Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Wamasai kila mara wanawaua wakulima,juzi tu ,Wilaya ya Kilindi,wameua wakulima sita,sio ukatili huo.Warabu ni makatili hakuna mfano!
Kwani nimekulazimisha kuamini?Kwaiyo kama ni mwanasheria ndiyo watu tuamini!!! 😁😁😁
Kuna wakati nashindwa kuelewa hili jambo, mwanzo kama sijasahau nakumbuka liliibuka mara ya kwanza wakati wa utawala wa Kikwete lakini baada ya Kikwete kuondoka madarakani haya mambo yakaisha.
Magufuli alipokuja na sera zake za uzalendo haya mambo ndio hayakusikika kabisa, ikawa kimya.
Leo amekuja huyu mama mwenye vinasaba na awamu ya Kikwete naona tena hii habari ya kuhamisha watu imerudi, kwanini nisiamini hawa masai wanataka kuhamishwa kwa maslahi ya wachache kwa ajili ya tamaa zao za miaka yote?
Hata kama sababu zinazotumiwa na serikali kuwahamisha wamasai ni sahihi kwamba wamasai wanatakiwa kuhama kwa kuwa population yao na mifugo yao imeongezeka, wanaharibu njia za wanyamapori, na mengineyo, lakini serikali itajitofautisha vipi na haya madai ya kutaka kuwapa waarabu ili wafanye biashara nao?
Naandika haya kwasababu inaonekana hii serikali ya Samia imerithi kila kitu kwa Kikwete mpaka tabia za upigaji kwa urefu wa kamba zao, kama wamasai wataondolewa pawepo na makubaliano kwamba hayo maeneo yao watakapoondoka hapatajengwa chochote.
Lakini kinyume na hapo hao wamasai watakuwa wanaonewa, nani asiyekumbuka mwishoni mwa utawala wa Kikwete alivyoitoa hii nchi kama sadaka mpaka waarabu wakatembea na silaha za moto na kuwatisha watu hovyo barabarani kama wao ndio wenye nchi?
Kwa hili tuseme hapana, tusikubali kurudishwa kule tulipotoka hata kama Samia hajui chochote kuhusu kuongoza nchi, lakini asichukue ujinga wa enzi za Kikwete na kuurudisha sasa, huku ni kuturudisha utumwani ndani ya nchi yetu.
Mahakama ya Saudi Arabia imemkuta na hatia huyo Bosi Na kampuni iliyompeleka kufanya kazi Na wote wameamriwa kumlipa fidia muhusikaTumia akili,hakuna hospital yoyote duniani,inayofanya upasuaji,bila saini ya anayefanyiwa upasuaji.Dunia nzima yapo mashirika ya kimataifa,na NGO za haki za binadamu,angemtaja jina huyo tajiri yake,na kampuni iliyompeleka,hili lingefuatiliwa kimataifa na mashirika ya haki za kibinadamu.Huyo dada aseme ukweli,kama figo yake,aliuza kwa hiyari yake.
Ukiongelea hili unaonekana bogus na mpinga maendeleo! Watu wanatafuta 10% yani kuna ulafi wa mali uliokithiri! Hivi hayo mabillion watu wanayoiba wataenda nayo wapi kama si kufa na kuyaacha?
Huu ulafi utakuja sababisha hili taifa limwagane damu siku moja!
Kwani nimekulazimisha kuamini?
Hiyo jamii na hizo zingine zipi zimetunza mazingira yao? Kafanye inventory uone uoto wa asili upo maeneo ya jamii gani kama siyo hiyo yao...Msikaririshwe tu!Ufugaji bora ni ule unaozingatia kutunza mazingira!! Kuwa na makundi sio makubwa ya mifugo na na kutokuzurula hovyo na hiyo mifugo !!
Hapa tunaongelea kabila au jamii inayoishi Ngorongoro? Mbona unabadili topic?Wamasai kila mara wanawaua wakulima,juzi tu ,Wilaya ya Kilindi,wameua wakulima sita,sio ukatili huo.
Watu watano akiwemo mtoto wameuwawa baada ya kufuatia mapigano baina ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Elarai wlayani Kilindi mkoani Tanga.
Mkulima Richard Masaki,amesema waliona vijana jamii ya kimasai wakiingia katika eneo lao na kuanza kuwashambulia,kwa kuwapiga na baadaye yakaanza mapigano ya mapanga na risasi hadi kutokea vifo hivyo.
Aidha mfugaji David Kimaki amesema amempteza mjukuu wake Betina ambaye ameuwawa kwa kukatwa na panga katika shambulio hilo.
Mkuu soma comment # 142 kuna mtu nimemuuliza maswali naona kala kona,huenda wewe ukawa na majibu ukamsaidia.Warabu ni makatili hakuna mfano!
Sasa ulitumwa ulireply, wakati hujalazimishwa kuamini.Mpaka uniletee mwanasheria tena 😁 wawapi tarura?
Sasa ulitumwa ulireply, wakati hujalazimishwa kuamini.
Hiyo mahakama ni waarabu au wazungu.Umeona kama nilivyosema vipo vyombo vya kisheria na mashirika ya haki za kibinadamu,atumie vyombo hivyo.Mahakama ya Saudi Arabia imemkuta na hatia huyo Bosi Na kampuni iliyompeleka kufanya kazi Na wote wameamriwa kumlipa fidia muhusika
La OBC ushahidi uko wapi? Hao OBC population yao ikoje?
Warabu ni makatili hakuna mfano!
Wewe ndiye unaye ropoka, sasa ni wachukie waarab ili iweje?,kumbe issues nimegusa imani yako manake maswala ya uchungaji na waarabu wapi na wapi au ndiyo nyie mnao kalili waarab wote waislam.Msiwe mnapenda kuropoka kama hamjashuhudia wenyewe. Huyo mwanasheria mwenyewe ikiwa anaroho mbaya na chuki kwa waarabu unategemea ataongea fact!!! Haya bwana mchungaji joseph1989 mchana mwema, wagishagi kaaya