Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,508
Usikute ni photoshop hiyo wakati kiuhalisia wanapiga makasia kwenye mitumbwi.Mie naona wamekaa kama midoli vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute ni photoshop hiyo wakati kiuhalisia wanapiga makasia kwenye mitumbwi.Mie naona wamekaa kama midoli vile
Kabisa mkuu maana wenzetu kwa sifa uchwara wanajitahidiUsikute ni photoshop hiyo wakati kiuhalisia wanapiga makasia kwenye mitumbwi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao mambo ya USA, Huku bongo mjeshi wa majini hata kuogelea hajui. ...[emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]saadeque, hahah i love where u r heading! As a matter of fact SA n the AU disapproved us sending troops! And Comoro army tried n failed to oust the rebel leader. JK was awarded the highest order by Sambi n our soldiers were given wives!
naeza kuenyesha mapicha na ma video ya ma zoezi makuu yaliyofanywa mwezi uliopita ya kuokoa wanajeshi, wiki iliopita ya kuokoa wananchi kwenye vijiji, ndani ya majumba ya kisasa, ndani ya ndege, pia naeza kuonyesha mazoezi yanayo fanyika hii wiki ambayo ni kutafuta na kutegua mabomu........kenya....
hv mmakumbuka kufanya zoez la kijeshi km hilo kwel...
te te te...
Hata Tanzania hufanya mazoezi hayo ya kujihami ya ndani sio kila kitu iwe publicnaeza kuenyesha mapicha na ma video ya ma zoezi makuu yaliyofanywa mwezi uliopita ya kuokoa wanajeshi, wiki iliopita ya kuokoa wananchi kwenye vijiji, ndani ya majumba ya kisasa, ndani ya ndege, pia naeza kuonyesha mazoezi yanayo fanyika hii wiki ambayo ni kutafuta na kutegua mabomu........
hayo yote ukiangalia yanaendana na nyakati,,,,,,, huu ni wakati nchi zinapugana na magaidi, na hayo mazoezi yanatayarisha wanajeshi kwa mambo ambayo yanaeza fanyika.... ukilinganisha na nyinyi, lile zoezi mlilolifanya ni full amphibious assault mkitumia vifaru,ndege za kivita na kila nguvu, hilo zoezi kama hilo mkitumia wanageshi wa kawaida hua ni zoezi la kuingilia nchi nyengine kama mko vitani yani conventional warfare, sasa sijui kama ni relevant wakati huu wa historia zetu, unless uniambia mnataka kuingilia malawi kupitia ziwa, kama si hivyo basi hilo zoezi lenu kuu halina wakati kuwatayarisha kwa vita vinavyokumba dunia nyakati hizi, acha nchi kama north na south korea, au china na japan zifanye mazoezi kama hayo kwasasa maanake hao ndo wako on the edge wakitaka kupigananchi kwa nchi
Hahaha. Geza Ulole subiri waje jirani watakuwekea za America waseme zao zipo Kisu....u
Huna akili ww, malawi ni nchi masikini huwezi linganish n Tanzania Top 10 Poorest Countries in Africa 2016 - By GDP per capitaPeleka Malawi hao tuone kama kweli wanayaweza.
Kwani Kenya ipo ya ngapi na inakula kichapo Somali. Au Ethiopia wangapi katika hio list na wanakula kichapo. Au hujaona kichapo waliopewa Marekani na Vietnam? [emoji15] Sasa wewe mwenye akili peleka hao Sangara Malawi tuone watakavyo kaangwa kuliko kule Uganda. [emoji38] [emoji38] [emoji38]Huna akili ww, malawi ni nchi masikini huwezi linganish n Tanzania Top 10 Poorest Countries in Africa 2016 - By GDP per capita
Iv Ndo nyie mlioikimbia kambi, wengine wakapotea hadi leo?Just compare the standard rifles in kenya and tanzanian armies
Kenya doesnt use ak 47s anymoreView attachment 412754View attachment 412755View attachment 412756
Anapenya sababu twaishi naye, huwezi jua Msomali wa Somalia na Wakenya, ndo hivyo sasa wao huchukua nafasi hiyo kupita, si kwamba Askari wameshindwa.Jamani na nondo zote hizi, alafu Al Shabaab anapenya?
saadeque, hahah i love where u r heading! As a matter of fact SA n the AU disapproved us sending troops! And Comoro army tried n failed to oust the rebel leader. JK was awarded the highest order by Sambi n our soldiers were given wives!
Sasa Uganda alitupiga km walivyokufnya Wasomali na wnaozidi kukufanya?Kwani Kenya ipo ya ngapi na inakula kichapo Somali. Au Ethiopia wangapi katika hio list na wanakula kichapo. Au hujaona kichapo waliopewa Marekani na Vietnam? [emoji15] Sasa wewe mwenye akili peleka hao Sangara Malawi tuone watakavyo kaangwa kuliko kule Uganda. [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jifunze kuandika kwanza kabla kuweka comments. Tanzania isingeshinda vita na Uganda bila ya msaada wa Uingereza na Israel. Hata kampeni iliofanywa kuanzisha vita na kumchafua Idd Amin imefanywa na M15 na Mossad.Sasa Uganda alitupiga km walivyokufnya Wasomali na wnaozidi kukufanya?
[HASHTAG]#CmbMimi[/HASHTAG]