Tanzania sio tu masikini wa kutupwa EAC na SADC, wamechemsha pia kijeshi

Tanzania sio tu masikini wa kutupwa EAC na SADC, wamechemsha pia kijeshi

Don YF

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2014
Posts
10,494
Reaction score
9,854
Pitia Taarifa ya 2020 Global Military Ranking in Africa, wako below top 20, kazi ni kupiga kifua yenye hawana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

=======
African Military Strength (2020)

African countries ranked by potential military strength.

The GFP list makes use of over 50 factors in our in-house formula to determine a given nation's Power Index ('PwrIndx') score. This provides the final ranking while also allowing smaller, more technologically-advanced, nations to compete with larger, lesser-developed ones. Some bonuses and penalties are added for refinement that, in the end, we hope presents an unbiased look into the potential conventional military strength of a world power. Color arrows indicate year-over-year trend comparison (Rise, Neutral, Fall).

There are a total of 35 countries included in the African Military Strength (2020) listing.

Capture.PNG

Capture.PNG

Capture.PNG

Capture.PNG

Source: https://www.globalfirepower.com/countries-listing-africa.asp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
12, Uganda 13, nyie 24.., jitetee kwa mengine., Ethiopia are good in top 10., among the best in Africa, hakuna ubishi., nyie wakujisifu mlio pigwa mapanga kule Congo ndio nawamulika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ranking ni kwenye field sio makaratasi....Kenya ambayo kila wakati inashikwa sharubu na Ethiopia iko rank gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha tufanye kijeshi tupo nyuma ila jeshi letu limeshiriki opereshen nyingi za kung'oa waasi na hata viongozi shit nchi mbalimbali.

Bado tuna nafasi yetu ya kuheshimika katika swala la PK huko UN.

Miaka zaidi ya 30 nyuma tuliingia vitani na nchi jirani ikiwa inagewa msaada na Libya n tulishinda.

Fast forward today. Kenya ambayo ina jeshi imara, kali na lenye kujielewa kuliko yote duniani linasumbuliwa na kikundi kinaitwa Al Shabab.

Intelijensia mbovu. Wanachuo mamia wakafariki. Kwa kushindwa kuficha uhayawani wao leo hii kuna video ya wanajeshi wa Kenya wakiiba mikate katika hypermarket moja iliyokua imetekwa.

Jina wataitaja wenyewe. Shwain hawa.
 
Yosef Festo

Wakenya kwa kuamini data kuliko uhalisia eanaongoza duniani ,kila wanachoambiwa wanaamini hata hawaangalii uhalisia hivi kweli jeshi la Tz useme limechemsha kweli unaakili timamu? Na jeshi LA Kenya utasema ndio bora wanasumbulini na kigenge cha wahuni kilacku. Nadhani wazungu wakisema Tanzania inaitegemea Kenya kupata chakula na matunda na viungo kama vitunguu, nyanya n.k bado mutashangilia bila kuangalia hali halisi poleni sana
 
globalfire.com hiyo website na zipo website nyingi na kila moja wapi na ranking zao

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sawa kinya ina jeshi imara kuliko Tanzania ila bado inashindwa kulinda amani yake kwasababu ya kigenge tu cha wahuni .wazungu wapo kibiashara wanachoangalia manunuzi ya mavyuma yao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yosef Festo

Mwanaafrika mashariki wewe huna sababu ya kujiona unaweza kuwa mzalendo .Eti kwa kuwa mnazungumza English hiyo siyo sababu ya kujiona.ustaarabu siyo kuongea English .Au wewe Ni msomi Aliyebinafsishwa?
 
Uko out of topic kaka baba bluu., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].,
Mwanaafrika mashariki wewe huna sababu ya kujiona unaweza kuwa mzalendo .Eti kwa kuwa mnazungumza English hiyo siyo sababu ya kujiona.ustaarabu siyo kuongea English .Au wewe Ni msomi Aliyebinafsishwa?

Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
 
Data zikienda kinyume na nchi yenyu Tz kazi ni kupinga, eti ooh wakenya na data, eeh ni fake, mara blah blah mingi, ingekua ni Tz mko pale juu hapa hakungekalika, sasa tulia tu na hizi data.,
Wakenya kwa kuamini data kuliko uhalisia eanaongoza duniani ,kila wanachoambiwa wanaamini hata hawaangalii uhalisia hivi kweli jeshi la Tz useme limechemsha kweli unaakili timamu? Na jeshi LA Kenya utasema ndio bora wanasumbulini na kigenge cha wahuni kilacku. Nadhani wazungu wakisema Tanzania inaitegemea Kenya kupata chakula na matunda na viungo kama vitunguu, nyanya n.k bado mutashangilia bila kuangalia hali halisi poleni sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
 
Kila uchao domo domo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akuna cha manaa apo tukutane field ndio utajua ...kitu tutafany ....kwanza nikuwakata ayo makende yote....mnadhani vita ni kuwa n vistupid fighter jet....nyie ni mbuzi kama wengine ...akuna wakutusumbua apa EA...daima

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
 
Ni wewe unaongea ama ni bangi inaongea?
Akuna cha manaa apo tukutane field ndio utajua ...kitu tutafany ....kwanza nikuwakata ayo makende yote....mnadhani vita ni kuwa n vistupid fighter jet....nyie ni mbuzi kama wengine ...akuna wakutusumbua apa EA...daima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ranking za mtandaoni Jeshi la tz ni la siri sana. Alafu hakuna adui yoyote anayeisumbua Tz na tumezungukwa na nchi korofi alafu tuna natural resources nyingi lakini hakuna adui yoyote anayetuzingua. Hii inamaanisha tuna jeshi imara.
Akuna cha manaa apo tukutane field ndio utajua ...kitu tutafany ....kwanza nikuwakata ayo makende yote....mnadhani vita ni kuwa n vistupid fighter jet. Nyie ni mbuzi kama wengine ...akuna wakutusumbua apa EA...daima

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
When you buy ammunition na kusafirisha kwa meli ama ndege hadi kwenyu data inakua captured., whatever you buy from wherever., hauna taarifa?., pengine mujitengenezee vifaa basi itakua siri., Kenya tunatengeneza bullets.,
Ranking za mtandaoni Jeshi la tz ni la siri sana.Alafu hakuna adui yoyote anayeisumbua tz na tumezungukwa na nchi korofi alafu tunanatural resources nyingi lakini hakuna adui yoyote anayetuZingua.hii inamaanisha tuna jeshi imara.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom