THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Kenya wametutafuna sana!!!kwa upumbavu wetu wa kuback off kisa maswala ya kidiplomasia za kinafiki,Mfano mzuri tu ni kwenye madini,mazao ya kilimo,mifugo na kadhalika!!!!!Mwisho wa siku mpaka viongozi wakubwa wa nchi wanajiuliza nini kimetokea!!!!Wacha tupimane nao urefu....wakisimama na sisi tunasimama,wakisimamia vidole na sisi tunasimamia vidole........!!!!!!!!.Ndo namna ya kwenda nao hawa jirani zetu.Mbona Uganda shwari na si wao.Kuna kitu.