Tanzania shows off amphibious warfare capability

Jifunze kuandika kwanza kabla kuweka comments. Tanzania isingeshinda vita na Uganda bila ya msaada wa Uingereza na Israel. Hata kampeni iliofanywa kuanzisha vita na kumchafua Idd Amin imefanywa na M15 na Mossad.
Hyo mm hainihusu!! Kitu tunataka ni ushindi, maneno ya mfa maji peleka kwnye philosophy class
 
Jifunze kuandika kwanza kabla kuweka comments. Tanzania isingeshinda vita na Uganda bila ya msaada wa Uingereza na Israel. Hata kampeni iliofanywa kuanzisha vita na kumchafua Idd Amin imefanywa na M15 na Mossad.
Na wewe ujifunze historia ya nchi kwanza kabla ya kuropoka.
 
Wewe mbona hujaeleza hio historia au ndio kuitwa kichaa unadhani sifaa??[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwetu kichaa ni mwenye akili "welcome to bongo", mmezowea kutafuniwa, soma historian ya Tanzania ujuwe uhusiano wake na Israel. Sisi sio wakenya wa kuback stub Uganda with Israel Entebbe airport rescue.
 
Nimekwambia nenda kasome historia ya sababu ya vita vya Tanzania na Uganda mkuu. Ukishasoma utapata jibu sio unakula maneno ya Nyerere.
 
Tofauti yetu mimi nimeishi kwenye vita hiyo. Labda mwenzangu umelishawa maneno unayoyajuwa wewe.
 
Mimi nimeisoma historia ndio maana najua nini ninacho ongea mkuu. Unaweza kuishi Kenya lakini ukawa huijui history ya maumau ingawa wewe ukawa mmoja wa hao maumau.
 
Kama wewe umesoma historia na ni msomi, mbona unavuja sheria ya referencing. Ni vitabu gani au website gani inayoeleza yote hayo?
 
Trump anaingia kuwanyoosha watz...hahah hata vita vyenu hamjui??!!
 
Hayo maneno yote yanaungana, tafuta kiunganishi. Trump, Kenya, corruption, Kenyatta, good at making babies, cheats, Beijing Olympics, conmen, prize money, fraud, Obama.
 
Hahaa watz hata hapa usa wapuuz tu, lugha hawaijui, kazi kusema ze ze ze tu, wamejazana huku kubeba boxi baada ya kuzamia kinyemela! Mtajamba sana..
 
Ongea na watu walikuwa huko huko USA hayanihusu. Umeweza kupata kiunganishi cha hayo maneno?
 
Hahaa kumbe bado upo kwenye hilo banda la kuku liitwalo tz, pole bro na kwaheri, kaka zenu huku uharo unagonga chupi![emoji2]
 
So muda wote huu umekaa hapa unataka kutukana watanzania. What a sad individual.
 
Back
Top Bottom