BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ukikaa na Watanzania utagundua ni watu waoga sana, ni watu wanao taka wasemewe yaani watetewe wakiwa wamekaa raha mustarehe.
Watanzania wanataka wapiganiwe sio watoke front line hapana wapiganiwe wao waki wamelala au wako kwenye keybord.
Ni Tanzania ndio wageni wanakuja kutunyanyasa ndani ya aridhi yetu, yaani watu wa metoka huko anakuja kutunyanyasa na kutubagua kwenye aridhi yetu na tuko kimya au tunataka mtu back atusemee.
Mara ngapi unasikia wachina watandika viboko wafanya kazi wao? Mara ngapi wale watu wa Asia wanatunyanyasa kazini na hatuna cha kufanya zaidi ya kulalamikia chooni au kutaka mtu back ndio awasemee wao wakiwa wamekaa.
Wafanya kazi angalia Walimu choka mbaya ila usha sikia wanalalamika wazi wazi zaidi ya kutaka wasemewe wao wakiwa wamelala tuli? Vyama vya wafanya kazi si ni makanya boya je hao wana chama walisha react kukataa hivyo vyama vyao vya kanya boya?
Sasa kama kudai haki zetu kwenye hata Private Organization tunako fanya kazi, tunaogopa je tunaweza kuja kupigania Taifa?
Sehemu ya kunoa spirt za kupigania nchi ni kwenye taasisi za huku chini ambako nako hatuwezi kitu sasa vipi huko juu ambako watawalwa wana kila kitu?
Angalia Wakenya walivyo active kwenye vyama vyao vya wafanya kazi.