Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands

2022

- In northern Tanzania, more than 70,000 Indigenous Maasai residents are once again facing eviction from ancestral lands as the government reveals plans to lease the land to a UAE-based company to create a wildlife corridor for trophy hunting and elite tourism.
[emoji3064][emoji15][emoji17][emoji848][emoji2827]
 
This reminds me of Stan Katabalo and Mfanyakazi newspaper, beating the heading," Loliondo gate".
 
Aisee kumbe hawa watu wamekosa ubinadamu kiasi hiki?
Hapana kwa kweli kila mtu aishi kwenye ardhi aliyorithishwa na Babu zake.

JPM alisema baadhi ya uozo wa nchi uliokuwa unafanyika kuna vitu vingine alisema ni vigumu kuvisema akapiga nukta….sasa jiwe km yule aone ugumu kusema hilo jambo litakuwa sio la kitoto linaumiza sana…

Sasa hao wamasai wasimame imara km simba….
 
Hao waarabu wa OBC wanaibuka na harakati zao kutegemeana na rais aliyepo madarakani.
Walianza harakati zao hizo haramu wakati wa mwinyi. watu walipaza sauti wao wakashindwa.
awamu ya Mkapa walikaa kimyaaa
awamu ya Kikwete wakarudi tena na harakati zao hizo.
awamu ya Magufuri hawakujaribu kabisa.
awamu hii sasa, harakati zimeanza na eneo watapewa.
 
ina maana kuna udini ndani yake! Sitaki kuamini hivyo maana itakuwa hatari
 
JMK ni janga la kitaifa. Inakuwaje kila wakati analeta sokomoko. Wamasai watamshughulikia.
 
Hadithi ndefu lakini haioneshi ushahidi wa madai kuwa serikali inataka kuwaondoa Wamasai ili iliuze eneo kwa kampuni Ortello (OBC)...Nilichokisoma ni dhahania tu na upigaji ramli chonganishi!

Serikali ina wajibu wa kulinda watu wake na raslimali zake katika uwiano muafaka wa win-win situation!

Madai kuwa vigogo na raia wa nchi jirani kulitumia eneo hilo kuwa machungio ya mifugo yao kwa manufaa yao binafsi naona yanapata mashiko, kufuatia mrejesho wa tuhuma kama zilivyotolewa katika makala hayo.

Ni wakati muafaka sasa kwa serikali kufanya real-time auditing katika eneo hilo kujua idadi ya wananchi, umiliki wa mifugo yao, na athari za uhifadhi wanyamapori, ili kujiweka katika nafasi nzuri kuufahamu Ukweli, utakaoisaidia kutafuta utatuzi thabiti wa suala hili.
 
Nakubaliana na wewe Mkuu,
Nasi watanzania pia tusimamena wamasai.
Leo kwao kwesho ni kwa nani?
 
Kwa hii logic yako ipo siku wakulima nao watanyang'anywa mashamba yao kwa kigezo cha wanalimishwa na vigogo pamoja na raia wa nchi jirani.
 
Reactions: Ame
Haya majitu yameanza kula miaka na miaka na hayajawahi kuridhika. Hakika mwizi ni mwizi 2!
 
ina maana kuna udini ndani yake! Sitaki kuamini hivyo maana itakuwa hatari
Udini au ujinga? Yani maslahi ya nchi yanaingia udini? Umpatie mtu ardhi Tz sababu ni dini yako hata kama ni raia wa Dubai? Strange!! National interests hazina udini, kama wanaona Wana relate na hao raia wa Dubai basi kuna tatizo kubwa sana vichwani!!
 
Mizani ya kisiasa inaathiri mgogoro huu moja kwa moja. Green Yes,brown No
 
Wamasai wanaomba msaada UK, USA and EU eneo lao lisichukuliwe na kupewa UAE kutumika kwa matumizi ya kuwinda bila kubughuziwa (Ujangili uliorasimishwa).

Jibu la Waziri ni kwamb Ardhi yote Tanzania ni mali ya serikali. Kwahiyo Wamasai hawana haki yoyote ya ardhi.

Tanzania’s Maasai appeal to west to stop eviction for conservation plans​

Thousands of Indigenous people sign letter to UK, US and EU protesting at appropriation of land for tourist safaris and commercial hunting.
"You can keep providing funding to those responsible for appropriating our land in the name of profit or you can make it clear to our government that you will not stand by as our right to live peacefully on and conserving our land is denied to make space for elite tourism and ‘trophy’ hunting.”

We have nowhere else to go,” they wrote. “Losing this land will mean the extinction of our community. Over 70% of our homelands has been taken for conservation and investment reasons.”

Farther north in Loliondo, near the Kenyan border, 70,000 Maasai face eviction to make way for the expanding operations of Otterlo Business Corporation (OBC), a United Arab Emirates-owned hunting company.

Unesco spokesperson said: “Unesco World Heritage Centre has never at any time asked for the displacement of the Maasai people. If nature conservation is an urgent need, Indigenous peoples are also part of the answer: they are key actors and rights-holders in achieving this. Unesco World Heritage Centre and the 1972 convention thus recognise the importance of Indigenous peoples and our practice is to involve everyone in finding a solution where nature wins and people win.”

 
Kama kweli serikali inataka kuhifadhi ngorongoro, asipewe mgeni. Askari walinde na wamasai waondoke hifadhini. Habari yakuuza Nchi vipande vipande haifai. Kama manunuzi wakanunue zenji.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kama kweli serikali inataka kuhifadhi ngorongoro, asipewe mgeni. Askari walinde na wamasai waondoke hifadhini. Habari yakuuza Nchi vipande vipande haifai. Kama manunuzi wakanunue zenji.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ni kwanini katika awamu za waislamu tu ndio nchi inauzwa why? MWINYI, KIKWETE, SULUHU, Kwanini? Na wanunuzi ni wale wale waarabu, why?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…