Tanzania sio tu masikini wa kutupwa EAC na SADC, wamechemsha pia kijeshi

Tanzania sio tu masikini wa kutupwa EAC na SADC, wamechemsha pia kijeshi

12, Uganda 13, nyie 24.., jitetee kwa mengine., Ethiopia are good in top 10., among the best in Africa, hakuna ubishi., nyie wakujisifu mlio pigwa mapanga kule Congo ndio nawamulika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kenya ipo juu ya tz kijeshi? Napinga hili, al shabaab watatu tu waliwakalisha wakaishia kuiba mikate
 
Umuhimu wa Jeshi letu sio lazima uwekwe mitandaoni au ulinganishwe na majedwali ya takwimu.
Sisi Watanzania tunafahamu Jeshi letu ni bora kabisa.
Kwa mfano ukiangalia Jedwali utashangaa kuona baadhi ya nchi ambazo ziko juu kimedani,lakini machafuko ya Mara kwa Mara na matishio ya uasi na ugaidi yanashamiri.
Labda waseme kuwa takwimu hizo zimebase kwenye bajeti ya majeshi yao,kitu ambacho wakati mwingine sio saws kuwekwa hadharani kwa baadhi ya nchi.
Ukiangalia vizuri ramani ya Afrika utagundua kuwa Tanzania imepakana na nchi nane,hakuna machafuko wala matishio yoyote ya uasi/ugaidi.
Tafsiri yake ni kuwa Tanzania ni Among the Superior Country Kusini mwa Jangwa LA Sahara.
Tungelikuwa weak tungelishindwa kulinda mipaka yetu wala kuwasaidia wengine kupata Uhuru,kulinda amani kwa miamvuli na AU/UN na hata kuondoa Uasi na kutumia Diplomasia katika utatuzi wa migogoro kwa baadhi ya nchi.
Waafrika tuwe na shukrani.
 
Vita na rankings wapi na wapi???..unadhani vita ni kama kutafuna githeri tu...

Malizana na ethiopia kwanza,tanzania tutawatoa mavi hata mkiungana hiyo COW yenu
 
Siyo OP KAKA ONESHA UZALENDO PENDA VYA KIAFRIKA KUHUSU JESHI HAYO NI MASWALA MENGINE (TOP SECRET) HAYAJADILIWI MTANDAONI .CHA MSINGI KUMBUKA KENYA NI NDUGU ZETU KWA SABABU KUNA MAASAI KENYA,WAKURYA,WAJALUO NA HAO WOTE NA TANZANIA WAPO.SIONI HAJA YA KUONESHA DOUBLE STANDARD KWA KUWA HIZI ZOTE EAC
Tz haina ndugu kenya mkuu, hawa co ndugu zetu amini kwamba.
 
Hahaha tufanye kijeshi tupo nyuma ila jeshi letu limeshiriki opereshen nyingi za kung'oa waasi na hata viongozi shit nchi mbalimbali.

Bado tuna nafasi yetu ya kuheshimika katika swala la PK huko UN.

Miaka zaidi ya 30 nyuma tuliingia vitani na nchi jirani ikiwa inagewa msaada na Libya n tulishinda.

Fast forward today. Kenya ambayo ina jeshi imara, kali na lenye kujielewa kuliko yote duniani linasumbuliwa na kikundi kinaitwa Al Shabab.

Intelijensia mbovu. Wanachuo mamia wakafariki. Kwa kushindwa kuficha uhayawani wao leo hii kuna video ya wanajeshi wa Kenya wakiiba mikate katika hypermarket moja iliyokua imetekwa.

Jina wataitaja wenyewe. Shwain hawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juzi hapa si wali kabwa koo wakakimbia wakawaacha wamarekani watandikwe pekeyao, haaa haaa wakenya wanafiki sana hata kipindi cha kaburu walikuwa wanawasaidia makaburu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juzi hapa si wali kabwa koo wakakimbia wakawaacha wamarekani watandikwe pekeyao, haaa haaa wakenya wanafiki sana hata kipindi cha kaburu walikuwa wanawasaidia makaburi
Hili jeshi la Kenya ni hatari sana. Wakiamua wanaenda kuteka nchi ya China na kujisamehe mkopo unaotaka kuifanya kenya kua china ndogo
 
Pitia Taarifa ya 2020 Global Military Ranking in Africa, wako below top 20, kazi ni kupiga kifua yenye hawana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

=======
African Military Strength (2020)

African countries ranked by potential military strength.

The GFP list makes use of over 50 factors in our in-house formula to determine a given nation's Power Index ('PwrIndx') score. This provides the final ranking while also allowing smaller, more technologically-advanced, nations to compete with larger, lesser-developed ones. Some bonuses and penalties are added for refinement that, in the end, we hope presents an unbiased look into the potential conventional military strength of a world power. Color arrows indicate year-over-year trend comparison (Rise, Neutral, Fall).

There are a total of 35 countries included in the African Military Strength (2020) listing.

Source: https://www.globalfirepower.com/countries-listing-africa.asp

Sent using Jamii Forums mobile app
Ala! Tanzania wanacheza ligi ya South Sudan baada ya kubangua Koroshow na kuvunja mawe 😂😂😂😂😂
 
Nchi zenye asili ya kijamaa huwa haziweki bayana mambo yake, jaribu uone kazi yake.
Unajua hakuna Vita TPDF ishaingia peke yake hata Ile ya Kagera na Komoro? Jeshi lenu ni hovyo tu si uliona vile walichinjwa kwa mapanga kule Kongo ila wako poa kubangua Koroshow 😉
 
Unajua hakuna Vita TPDF ishaingia peke yake hata Ile ya Kagera na Komoro? Jeshi lenu ni hovyo tu si uliona vile walichinjwa kwa mapanga kule Kongo ila wako poa kubangua Koroshow [emoji6]
Kaulize kilichowapata
 
Hili jeshi la Kenya ni hatari sana. Wakiamua wanaenda kuteka nchi ya China na kujisamehe mkopo unaotaka kuifanya kenya kua china ndogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] milungi inawaharibu akili hawa watu, kuna clip moja niliwahi iona maafande
wanavitambi kama wamebeba ndoo wanacheza ndombolo haaa haa , hamna kitu

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Kaulize kilichowapata
Museveni aliwasaidia kuingia Uganda. KDF iliingia Somalia peke yake pale Kismayu peke yake kifua mbere na kutandika na kuwaondoa Al shababe na kutengenezea Nchi zingine njia ya kuingia Somalia Kama vile UPDF, EDF, RPDF na wengine wengi ikiwemo Uturuki, United Arab Emirates na America.
 
Endelea kujifariji na uwarithishe na kizazi chako kwani kitakuja kukuhadithia mbinguni
 
Museveni aliwasaidia kuingia Uganda. KDF iliingia Somalia peke yake pale Kismayu peke yake kifua mbere na kutandika na kuwaondoa Al shababe na kutengenezea Nchi zingine njia ya kuingia Somalia Kama vile UPDF, EDF, RPDF na wengine wengi ikiwemo Uturuki, United Arab Emirates na America.
Museven alitusaidiaje wakati mafunzo tuliwapa sisi na mpka sasa hivi mafunZo tunawapa sisi tumezungukwa na nchi zinazotaka mali zetu lakini hakuna anayetusumbua jiulize ni kwa sababu gani.nyie wanajeshi wenu wanauawa na kulawitiwa na alshabab alafu mnasema mko vizuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Museven alitusaidiaje wakati mafunzo tuliwapa sisi na mpka sasa hivi mafunZo tunawapa sisi tumezungukwa na nchi zinazotaka mali zetu lakini hakuna anayetusumbua jiulize ni kwa sababu gani.nyie wanajeshi wenu wanauawa na kulawitiwa na alshabab alafu mnasema mko vizuri.
Kuna tofauti ya kubangua Koroshow ya wakulima kwa lazima na kuingia Vita bila usaidizi wowote.
Screenshot_20200527-133848.png
Screenshot_20200527-133901.png
Screenshot_20200527-133914.png
 
Unajua hakuna Vita TPDF ishaingia peke yake hata Ile ya Kagera na Komoro? Jeshi lenu ni hovyo tu si uliona vile walichinjwa kwa mapanga kule Kongo ila wako poa kubangua Koroshow [emoji6]
Wee mtoto. Wacha hizo, my frnd
TPDF imekomboa nchi za kusini kwa Africa kupata Uhuru. Soma vizuri habari JWTZ/TPDF aijawai kusaidiwa na nchi yeyote kwenye mapigano
 
Back
Top Bottom