Umeandika kwa kutulia kiongozi, umemwaga facts!Izi timu haziwezi kuwa na ushindani wa kudumu katika soka la Afrika kwakua hazina vyanzo vya uhakika vinavyo eleweka vya pesa.
Mpira unahitaji investment kubwa tena ya uhakika.
Izi timu hazina uwezo wa kuzalisha fedha zake zenyewe na kufikia budget ya uhakika ya msimu.
Azam wamefanya uwekezaji lakini nina uhakika timu yao haina uwezo wa kurudisha gharama za uendeshaji wa msimu.
Ina maana fedha za uendeshaji wa Azam fc zinatoka katika vyanzo vingine vya mapato ili kuimarisha vituo na timu ya wakubwa ya Azam.
Maana yake Azam fc inatia hasara biashara zingine ili Yenyewe isimame.
timu ipi inanunua wapinzani? Na wapinzani wapi ambao hawakununuliwa ila walifungwa na hao wanaonunua mechi? Jibu kwa usahihi with examples.Kuna timu ikiacha kununua wapinzani kupitia udhamini feki na kuanza kucheza mpira wa ushindani bila kuhonga basi kuna siku ndoto hiyo itatimia.
Umewajua wanaonunua mechi?Mbona ume panick?Ilikuwa jiwe gizani.timu ipi inanunua wapinzani? Na wapinzani wapi ambao hawakununuliwa ila walifungwa na hao wanaonunua mechi? Jibu kwa usahihi with examples.
Umesoma vizuri ulichoandika hebu rudia kusoma tena tulia vuta pumzi toa kisha soma tenaKwani msimu uliopita wote si walikua robo fainali
Yanga vs mamelodi sundown
Simba vs Al Ahly
Au ulikua bado hujatoka kijijini kwenu?
Msimu juzi Simba na Yanga wote walikua robo fainali..
Simba vs Wydad
Yanga vs Rivers
Au ndo umekuja juzi jijini na gari la nguruwe
wewe ndiye ututajie mkuu manake umetoa tuhma za kuwa kuna timu inanunua wapinzani pasipo kuitaja,ndipo tunataka uitaje na wapinzania walionunuliwa pia.Umewajua wanaonunua mechi?Mbona ume panick?Ilikuwa jiwe gizani.
Unauliza kesho siku gani?Wacha kujitoa ufahamu.Timu yenye kesi Takukuru huijui?wewe ndiye ututajie mkuu manake umetoa tuhma za kuwa kuna timu inanunua wapinzani pasipo kuitaja,ndipo tunataka uitaje na wapinzania walionunuliwa pia.
Wale wengne mpaka wachomolewe mwikoKwa timu za soka letu la Tanzania, ni nadra sana kukuta timu mbili zote zimefuzu kwenda hatua kubwa za mashindano ya vilabu Afrika.
Kwa waarabu(Morocco,Algeria na Egypt) ni kawaida sana, unakuta USM Alger na MC Alger wapo hatua za robo fainali wote, au nusu fainali.
Egypt unakuta Zamalek, Al Ahly wote wapo hatua za robo au nusu. Tunisia ukuta Berkane na Esperance wamefika robo fainali.
South Africa wamefanya kweli mwaka huu Mamelodi Sundowns, Stellenbosch, na Orlando wote wametinga hatua ya nusu fainali kwenye mashindano wanayoshiriki.
Natamani kuona Young Africans, Azam FC, Singida BS, na Simba wakitinga angalau hatua ya robo fainali kwa pamoja ndani ya msimu mmoja. Mwaka jana walijitahidi ningependa kuona ikitokea tena.