Timu zinategemea maombi na uchawi wee uliona wapi bwana
Ukweli mtupu
Ah wapi uliona mchungaji kaenda kuisalia pirates au mamelodi mzeyaHahaha hata waarabu na wasauzi si wanafanya hivyo mkuu
Huwa na wao wanapiga Dua au maombi ya kutosha wakitaka kuja hawaji kizembe ila approx. 75% wanamikakati mizuri uwanjani sio kama sisi 75% ni mikakati ya nje ya uwanja.Ah wapi uliona mchungaji kaenda kuisalia pirates au mamelodi mzeya
Mpira 95 mikakati 5 bahati 0 ndumbaHuwa na wao wanapiga Dua au maombi ya kutosha wakitaka kuja hawaji kizembe ila approx. 75% wanamikakati mizuri uwanjani sio kama sisi 75% ni mikakati ya nje ya uwanja.
Ni kweli kabisa mkuu kuna kanuni nasikia inazitaka klabu zote zinazoshiriki ligi kuu kuwa na timu za Academy na U-15, U-17, U-23 hivi inatekelezwa ?Haiwezi kua siku moja bali ni mchakato... Mchakato wenyewe unatuhitaji sisi wenyewe na wala sio mwingine
Mambo ya mpira siyajui hata vitu ulivyotaja sivielewiNi kweli kabisa mkuu kuna kanuni nasikia inazitaka klabu zote zinazoshiriki ligi kuu kuwa na timu za Academy na U-15, U-17, U-23 hivi inatekelezwa ?
Hasa mjengoni domUkweli mtupu
Kwenye Yanga hapo bora ungeiweka Kengold!Kwa timu za soka letu la Tanzania, ni nadra sana kukuta timu mbili zote zimefuzu kwenda hatua kubwa za mashindano ya vilabu Afrika.
Kwa waarabu(Morocco,Algeria na Egypt) ni kawaida sana, unakuta USM Alger na MC Alger wapo hatua za robo fainali wote, au nusu fainali.
Egypt unakuta Zamalek, Al Ahly wote wapo hatua za robo au nusu. Tunisia ukuta Berkane na Esperance wamefika robo fainali.
South Africa wamefanya kweli mwaka huu Mamelodi Sundowns, Stellenbosch, na Orlando wote wametinga hatua ya nusu fainali kwenye mashindano wanayoshiriki.
Natamani kuona Young Africans, Azam FC, Singida BS, na Simba wakitinga angalau hatua ya robo fainali kwa pamoja ndani ya msimu mmoja. Mwaka jana walijitahidi ningependa kuona ikitokea tena.
Huo ndiyo ufafanuzi wa neno unafiki, (hypocrite), a..k.a kujizima data
Sitaki hata kuelewa mambo ya mpirahaha sawa U-15 Under 15 timu za vijana wa chini ya miaka15
Kwanini mlimpeleka Dubela kwa mwamposa? Sijui nani yule suguye aombewe? Na nyie wanga wakubwa hahahahaahTimu zinategemea maombi na uchawi wee uliona wapi bwana
Kurwa na doto wote wanga tuu....Kwanini mlimpeleka Dubela kwa mwamposa? Sijui nani yule suguye aombewe? Na nyie wanga wakubwa hahahahaah