Tanzania sio tu masikini wa kutupwa EAC na SADC, wamechemsha pia kijeshi

Tanzania sio tu masikini wa kutupwa EAC na SADC, wamechemsha pia kijeshi

Hawa ndio zao full mdebwedo, elimu, kijeshi, uchumi.....yaani wanailetea Afrika aibu.
Sawa nyie mko juu kila kitu, mkamalizane na Al-shababy ndio sisi tutawaona kuwa na nyinyi ni Wanaume, Si hatutaki ubabe wa kwenye makaratasi, uko sisi tulishaondokaga siku nyingi.

Kama ni uhanaume hakuna Mwanamke asiyetujua EAC na SADC, Tuna watoto kila mahali,
Kazi kwenu sasa kuonyesha hayo makaratasi yanawaposition sawa.
 
Hawa ndio zao full mdebwedo, elimu, kijeshi, uchumi.....yaani wanailetea Afrika aibu.
Haha leo umeonekana bhana😆😆...Mzee wa kujificha na kukwepa nyuzi. Hiyo listi labda muitumie kujifariji mpunguze hasira za kuchokonolewa madole na Ethiopia na Uganda!!! Eti DRC na Uganda wawe juu yetu!!! Wanaojambishwa na Rwanda hao!!! Kituko cha karne hiki.
 
Ambia mfungua uzi., lazima ajibiwe with facts, kasema Ethiopia wako sawa, nimedhibitusha kwa facts na zimeonyesha pia Tz iko ovyo zaidi ya Kenya
Siyo kila kitu unachokiona kwenye mitandao u share humu. Unajiaibisha sana na unaonesha namna ulivyo na utoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha leo umeonekana bhana😆😆...Mzee wa kujificha na kukwepa nyuzi....Hiyo listi labda muitumie kujifariji mpunguze hasira za kuchokonolewa madole na Ethiopia na Uganda!!! Eti DRC na Uganda wawe juu yetu!!! Wanaojambishwa na Rwanda hao!!! Kituko cha karne hiki.

Hivi kuna siku sijaonekana JF, mbona ninapost kila siku humu, halafu comment yangu kwenye huu uzi hadi raha mumeniquote nyote. Huwa napata raha pale ninawagusa penyewe mnaniquote kila mtu kwa povu zake.
Halafu sijakuelewa hapo unasema nimekwepa uzi.
 
Hivi kuna siku sijaonekana JF, mbona ninapost kila siku humu, halafu comment yangu kwenye huu uzi hadi raha mumeniquote nyote...huwa napata raha pale ninawagusa penyewe mnaniquote kila mtu kwa povu zake.
Halafu sijakuelewa hapo unasema nimekwepa uzi.
Toka wakuu wenu wajibu majibu ya ndio kwenye utaratibu wa kuvuka mpaka ulioandaliwa na Tz uka logout ,ehee tupe habari nasikia vitunguu vimeshuka bei huko munafurahia neema za Tanzania sasa hivi vipi kuna dereva yeyote wa Tanzania aliepimwa na vipimo vyenu vya ujeruman kabla ya kuvuka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iddi Amin alikuja kama amechokaa sana, mulimvamia na majeshi zaidi ya elfu saba ama ilikua kumi na, yeye alikua na kama elfu mbili hivi, na wengi walikua wamemchoka, kazi ilikua kupora na kutoweka, muli combine na rebels kutoka Uganda na mukakusanya pia majeshi kutoka Zanzibaa la zivyo angewafurusha nchi...
Sawa hiyo itadhihirishwa kwenye uwanja wa Vita.,iddi Amin wakati anaivamia TZ Alikuwa Yuko juu kijeshi huku akitamba na mechanized army, yaliyotokea Sasa ni historia...usiichezee TZ...usije na takwimu za ununuzi wa zana za kivita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya hamna akili eti Zambia ,Uganda Congo na Kenya zipo juu ya tz na mnaamini hiyo listi. Hao hawana data za tz.ndo maana wanawekaweka tu listi

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyie mlishajichokea kwenye kila kitu, uchumi, kielimu, kiafya, kijeshi, kidemkrasia, hata diplomasia yaani kila kitu. Hili la juzi la corona ndio limewaumbua kabisa, mpaka mumekua kitovu cha maambukizi ukanda wote huu mlikua mnalialia madereva wenu waingie kwa lazima kwenye nchi za watu bila kupimwa, hamna cha hivyo, tunawapima na akikutwa na corona anageuzwa papo hapo, sema tumekubali hatutawaumbua kwa kutaja idadi ya madereva wenu ambao tumewagundua na kirusi, tunawapimia kwenu hapo mpakani na kuwapokeza kimya kimya.
 
Back
Top Bottom