Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands

Nakuona muarabu Koko, juzi Kuna habar one trend Sana ya binti Wa kiganda kutolewa Figo Na Bosi wake, hizo Ni case chache tu zipo nyingi kama hizo za wafanyakazi Wa ndani ambao wanapitia mateso Na manyanyaso kutoka kwa hao waarabu
Vipi kuhusu Albino wanaokatwa viungo huku wakiwa hai hilo nalo hutokea huko kwa hao waarabu?
Vipi kuhusu vikongwe wenye macho mekundu wanaocharangwa mapanga na kuuawa kwa imani za kishirikina hilo pia hutokea huko kwa waarabu?
Vipi kuhusu vibaka watuhumiwa kuchomwa moto wakiwa hai hilo nalo hutokea kwa waarabu?


Vipi kuhusu haya mauaji ya kila siku watu kuuana au watoto kuua wazazi wao kwa tamaa ya mali hilo nalo hulioni?
 
Your argument is interesting in the sense that, you say the Masai are amongst the few who were not enslaved by the Colonialists.
First and foremost, there has never been a separate Country for the Masai. Tanganyika was colonised, so were everybody in Tanganyika, including the Masai.
My argument is that, after independence from the Colonialists, in 1961, everyone could "Own land" in Tanzania, except the "Ngorongoro Pastoralists".
This is bondage!
The Masai in Monduli could own land.
The Masai in Morogoro own land.
But the Masai in Ngorongoro can not own land. And this is by an Agreement signed by Colonialists!
The Ngorongoro Masai are still under the Laws reached during Colonial era!
How do you dare to support such an inhumane Agreement?
 
Kwani kukodisha vitalu kumeanza Jana au leo? Vitalu kibao tuu vimekodoshwa sio tuu huko Ngorongoro bali hifadhi nyingi hususani za TAWA.

Hiyo porojo na propaganda haiondoi ukweli kwamba wamasai wanaharibu hifadhi.

Na in fact wakikodishwa Hao wawindaji wanatunza mazingira na kudhibiti uharibifu.
 
Kuna mzee mmoja aliniambiaga utajiri wa waarabu wengi wenye malori haya ya mizigo na hata wenye makamouni source yake ni ujangili naona naanza kuamini,haya wacha wale kwa urefu wa kamba zao sie wengine tunawasindikiza.
 
Kuna mzee mmoja aliniambiaga utajiri wa waarabu wengi wenye malori haya ya mizigo na hata wenye makamouni source yake ni ujangili naona naanza kuamini,haya wacha wale kwa urefu wa kamba zao sie wengine tunawasindikiza.

Hayo umesikia tu bali huna uhakikanacho,,,waarabu wanajituma na ndiyomaana hawakawi kupanda juu. Alafu unadhani waarabu kama wamatumbi miongoni mwao wamejawa na ushirikina, wanautafuta utajiri kwa njia ya haram, mtoto wa familia wanamtoa kafara kisa mali au wanamchizisha 😁😁 ,huu ni zaidi ya upumbavu ase. Alafu unakuja kufananisha waarabu na vitu vya kipumbavu. Mi kuna mshkaji namfahamu vizuri sana kamtoa mwanae kafara ili apate mali, sasa hii ni akili mzee!!!!
 
Mzee mtu mzima na mwanasheria usizani mtu wa stori za vijiweni.
 
Are they kept or they agreed and are still agreeing to stay in that form? Who told you what you have written is civilisation? I think you are enslaved mentally thats why you see them in bondage yet its you who is to be sympathized with such kind of mentality...

Those are amongst the few who were not enslaved by the colonialists in such extent today we enjoy to have Ngorongoro and the like still in their pristine nature...They are good stewards to our environment; we have to emulate them instead of calling them names!
Check your history fundiz historia imechakachuliwa ujue...Makabila ambayo wakoloni walishindwa kuwa fikia ni hayo ambao waliendelea kuishi kivyao na ndiyo sababu mpaka leo hawajaingia kwenye mifumo rasmi...Kwani kuna ugomvi? Pengine tungechukua positive tungesaidika je iliwezekanaje wao wakaweza kutunza culture na institutions zao mpaka leo pamoja na huo ukoloni kiwa almost every where na to every communities?
 
Kwa kuwa waarabu wanaudugu na wazanzibar bora wapewe eneo kule visiwani sio kuwatesa wamasai kwenye nchi yao

Loliondo iliuzwa kwa waarabu kinyemela na ngororongoro wanataka waipige mnada ?
Na tukumbuke enzi zile Loliondo iliuzwa pia na Mzanzibar, Ali H. Mwinyi

Mazanzibar kumbe majangili tu hata wanawake, dah
 
Yes and no.
Wamasai wameendelea kudumisha Utamaduni wao kwa sababu ya kuendelea kuishi katika mazingira yale yale kwa muda mrefu.
Wamasai uliosoma nao wanaishi sawasawa na wewe.
Pili usisahau.
Wanaoishi Ngorongoro ni asilimia ndogo sana ya idadi ya Wamasai nchini.
Wanaonufaika na Wafugaji wa Ngorongoro wanataka kuaminisha watu wasiojua kuwa Wamasai wote wanaishi Ngorongoro.
Asilimia zaidi ya 95 ya Wamasai wanaishi Mikoa mingi ya Tanzania. Hao wachache wa Ngorongoro, ambao hawana haki ya kumiliki ardhi katika Tanzania huru, nani anayesisitiza waendelee kuishi bila kuwa na haki ya kujenga nyumba bora?
Hao wanaoshinikiza Wamasai waendelee kuishi kwa kupewa chakula, badala ya kulima wao wenyewe, wanaishi wapi?
Ninyi Watetezi mnaishi nyumba za nyasi?
 

Ufugaji bora ni ule unaozingatia kutunza mazingira!! Kuwa na makundi sio makubwa ya mifugo na na kutokuzurula hovyo na hiyo mifugo !!
 
Hao warabu wakija kuwinda watakuwa wanawafanyaje hao wanyama wenu?
 
Haya mambo ya nchi yanavyokwenda kwa kasi utafikiri tamthilia fulani hivi...Daah Mungu saidia nchi yangu!
Magufuli alipokuwepo hakuna mtu ange raise upumbavu kama huo akabakia salama!

They always hatred him for that!😪
 
Umeona mbali sana.
Sema majamaa hapa tz ni majizi hatari, hapo kinachotafutwa sio interest ya nchi, Bali ni 10%
Ukiongelea hili unaonekana bogus na mpinga maendeleo! Watu wanatafuta 10% yani kuna ulafi wa mali uliokithiri! Hivi hayo mabillion watu wanayoiba wataenda nayo wapi kama si kufa na kuyaacha?

Huu ulafi utakuja sababisha hili taifa limwagane damu siku moja!
 
Nakuona muarabu Koko, juzi Kuna habar one trend Sana ya binti Wa kiganda kutolewa Figo Na Bosi wake, hizo Ni case chache tu zipo nyingi kama hizo za wafanyakazi Wa ndani ambao wanapitia mateso Na manyanyaso kutoka kwa hao waarabu
Warabu ni makatili hakuna mfano!
 
Muda wa Tembo kwenda kunyanyasika tena kwa awamu nyingine😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…