikono.

Sikio la kufa, halisikii dawa.@The best 007 NDINDA tuendelee kufurahia nchi ya mema.
 
With respect to your opinions, Undoubtedly Tanzania is the only country that hold EAC community together if at all Tanzania decides to leave or for that matter kicked out of EAC this zonal integration wouldn’t last for a month and we all know why!
 
Siungi mkono hoja ya kuitupa Tanzania nje ya EAC, watateseka sana hawa bila ya sisi. Wakifungiwa mipaka na majirani wengine huchukulia poa ila ikifungwa na Kenya wanalipuka sana na kulialia.

Tuwavumilie tu kama unavyomvumilia kaka mkubwa aliyeganda kijijini amekwama hafanyi maendeleo yoyote huku wadogo zake wote kila mmoja kajenga na kuoa na kununua usafiri na kuelimika pia.

Labda sasa hivi naona upinzani wa kwao wamechagua Tundu Lissu Watanzania wanaweza kuwa na kamuamko fulani, ila sidhani kama upinzani Tanzania wana fursa yoyote, wamebanwa mpaka kwenye mapumbu.

Tatizo nyinyi MNA ajenda za siri za kuichafua tz kuwa tuna magonjwa mmesahau ule ugonjwa mlio zusha zamani? Lengo lenu ni kuonyesha korona inazidi tz tofauti na hizo nchi nyingine uneona yule aliyekuwa barozi kivuli wa USA tulivyo pambana naye baada ya kuleta upumbaavuu kama mnaoleta nyinyi Wakenya.
 
Siungi mkono hoja ya kuitupa Tanzania nje ya EAC, watateseka sana hawa bila ya sisi. Wakifungiwa mipaka na majirani wengine huchukulia poa ila ikifungwa na Kenya wanalipuka sana na kulialia.

Tuwavumilie tu kama unavyomvumilia kaka mkubwa aliyeganda kijijini amekwama hafanyi maendeleo yoyote huku wadogo zake wote kila mmoja kajenga na kuoa na kununua usafiri na kuelimika pia.

Labda sasa hivi naona upinzani wa kwao wamechagua Tundu Lissu Watanzania wanaweza kuwa na kamuamko fulani, ila sidhani kama upinzani Tanzania wana fursa yoyote, wamebanwa mpaka kwenye mapumbu.
Hakuna mwenye ubavu wa kufanya hivyo hata wewe unalijua hilo
 
Eneo la Tanzania =Kenya+ Uganda+ Rwanda+ Burundi na chenji inabaki. 3/4 ya eneo Hili linafaa kwa kilimo na limeja mito,maziwa,madini Ya kila aina na ya kipekee. Tanzania ndio East Africa na zaidi kwenye kila eneo. East Africa inaihitaji Tanzania kuliko Tanzania Unavyonihitaji East Africa.
 
Back
Top Bottom