Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands

Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands

Warabu ni makatili hakuna mfano!
Wamasai kila mara wanawaua wakulima,juzi tu ,Wilaya ya Kilindi,wameua wakulima sita,sio ukatili huo.

Watu watano akiwemo mtoto wameuwawa baada ya kufuatia mapigano baina ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Elarai wlayani Kilindi mkoani Tanga.

Mkulima Richard Masaki,amesema waliona vijana jamii ya kimasai wakiingia katika eneo lao na kuanza kuwashambulia,kwa kuwapiga na baadaye yakaanza mapigano ya mapanga na risasi hadi kutokea vifo hivyo.

Aidha mfugaji David Kimaki amesema amempteza mjukuu wake Betina ambaye ameuwawa kwa kukatwa na panga katika shambulio hilo.
 
Kuna wakati nashindwa kuelewa hili jambo, mwanzo kama sijasahau nakumbuka liliibuka mara ya kwanza wakati wa utawala wa Kikwete lakini baada ya Kikwete kuondoka madarakani haya mambo yakaisha.

Magufuli alipokuja na sera zake za uzalendo haya mambo ndio hayakusikika kabisa, ikawa kimya.

Leo amekuja huyu mama mwenye vinasaba na awamu ya Kikwete naona tena hii habari ya kuhamisha watu imerudi, kwanini nisiamini hawa masai wanataka kuhamishwa kwa maslahi ya wachache kwa ajili ya tamaa zao za miaka yote?

Hata kama sababu zinazotumiwa na serikali kuwahamisha wamasai ni sahihi kwamba wamasai wanatakiwa kuhama kwa kuwa population yao na mifugo yao imeongezeka, wanaharibu njia za wanyamapori, na mengineyo, lakini serikali itajitofautisha vipi na haya madai ya kutaka kuwapa waarabu ili wafanye biashara nao?

Naandika haya kwasababu inaonekana hii serikali ya Samia imerithi kila kitu kwa Kikwete mpaka tabia za upigaji kwa urefu wa kamba zao, kama wamasai wataondolewa pawepo na makubaliano kwamba hayo maeneo yao watakapoondoka hapatajengwa chochote.

Lakini kinyume na hapo hao wamasai watakuwa wanaonewa, nani asiyekumbuka mwishoni mwa utawala wa Kikwete alivyoitoa hii nchi kama sadaka mpaka waarabu wakatembea na silaha za moto na kuwatisha watu hovyo barabarani kama wao ndio wenye nchi?

Kwa hili tuseme hapana, tusikubali kurudishwa kule tulipotoka hata kama Samia hajui chochote kuhusu kuongoza nchi, lakini asichukue ujinga wa enzi za Kikwete na kuurudisha sasa, huku ni kuturudisha utumwani ndani ya nchi yetu.

acha uongo mwarabu gani alikuwa anatembea na silaha za moto kutisha watu ni nani hao wataje?
 
Tumia akili,hakuna hospital yoyote duniani,inayofanya upasuaji,bila saini ya anayefanyiwa upasuaji.Dunia nzima yapo mashirika ya kimataifa,na NGO za haki za binadamu,angemtaja jina huyo tajiri yake,na kampuni iliyompeleka,hili lingefuatiliwa kimataifa na mashirika ya haki za kibinadamu.Huyo dada aseme ukweli,kama figo yake,aliuza kwa hiyari yake.
Mahakama ya Saudi Arabia imemkuta na hatia huyo Bosi Na kampuni iliyompeleka kufanya kazi Na wote wameamriwa kumlipa fidia muhusika
 
Ukiongelea hili unaonekana bogus na mpinga maendeleo! Watu wanatafuta 10% yani kuna ulafi wa mali uliokithiri! Hivi hayo mabillion watu wanayoiba wataenda nayo wapi kama si kufa na kuyaacha?

Huu ulafi utakuja sababisha hili taifa limwagane damu siku moja!

Hawa Waarabu wa UAE ndio wanahujumu utalii wa nchi kwakuruhusiwa na hawa mafisadi wa nchi kumiliki vitalu; halafu wanachukua wanyama na kuanzisha 'NGORONGORO" zao huko Uarabuni ; hivyo hao watalii wataishia huko UAE na hawatakuja tena huku kuangalia wanyama.!!
 
Ufugaji bora ni ule unaozingatia kutunza mazingira!! Kuwa na makundi sio makubwa ya mifugo na na kutokuzurula hovyo na hiyo mifugo !!
Hiyo jamii na hizo zingine zipi zimetunza mazingira yao? Kafanye inventory uone uoto wa asili upo maeneo ya jamii gani kama siyo hiyo yao...Msikaririshwe tu!
 
Wamasai kila mara wanawaua wakulima,juzi tu ,Wilaya ya Kilindi,wameua wakulima sita,sio ukatili huo.
Watu watano akiwemo mtoto wameuwawa baada ya kufuatia mapigano baina ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Elarai wlayani Kilindi mkoani Tanga.
Mkulima Richard Masaki,amesema waliona vijana jamii ya kimasai wakiingia katika eneo lao na kuanza kuwashambulia,kwa kuwapiga na baadaye yakaanza mapigano ya mapanga na risasi hadi kutokea vifo hivyo.
Aidha mfugaji David Kimaki amesema amempteza mjukuu wake Betina ambaye ameuwawa kwa kukatwa na panga katika shambulio hilo.
Hapa tunaongelea kabila au jamii inayoishi Ngorongoro? Mbona unabadili topic?
 
Ngorongoro wapo wamasai,wameru na Wasomali kuwatambua inatakiwa uwe unawajua wamasai kweli..hawa Wasomali ndio wanaharibu sana huko na pia kumepandwa gomba lile jekundu ambalo linauzwa Kenya...hilo Gomba jekundu ni hatari mbogo akilitafuna hilo hawezi hata kutembea utaona tuu likitoa hewa kama ana hasira ila hawezi kufanya chpchote...Mmasai mwenyewe awali mboga mboga,awali nyama pori mpaka matunda huwa awali huko Ngorongoro kumepandwa mchicha na mbogamboga nyingi tuu..na pia ongezeko la watu huko kunahatarisha porching ya baadhi ya Wanyama kulikua na lundo la Simba wakubwa wameanza kuondoka yale maeneo na kwenda maeneo mengine maana Simba hapendi kero..ukienda huko ngorongoro pana mpaka vx na nyumba nzuri za bati wale masai wenyewe hawakai kwenye nyumba za bati na pia mmasai huwa aoti ndevu hata iweje ila kutokana na kuvamia kwa Wameru na Wasomali huko nao wakijiita Wamasai maana ni watu wanaofanana sana wakiishi na kuzaliana na wamasai kwenye eneo moja...enzi za kikwete huko kulikua na matatizo sana mpaka kupelekea Jeshi kuingilia kati pale Wasomali walivyojimilikisha maeneo ya Wamasai kwa kuchimba chini huku usiku wakitoka kwenda kuteka magari ya watalii serikali iliposema sasa basi waulizeni hao Masai kilichotokea maana aliuawa hadi OCD wa polisi huko ile dhahama sio ya kuomba itokee tena kwa leo ngoja niishie hapa ila najua mengi sana kuhusu Ngorongoro...
 
Sasa ulitumwa ulireply, wakati hujalazimishwa kuamini.

Msiwe mnapenda kuropoka kama hamjashuhudia wenyewe. Huyo mwanasheria mwenyewe ikiwa anaroho mbaya na chuki kwa waarabu unategemea ataongea fact!!! Haya bwana mchungaji joseph1989 mchana mwema, wagishagi kaaya
 
Headi g imekosewa, Inatakiwa ianze kusomwa kwa maneno, Some Tanzanian officials, siding with....! Wamasai ni sehemu ya raia wa Tanzania.
 
Eeeh Molah! Angalia machozi ya watu wako, kuna wale wanapewa 10% ili kugawa maeneo ya watanzania, na wao kuishi maisha ya mateso ktk nchi uliyowapa wewe,

Twakuomba Molah wetu, uwachukue ili watanganyika wafurahie uumbaji wako
 
Warabu ni makatili hakuna mfano!


Hakuna jamii hapa duniani iynayoongoza kwa ukatili kama (Afrika + Mayahudi + Amerika)

Tunaanza na hapa kwetu
1 Albino kuuawa na kukatwa viungo vyao kisa mali=huu ni ukatili

2 Vikongwe wameuawa sana=huu ni ukatili

3 Mzazi anapewa sharti na mganga wake la kumuuwa mwanae ili tu apate mali, nae anatekekeza kweli=huu ni ukatili

4 Watu kuvamia nyumba na kuuwa watu waco na hatia na kisha kuondoka na mali

5 Kibaka kama Kibaka kuna sheria zake za kumuadhibu katika uisilamu, lakini huku mwizi anapigwa au kuchomwa moto hadi kufa=huu ni ukatili

6 Mama anamuuwa mwanae kisa kamchukulia/mwibia hela, hela yenyewe hata kuku haitoshi kumnunua=huu ni ukatili

7 Mtoto anamuuwa mama/baba yake=huu ni ukatili

8 Bosi anamtesa mfanyakazi wa ndani au kumuuwa kabisa=huu ni ukatili

9 Mfanyakazi anamuuwa bosi wake=huu ni ukatili

10 Kuuwana/kunyongana/kujinyonga kisa wivu wa mapenzi

11 Kulishana sumu, mzazi anawalisha sumu wanae kisha nae anajiuwa=huu ni ukatili


12 Mzazi anamuunguza moto mwanae tena makusudi kwa kosa dogo kabisa, hata kama ni kosa kubwa huwezi kumfanyia unyama huo mwanao/mtu baki.

13 Mauwaji ya wakulima na wafugaji, husababisha kuuwana na kuchomeana nyumba zai, refer mkoa wa mara

14 Yule mchungaji wenu alichokifanya dhidi ya waumini wake hukoo moshi na kuwaacha wakiangamia

15 Watu kurogana, kufanyiana ubaya, kuchizishana dah, yapo mengi sana watakuja wengine kuyaendeleza.


Je, ukatili wa waarabu uko wapi? Lipumbavu limoja ukiliona linawasema vibaya waarabu ujuwe ana lake jambo co bure,,chuki na roho mbaya aliyonayo moyoni mwake inampelekea anaongea vitu hovyo kabisa, na hapo anaumia sana. Watu wa sampuli hii huwa nawachana laiv.

Upande wa mayahudi

1 Kuuwa watu waco na hatia, c watoto wazee, wala wajane n.k
2 Kupora ardhi waliyoikuta
3 Wameuwa manabii

Upande wa Makafiri/Marekani

1 Kuvamia nchi za kiislamu na kufanya uharibifu mkubwa kabisa, wameuwa waco na hatia, viongozi wa nchi kuuawa, na kuwaachia nchi zao katika hali mbaya na huzuni huku wakienderea kuuawana wenyewe kwa wenyewe. Hao makafiri adhabu kubwa inawasubiri.
 
Msiwe mnapenda kuropoka kama hamjashuhudia wenyewe. Huyo mwanasheria mwenyewe ikiwa anaroho mbaya na chuki kwa waarabu unategemea ataongea fact!!! Haya bwana mchungaji joseph1989 mchana mwema, wagishagi kaaya
Wewe ndiye unaye ropoka, sasa ni wachukie waarab ili iweje?,kumbe issues nimegusa imani yako manake maswala ya uchungaji na waarabu wapi na wapi au ndiyo nyie mnao kalili waarab wote waislam.
 
Back
Top Bottom