Tanzania should be kicked out of EAC

Tanzania should be kicked out of EAC

The late Balozi mahiga ndo alikuwa na presidential materials ni basi Tu CCM hawajuwagi mambo. We need a president with deplomatic understanding yasingekuwepo haya tunayoyaona hivi sasa
 
LangatKipro,

Thats should be after Lunatic Kenya by signing agreement to flood US commodities regardless our wish to develop our own industries. Hivi hamjui nyie ndo mnavuruga region?
 
we DO NO GIVE a Crap if you live there or not.....Eti watoto wanasoma huko..Mungu Wangu! Why don't you just be Kenyan!?

True that!

We don't give a rat's ass about Kenyan schools, or anything Kenyan!

We will revive our own darn schools.

When I was growing up in Tanzania we went to Tanzanian schools, and never ever did we drool about going to schools in ethnically divided, chang'aa drenched, Kenya.

BLOW UP THE EAST AFRICAN COMMUNITY!
 
Kenya [emoji1139] wanatishia kujamba wakati wana harisha. Ningekuwa waziri wa mambo ya nje leo, ningewambia ili tuwafungulie anga wawaruhusu watanzania waingie Kenya [emoji1139] wasibungudhiwe kupima kwasababu watasababishiwa stress kwa kuwa huku tumefanya enough counseling. Shenzi type https://t.co/Zr1v69dqgz
 
Tanzania should be the big boy in this neighborhood. Geography and population size make Tanzania the natural leader in the region. That is why East Africa region will never be economically prosperous until Tanzania assumes it's rightful place and leads.

Tanzania is what India is to it's immediate neighbors.

However the failure of proper progressive economic financial and diplomatic policies in Tanzania means that they will always be "what could be" story which makes it a total embarrassment of epic proportions.

This region is crying out for Tanzania to claim it's rightful place but all we get from them is excuses and mediocrity.

One of the things that easily stands out is the fact that Tanzania(even on this forum) celebrates one man (big man syndrome) instead of systematic institutionalized policies. The fact that Tanzania currency is garbage and it's GDP is laughable at best should be subject to intense daily scrutiny until CCM gets the message. This magufuli one man show in the long run is a bag of nothingness unless there are structural changes

The small time and risk averse thinking from GoT is frustrating to say the least.

Kenya will keep exploiting this leadership vacuum to its own selfish advantage....the region be damned.

Long story short, the EAC is a facade that's doomed to fail......again unless Tanzania on merit claims it's rightful place in the region
 
Bidhaa za viwandani tumejaza sana kwenye supermarket zetu japo bhakresa,Mo na wenzie wanajitahidi mno kufuta utawala wa kenya anga hizo
Zinaendelea kupungua as days goes on, fanya utafiti mdogo kwenye shelves.
Tumebakiza bluebands, toothpastes, hizi sijaona kabisa za made in Tanzania, may be work in progress..
 
Ukweli (japo sipendezwi na huu ugomvi wa majirani) JPM amefanikiwa kutegua mtego mbaya sana aliowekewa na UK. UK alitawangazia wananchi wake kuwa wasijilinganishe na Tanzania inayoficha takwimu kesho yake akatuma wajumbe wake kuja kwenye msiba wa BWM. Hii maana yake baada ya kurudi Kenya wangepimwa na kugundulika wana maambukizi (mtego wa kutaka kuonesha alichokisema kilikuwa na maana) lakini JPM akaugutukia mchezo huo.

Baada ya kuona hila yao imeshtukiwa kaamua (kwa hasira) kuiondoa Tanzania kwenye nchi ambazo raia wake wanatakiwa kuingia Kenya, lakini cha ajabu eti ndege zake (KQ) zingeingia Tanzania! Nadhani JPM kamkumbusha tu kuwa hata KQ zisije.

All in all, sisi ni majirani, tungeweza kutafuta njia nzuri zaidi kutatua mgogoro huu badala ya kutunishia msuli.
Jirani aina ya Kenya kwa sasa anahitaji kujibiwa kwa vitendo tu, amekuwa mjeuri miaka mingi Sana, ukubali akuibie wazi na ukikataa anakutengenezea zengwe, JPM anaenda nae sambamba.

Ugomvi aanze yeye akijibiwa inakuwa nongwa.
 
Mkuu wewe huna cha kupoteza/kufaidika, wengine tunakaa kwenye nchi zote tatu yaani Kenya, Tanzania na Uganda, tuna watoto wanasoma huko please kuwa makini.
Kwahiyo ukikaa huko ndio unaona usahihi wa wanachokifanya wakenya kwa Tanzania?
Jitambue
 
Hujui tunafaidika nin na EAC? Bila Kenya mazao yetu hayana soko at all mfano mahind, viaz n.k wateja wetu wakuu ni nchi za jirani.
Vinginevyo tunataka tuwatese wakulima. Issue ni kutafuta suluhu maana we are mutual beneficial.
Kwahiyo yanauzwa Kenya tu na hakuna popote yanauzika au ndio ufinyu wa kufikiri na kutafuta masoko mengine? Tunategemeana na tuheshimiane sio kulambana.
 
Hujitambui au pinga pinga imekukaa mno,kabudi ndio alietangaza watanzania wasiingie Kenya?
Kwa hili wanazi wa chadema tulieni tu,jielekezeni kwenye uchaguzi mnatia sana aibu
Hajielewi huyo dogo mpotezee tu.
 
Hooo, sijui hatuihitaji kenya..sasa rais wetu kuwakataza kuingia kenya inawauma nn..
Tena kinachoshangazq mnapenda kujishuku km wake wajawazito.
Hamjatajwa km nynyi ndio mnaficha data lkn lile povu mlitema haswa[emoji23]
Mnatafuta nini Tanzania Kama mnajitosheleza?
Pumbavu ninyi yaani muingie Tanzania kisha mnajifaragua Tanzania isiingie kwenu eti Corona, kwahiyo mkija huku hampati hiyo corona mpaka mletewe na watanzania?

Pateni mnachostahili nyang'au nyie
 
Sio kila kitu ni kupinga..
Kisa tu unajiita mpinzani..
Ulitaka Tanzania tuwapigie magoti kenya?
KWA LIPI?
Kama Taifa tunapaswa kujitafakari mtu kama Kabudi sio mwanadiplomasia bali ni mchekeshaji wa mfalme ndiyo maana nchi yetu inaonekaka kituko mbele ya jamii za kimataifa.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Pua zimekutanuka kwa jazba hadi unakosa point.

Tunahitaji waziri anayejua diplomasia sio huyu mchekeshaji wa mfalme anayetoa macho tu kwenye migogoro ya kimataifa.
Inamaana hamjui kwanini ndege zetu zimekatazwa kutua Kenya?
Kuwa wewe huyo waziri uwasaidie ndugu zako Wakenya. Endelea na hamu zako za kuhitaji hivyo hivyo
 
Tanzania hatujawahi kuwa wanyonge kiasi hiki.
Mtu anapoamua kuzuia usiende kwake kwa makusudi ni wazi anatafuta UHASAMA.
hata ukisema utake kujadiliana utajadiliana nae nini?.
Jana walikufa 341 sasa hivi wamekufa 364..
Ongezeko la maiti 23.
Alafu unakuja kuzuia watanzania wasije nchini mwako watakuletea corona.
UNA AKILI WEWE?
Inashangaza sana, "great thinkers" badala ya kuangalia namna nzuri ya kuzisaidia nchi hizi masikini (japo tunajigamba kuwa tupo uchumi wa kati) tupo hapa kupigana vijembe na kufuata mkumbo wa wanasiasa waliofilisika kisiasa. Ukweli utabaki pale pale, Kenya na Tanzania zinategemeana sana na hakuna East Africa pasipo Tanzania au Kenya, vinginevyo ni kujidanganya...
Screenshot_20200802-061523.jpg


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo yanauzwa Kenya tu na hakuna popote yanauzika au ndio ufinyu wa kufikiri na kutafuta masoko mengine? Tunategemeana na tuheshimiane sio kulambana
Ndicho nilicho kisema ttafute suluhu ili tendelee kuheshimiana na kutegemeana, au wewe ukigombana kidogo tu na mume wako unafungasha unaondoka!?
 
Back
Top Bottom